mimi_wewe
Member
- Jul 27, 2014
- 70
- 17
Ikiwa katika hali ya kustajabisha na kuwaacha watu midomo wazi usiku huu soko kuu Urambo linawaka moto na cha kusikitisha hakuna gari la zima moto wala kikosi cha kuzima moto. Moto ni mkali na unateketeza mali nyingi sana.
------------------
12th October 2014 23:29
Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
------------------
Soko kuu la Urambo Mkoani Tabora linazidi kuteketea kwa moto muda huu,chanzo cha moto huo ni shoti ya umeme ambayo imetokea katika soko hili, mpaka sasa hakuna kikosi cha zima moto wala askari polisi aliyefika katika eneo la tukio, japo wananchi wanajaribu kuuzima moto pasipo na mafanikio.
12th October 2014 23:29