Soko la ajira kwa waliosoma nje

Soko la ajira kwa waliosoma nje

Umesomea nini? Unatafuta kazi gani?

Sio unaenda kutuchukulia degree ya "American Civil War History" huko na kuongezea masters ya "Art History in the Antebellum South" halafu unataka kuwa Senior Geologist Barrick Gold just because "umesoma nje".

Kabla ya kurudi ulitakiwa kujua soko la ajira likoje. Na kujipanga accordingly.

Hii ni kali.
Inakuaje Carly Fiorina has a BA with tripple majors - Latin, Medieval and Hellenic majors then she ended up having a brief and tumultuous stint as HP CEO? I'm just curious.
Also, Chelsea Clinton works as an investment banker for one of the reputable wall street investment and asset management firms, but she has BA and MA in American History and Dixieland studies?
I'd like to be schooled here
 
Labda kama umesoma vyuo vya watu geneus kama Havard. Vyuo vingine ni ilimradi uende kusafisha macho tu nje ya nchi basi inatosha. Ukienda vyuo vya Ulaya basi jikite na vijishughuli kama vile kuosha vyombo mahotelini ili ukirudi Bongo uje na vidolali au mkoko wa mkono wa pili. Ili tukuone mwenzetu kasoma nje. Ila ukienda vyuo vya Asia... no job!!!!
 
Usiwakatishe watu tamaa kwamba no job,kazi watapata ila kwa kuangaika km wengi. Mana hata hapa tz kuna vyuo uchafu kuliko hata hivo vya asia
 
Marekani mtu anaweza kuwa outlier akawa hana hata degree akawa CEO.

Carly labda kuwa kasoma hayo masomo instead of kuwa deeply steeped in tech culture / business management studies ndiyo maana stint yake imekuwa short and tumultuous. HP wamemstukia kwamba she is a faker. Amejaribu kuganga kwenye siasa huko kashindwa pia.

Chelsea jina lake la pili tu ni asset tosha ya kufanya investment bank yoyote ijiuze kwa kusema "tunaye Chelsea". Her political network alone is an asset. Hizi Investment Banks moja ya vitu wanavyoangalia katika kuajiri watu ni personal network yako, kwamba tukikuweka hapa kwetu Rolodex yako ina contacts za high net worth potential client firms ngapi? Sasa utaona hapo mtu kama Chelsea na network yake anaweza kuwa more valuable kuliko mtu mwenye Ph.D ya math na MBA mbili.

Pia mtu kama Chelsea anaweza kutumiks katika influence peddling huko kwa ma high powered lobbyists ku influence legidlation/ deals.

Above all uchumi wa Marekani unaweza kusomea "American Civil War History" ukaenda kuwa consultant kwenye ma Silicon Valley game designing shops u critique military manoeuvres na costumes kwenye video games, au unaweza kuandika kitabu kuhusu battle moja tu ambayo haijaandikwa vizuri mpaka leo.

Ninachoshangaa ni mtu anayedoma masomo haya na kurudi bongo kutafuta kazi.
 
Marekani mtu anaweza kuwa outlier akawa hana hata degree akawa CEO.

Carly labda kuwa kasoma hayo masomo instead of kuwa deeply steeped in tech culture / business management studies ndiyo maana stint yake imekuwa short and tumultuous. HP wamemstukia kwamba she is a faker. Amejaribu kuganga kwenye siasa huko kashindwa pia.

Chelsea jina lake la pili tu ni asset tosha ya kufanya investment bank yoyote ijiuze kwa kusema "tunaye Chelsea". Her political network alone is an asset. Hizi Investment Banks moja ya vitu wanavyoangalia katika kuajiri watu ni personal network yako, kwamba tukikuweka hapa kwetu Rolodex yako ina high net worth potential clients wangapi? Sasa utaona hapo mtu kama Chelsea na network yake anaweza kuwa more valuable kuliko mtu mwenye Ph.D ya math na MBA mbili.

Above all uchumi wa Marekani unaweza kusomea "American Civil War History" ukaenda kuwa consultant kwenye ma Silicon Valley game designing shops u critique military manoeuvres na costumes kwenye video games, au unaweza kuandika kitabu kuhusu battle moja tu ambayo haijaandikwa vizuri mpaka leo.

Ninachoshangaa ni mtu anayedoma masomo haya na kurudi bongo kutafuta kazi.

Asante sana kwa kunielimisha manake nimekuwa nikijiuliza hilo
 
Labda kama umesoma vyuo vya watu geneus kama Havard. Vyuo vingine ni ilimradi uende kusafisha macho tu nje ya nchi basi inatosha. Ukienda vyuo vya Ulaya basi jikite na vijishughuli kama vile kuosha vyombo mahotelini ili ukirudi Bongo uje na vidolali au mkoko wa mkono wa pili. Ili tukuone mwenzetu kasoma nje. Ila ukienda vyuo vya Asia... no job!!!!

Havard ndio nini wewe?
 
Usiwakatishe watu tamaa kwamba no job,kazi watapata ila kwa kuangaika km wengi. Mana hata hapa tz kuna vyuo uchafu kuliko hata hivo vya asia

Hukunielewa. Nilimaanisha kwamba katika nchi za Asia ukienda kusoma basi ni kitabu tu basi. Hakuna vijikazi huko tofauti na nchi za Ulaya.
 
Hakuna boksi huko?

Hakuna aisee. Mathalani mm nilienda India. Hakuna kazi na huruhusiwi kufanya kazi wanasema idadi yso ya watu ni kubwa mno na wengi hawana ajira. Kwa hiyo wewe ukipewa kazi utawazibia riziki wenye nchi yao. Hata unapokwenda Ubalozi wao kukata viza unaambiwa hivyo.
 
Hata kazi mshenzi za kitaa?
 
Employers wengi wanataka at least mtu uwe na experience ya 2 yrs otherwise inabidi u struggle...with that GPA unaeza jarib kuomba kufundisha vyuo kama learn it hata part time..pia unaeza omba kujitolea kwny audit firms ukape experience wkt ukisubiria michongo mingine
 
Habari wanajamii,

Mimi nimesoma shahada yangu nje ya nchi. Wakati nipo nasoma, watu wengi walikuwa wananiambia "aaah we ukija ajira fasta, vyeti vya mbele vinauza". Nimerudi hamna cha mauzo wala nini.

Kwa mnaosoma nje, usiweke high expections kuhusu ajira mkirudi Bongo, tena afadhal waliosoma huku wanajua pa kuanzia, ajira Bongo ni ngumu,,unless unajulikana. Kila la kheri kwa tunaotafuta kazi na wasomi wa nje masomo mema.

Nawasilisha.

Don't forget there's a saying that 'talent hires talent'
 
Attitide gan boss?

Attitude za "kwan kusoma nje ndo nini?". Kuna kuwaga na prejudice na negative attitude towards watu waliosoma nje mostly coming from the angle that Kusoma nje doesn't make you special, which is very true, lakini it goes beyond that because it means your generally judged harder by those who carry that attitude. HR Officer akiwa na attitude hiyo ndo basi tena no job for you.
 
Angalia vizuri mkuu, hiyo sio statement yangu, ni mtu aliandika ivo nikamjibu,,angalia kwa makini zaidi kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom