Soko la ajira kwa waliosoma nje

Soko la ajira kwa waliosoma nje

Watu wengi wakishafeli ndio wanaenda jazana China, Malaysia na India
 
Nimesoma commets za humu na inasikitisha sana.Nimesoma Bsc in Computer Science tena India. Nilipata nafasi UDSM sema I opted to go huko ili nipate exposure na I was very curious kwa nn kampuni nyingi za IT, wale core programmers ni wahindi. Sio kila anae enda sijui india, china au malayasia eti kakosa chuo bongo? Thats not true.
Nilicho observe kwa chuo nilichosoma, wenzetu wako very very serious na elimu, mna extra lab hours. Mnafundishwa programming lugha zote na kudevelop simple softwares. Nilikuwa na wasiliana na washkaji zangu wa UDSM, tunashare syllubus and I spotted the difference. Cc bongo utaambiwa likizo unaenda field, during hio field unapewa kazi mara ya kutoa copy, kuinstall ms office, kufungulia watu emails etc. Something which hujifunzi chuoni. Hii inatufanya so poor practically. Sikatai bongo kuna programmers wazuri tu, but ni mostly ukiwauliza ni wamejifunza from personal effort.
Once ukisoma nje, na ukaelewa na kuweza kupolish your career, unakuwa easy sana ku compete kwenye soko la kimataifa la ajira.
 
inategemea ni chuo gani, huwezi feli ukaenda Tsinghua, Peking, Xiamen, Capital, China Agricultural University na nyinginezo . . .hii ni China tu mkuu, any reputable university hawawezi chukua mtu aliyefeli, hebu feli afu uombe admission University of Nairobi utanambia
 
Na hivyo ulivyovitaja watanzania hawapo, ni sawa na Havard watanzania hawazidi 5.
Mtu akifeli hapa anatafuta vyuo vilivyo chini ili waende kusoma tu
 
Nimesoma commets za humu na inasikitisha sana.Nimesoma Bsc in Computer Science tena India. Nilipata nafasi UDSM sema I opted to go huko ili nipate exposure na I was very curious kwa nn kampuni nyingi za IT, wale core programmers ni wahindi. Sio kila anae enda sijui india, china au malayasia eti kakosa chuo bongo? Thats not true.
Nilicho observe kwa chuo nilichosoma, wenzetu wako very very serious na elimu, mna extra lab hours. Mnafundishwa programming lugha zote na kudevelop simple softwares. Nilikuwa na wasiliana na washkaji zangu wa UDSM, tunashare syllubus and I spotted the difference. Cc bongo utaambiwa likizo unaenda field, during hio field unapewa kazi mara ya kutoa copy, kuinstall ms office, kufungulia watu emails etc. Something which hujifunzi chuoni. Hii inatufanya so poor practically. Sikatai bongo kuna programmers wazuri tu, but ni mostly ukiwauliza ni wamejifunza from personal effort.
Once ukisoma nje, na ukaelewa na kuweza kupolish your career, unakuwa easy sana ku compete kwenye soko la kimataifa la ajira.

Kwa ulioyasema hapa inamaanisha tanzania hakuna elimu?
 
Saa nyingine kusoma Ughabuni kunachangia sana katika kuongeza uwezekano wa kupata ajira unaporejea nchini.Ila tatizo ni chuo na fani ulosomea.Sio unaenda kusoma Barcelor of Arts in Local Weapons management and tribes sensitisation huko Vietnam alafu unategemea kushindana na walosoma vyuo vya maana na fani za ukweli pale University of Twenty.

hahahahahaha,hii bachelor ni kisangaaaa huhuhuhuhuhu...Bachelor of Arts in Local Weapon una maana elimu ya kuhifadhi virungu,masime na magobore ama!
 
Jirani yangu amehitimu BA in Antebellum South and Renaissance studies na amerudi bongo anasaka ajira. Labda mkuu Kiranga na Nyani Ngabu watamsaidia ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom