Soko la ajira kwa waliosoma nje

Soko la ajira kwa waliosoma nje

Umesomea nini? Unatafuta kazi gani?

Sio unaenda kutuchukulia degree ya "American Civil War History" huko na kuongezea masters ya "Art History in the Antebellum South" halafu unataka kuwa Senior Geologist Barrick Gold just because "umesoma nje".

Kabla ya kurudi ulitakiwa kujua soko la ajira likoje. Na kujipanga accordingly.

Umeua mkuu senior geologist si mchezo mkuu
 
Saa nyingine kusoma Ughabuni kunachangia sana katika kuongeza uwezekano wa kupata ajira unaporejea nchini.Ila tatizo ni chuo na fani ulosomea.Sio unaenda kusoma Barcelor of Arts in Local Weapons management and tribes sensitisation huko Vietnam alafu unategemea kushindana na walosoma vyuo vya maana na fani za ukweli pale University of Twenty.
 
inategemea na kozi uliyosoma kwa sisi tuliosomea md mbona tunapeta.
 
Kiranga
Kama uko pub au tavern basi I'll pick up the tab!! Umenifurahsha sana jinsi ulivyo fafanua.
Karibuni Kibera huku fursa za kumwaga.
 
Last edited by a moderator:
Umesomea nini? Unatafuta kazi gani?

Sio unaenda kutuchukulia degree ya "American Civil War History" huko na kuongezea masters ya "Art History in the Antebellum South" halafu unataka kuwa Senior Geologist Barrick Gold just because "umesoma nje".

Kabla ya kurudi ulitakiwa kujua soko la ajira likoje. Na kujipanga accordingly.

Here are the popular college majors za wanugu:
Criminal justice
Public administration
Sociology
Psychology
Social work
Graphic Design
Fashion and design
Sports administration
General studies
General management
Health care administration
Journalism
Childcare management
American history
African studies
History
 
Kama uko pub au tavern basi I'll pick up the tab!! Umenifurahsha sana jinsi ulivyo fafanua.
Karibuni Kibera huku fursa za kumwaga.

The Dalmore, single malt, double double.

Usichokoze.
 
True hata me nina rafiki yangu alisoma nje sasa hv anapiga mihayo tu wakati me nlishapata kazi miaka hiyoo tena sometime bora usome hapa chuo kinacho julikana kuliko kusoma nje chuo kisicho julikana
 
True hata me nina rafiki yangu alisoma nje sasa hv anapiga mihayo tu wakati me nlishapata kazi miaka hiyoo tena sometime bora usome hapa chuo kinacho julikana kuliko kusoma nje chuo kisicho julikana

Rafiki huyo kasoma wapi?
 
Jaribu kuelewa nilichoandika,,sio ugomvi ni ushaur tu nilikuwa natoa kwa wanaosoma nje. Kusoma nje kusoma ndan kote ni kusoma,usikurupuke kucomment boss

Umeongea vema sana. siku hizi know who, hata hivyo candidates ni wengi sana.
 
Umesomea nini? Unatafuta kazi gani?

Sio unaenda kutuchukulia degree ya "American Civil War History" huko na kuongezea masters ya "Art History in the Antebellum South" halafu unataka kuwa Senior Geologist Barrick Gold just because "umesoma nje".

Kabla ya kurudi ulitakiwa kujua soko la ajira likoje. Na kujipanga accordingly.

hahaaaa umeua kiranga....
 
India baab alafu alisoma Bcom lol!

Wakati mwengine issue sio shule wala cheti bali ni jinsi gani you can sell yourself, convince and win the potential employers that you are more than capable to deliver and get the job done efficiently
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom