Soka la Tanzania ngazi ya vilabu inakuwa kwa kasi sana, hongereni wawekezaji

Tatizo wachezaji wanao fanya vizuri na kuzibeba hizi timu wote ni wa nje, so haya mafanikio hayana uzuri wowote kwa timu yetu ya taifa.

Ila kama Yanga akipangiwa Asec,anaingia Nusu fainali.
 
Tatizo hatuna wachezaji watanzania wa kutufikisha hapo tunategemea wageni
Hivyo soka ka Tanzania kwa upande wa timu ya taifa ni zero.
Man city panga first eleven tuone kama utapata waingereza watano...
Timu ya Taifa si lazima ijengwe na wachezaji wa vilabu vya ndani ..
 
Utabiri wangu

Mamelod vs Es Tunis
Yanga vs petro Atletico
Simba vs Al Ahly
Asec vs Tp Mazembe
 
Tatizo wachezaji wanao fanya vizuri na kuzibeba hizi timu wote ni wa nje, so haya mafanikio hayana uzuri wowote kwa timu yetu ya taifa.

Ila kama Yanga akipangiwa Asec,anaingia Nusu fainali.
Kwani wachezaji wanaoipa UCL Madrid wa wapi? Hizo ni klabu sio timu za taifa.
 
Kwani wachezaji wanaoipa UCL Madrid wa wapi? Hizo ni klabu sio timu za taifa.
Ulikiona kilicho tokea AFCON, ligi yako ni ya tano kwa ubora ila imeshindwa hata kuvuka round ya pili, njoo kwenye timu zetu,wanao perform na kuimbwa kila siku ni wachezaji wa mataifa gani?

Ligi yetu ni bora ila ubora wake haujizihirishi kwenye timu yetu ya taifa,sababu wachezaji wanao fanya vizuri sio raia wa TZ.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom