Soko kuu Urambo lawaka moto

Soko kuu Urambo lawaka moto

nilikuwa eneo la tukio kunajamaa anaongea kwa hisia sana ila anasema hii ajari imepangwa kwani soko kuu la urambo halilipi ushuru halmashauri kwa mgongo wa sitta, hivyo limechomwa ili halimashauri ilijenge upya na lianze kulipa ushuru. Jamaa anaonesha ni km anauhakika na maneno yake kwani anasema hata TANESCO wamehusika kwani kabla ya moto umeme ulizima mjimzima na baada ya soko kuwaka umeme ulirudi km kawaida.

Sasa hapa naanza kupata picha kwa mbali asee!!
 
...bwana 6 kafanya mambo tayari...
 
Poleni sana,na mchunguze maana lazimz kuna uzembe flani
 
Acheni mambo ya kufikirika moto sehemu ulipoanzia hakuna umeme ni vibanda vya mama lishe
 
Tupo nyuma sana linapokuja suala la uokoaji na huduma ya kwanza, kama kungekuwa na watu wangeteketea bila kupata msaada. Hii nchi hii
 
hili janga la moto halimashauri wanahaki ya kulaumiwa! Moto umeanza majira ya saa nne usiku kwenye vipanda vya mamantilie ambapo palikuwa na uwezekano kabisa wa kuudhibiti, ila viongozi wanapiga simu tabora kuomba msaada wa fire, umbali wa kutoka tabora hadi urambo ni KM 90 na barabara ni vumbi.

Kutoa taarifa fire tabora sio jambo baya ila halmashauri haikupaswa kuelekeza akili zake kwenye fire ya kutoka tbr huku soko likiendelea kuteketea kwani gari la fire linaweza kupata brake down na lisifike kabisa. Walipaswa kufanya maamuzi ya haraka hata kwa kuwaomba wachina wanaotengeneza barabara hapa urambo walete WATER BOWSER zao eneo la tukio ili watu watumie maji kuzima moto. Watu walikuwa wengi ila hakukuwa na maji ya kutosha mimi ninaimani soko lisingeteketea kiasi hiki.

Inauma sn ukifika sokoni ila hatuna jinsi nakuomba D.E.D URAMBO utoe tamko kwa uzembe uliofanyika.
 
Tupo nyuma sana linapokuja suala la uokoaji na huduma ya kwanza, kama kungekuwa na watu wangeteketea bila kupata msaada. Hii nchi hii

hapakuwa na watu wa uokoaji kwani hata zile kuta zingeweza kuangukia watu. Askari pia walipaswa kuwepo eneo la tukio ili kulinda mali za wafanyabiashara lkn sikuona askari na watu wameibiwa mali. Mkuu hii nchi ni majanga.
 
Kuna jengo la spika halina kazi wahamie humo,naona mwenyezi mungu anashusha mapigo kwa farao
 
hapakuwa na watu wa uokoaji kwani hata zile kuta zingeweza kuangukia watu. Askari pia walipaswa kuwepo eneo la tukio ili kulinda mali za wafanyabiashara lkn sikuona askari na watu wameibiwa mali. Mkuu hii nchi ni majanga.
Poleni sana wakuu, kupoteza mali zako kirahisi rahisi huwa inauma sana. Hapo inabidi mshukuru kwa uzima wenu Pesa, Mali zinatafutwa lakini sio uhai au uzima mradi mpo wazima mambo yatakaa sawa hata kama itachukua muda.

Inasikitisha mno
 
Hili nilitaka kulisema. Kuna mawili aidha ni hujuma iliyofanywa ili wafanyabiashara wakubali kuhamia maeneo maalumu ambako watakuwa wakilipa kodi, au kuna watu wachache wamewasha moto ili kutafuta sympathy kwa sita na ccm. Na kwa vile ccm ina wakti mgumu, watakuwa blackmailed kufanya jambo lolote jema kwa wafanyabiashara na kw aajili ya unafiki wa sita, watakubaliana ili wakubalike. Mtasikia.

Poleni waathrika wote. Kikubwa jipangeni katika uongozi wenu wa soko, mshinikize ccm iwalipe fidia kwa sababu ni jukumu la seriakli kuandaa mazingira sahihi na salama kwa watu wake. Walitakiwa wawe wameona hizi hatari mapema na kuchukua maamuzi sahihi ya kiuongozi badala ya kuacha hadi mnapotelewa mali zenu zote na kwa unafiki waje kuwapa pole za maneno. Walitakiwa wawe wameshaandaa mipango ya bima za biashara ndogo ndogo kwa nchi nzima. Lakini wao wamekaa kuratibu mauaji ya wapinzani tu.

La pili, mshinikizeni sita awajengee soko la kisasa sehemu safi ya biashara ili muongoze tija katika biashara zenu. Msikubali ahadi za maneno kwa sababu, kipita 2015 hamjafanyiwa, mtaona matusi na dharau mtakazofanyiwa.

nilikuwa eneo la tukio kunajamaa anaongea kwa hisia sana ila anasema hii ajari imepangwa kwani soko kuu la urambo halilipi ushuru halmashauri kwa mgongo wa sitta, hivyo limechomwa ili halimashauri ilijenge upya na lianze kulipa ushuru. Jamaa anaonesha ni km anauhakika na maneno yake kwani anasema hata TANESCO wamehusika kwani kabla ya moto umeme ulizima mjimzima na baada ya soko kuwaka umeme ulirudi km kawaida.
 
Hili nilitaka kulisema. Kuna mawili aidha ni hujuma iliyofanywa ili wafanyabiashara wakubali kuhamia maeneo maalumu ambako watakuwa wakilipa kodi, au kuna watu wachache wamewasha moto ili kutafuta sympathy kwa sita na ccm. Na kwa vile ccm ina wakti mgumu, watakuwa blackmailed kufanya jambo lolote jema kwa wafanyabiashara na kw aajili ya unafiki wa sita, watakubaliana ili wakubalike. Mtasikia.

Poleni waathrika wote. Kikubwa jipangeni katika uongozi wenu wa soko, mshinikize ccm iwalipe fidia kwa sababu ni jukumu la seriakli kuandaa mazingira sahihi na salama kwa watu wake. Walitakiwa wawe wameona hizi hatari mapema na kuchukua maamuzi sahihi ya kiuongozi badala ya kuacha hadi mnapotelewa mali zenu zote na kwa unafiki waje kuwapa pole za maneno. Walitakiwa wawe wameshaandaa mipango ya bima za biashara ndogo ndogo kwa nchi nzima. Lakini wao wamekaa kuratibu mauaji ya wapinzani tu.

La pili, mshinikizeni sita awajengee soko la kisasa sehemu safi ya biashara ili muongoze tija katika biashara zenu. Msikubali ahadi za maneno kwa sababu, kipita 2015 hamjafanyiwa, mtaona matusi na dharau mtakazofanyiwa.

mkuu hili suala la kujenga soko anaweza akalifanya ngazi 2015, siasa ya bongo ya ajabu sn.
 
Back
Top Bottom