Mlendamboga
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 664
- 334
ahaaa lile soko dogo pale opposite na OPEN UNIVERSITY..............aiseeeeehFOREST karibu na Karibuni Centre, or Mzumbe university
Chadema hao
kwa nini umesema hivyo..

Nahisi Mby masoko yanachomwa ili watu waote moto

Iundwe tume kuchunguza.

cha kushangaza ni nini hapo?

Cha kushangaza ni kuwa hatujifunzi hata kwa makosa yetu wenyewe!
Kama meli ilizama just 15years ago na kupoteza maisha ya watu wengi na leo tena kwa sababu zile zile meli nyingine ikazama na kuua kama kawaida sembuse kuungua kwa soko?

makosa kama haya yalitakiwa yatutoe tongotongo tuweze kuona ili yasitokee tena!
Siye ndio watu weusi bana!!