Mkuu zeni2017 kuna ishu inaitwa COMPILER huyu ndo anataACT kama mkalimani baina ya code ulizochapa wewe na computer , so ukichapa code kwa lugha yako compiler inaitafsir kwenda kwenye digital language ndo hizo logical circuits zinakuwa activated,so codes unazochapa ukifuata utaratibu zinatumika kuactivate logical ckts humi ndani, yaan codes zako zinadecide inputs na zinadicatate outputsUpo vizuri kuliko majibu yote yaliyotolewa hapa. Sasa umechapa codes vizuri. Zimekubaliana na lugha ya computer ya binary. Swali ni codes zinaveukaje kuwa 0 na 1?
Kwanza ishu inaanzia hapa. Hizi codes tayari unazichapa kwenye computer. Hivyo ni vigumu kutoa jibu software inalink vipi na hardware.
Labda tungeanzia na nini kilianza kati ya hardware na software?
Na je nikisema programmer akikosea codes ni sawa na mganga wa kienyeji kukusea masharti ya uchawi italeta sense au hauleti?
Mkuu zeni2017 kuna ishu inaitwa COMPILER huyu ndo anataACT kama mkalimani baina ya code ulizochapa wewe na computer , so ukichapa code kwa lugha yako compiler inaitafsir kwenda kwenye digital language ndo hizo logical circuits zinakuwa activated,so codes unazochapa ukifuata utaratibu zinatumika kuactivate logical ckts humi ndani, yaan codes zako zinadecide inputs na zinadicatate outputs

Hahahahahaha hivi Ni kwl kwamba watanzia wengi bado hawaana uelewa wa kompyuta au hahah daa sasa zikija hzo Internet of Things sindo mtasema mnamwona yesu
Wakuu naelekea kujijibu swali langu mwenyewe ni jinsi gani software na hardware zinakutana. Nikikosea nisahihisheni.
Code au program kwa lugha ya mtaani ninayoelewa mimi ni formula ya kuzima na kuwasha viswichi vya computer.
Ukiandika a viswichi vinazimwa na kuwashwa kwa mtindo huu 01000001.
Kila zero ni off, kila moja ni 1.
Contact ya hadware na software inapatikana kwenye current za umeme zinazokuja kwenye keyboard na touch screen.
Software compatibility ni kukubaliana kwa architecture ya computer na ya program iliyoandikwa.
Bingo! Mtu angenijibu hivyo ningeelewa siku nyingi.
Ila ujinga unabaki kwenye kuzima viswichi vya umeme kwa mpangilio fulani halafu computer irikodi audio na video ya Magufuli????????????!
Hamna zero na moja ndan ya kompyuta Ni switches zinazo alternate kwenye discrete Maxima positive voltage na maximum negative voltage.Hzo zero na one ni abstraction kutoka kwenye hzo discrete maximum na minimum voltage
A computer is a physical manifestation of computation.Computation meaning kwamba given a certain input perform certain well defined operations to generate output.Kila kitu unachokiona kwenye monitor na hzo program Ni abstraction.
Hzo instruction na data unazoziona kama Ni uchawi Ni tu kuwa wameamua ku encode data na instruction kwa kutumia hzo discrete maximum and positive voltage.Kila instruction ya software in reality Ni just switching between the two values.
Infact unaweza tumia mawe kutengeneza computer. Tena infact Kuna kitu vinaitwa molecular computing na quantum computing ambapo hamna transisitor huko.Ila kwa hi sidhan kama utaelewa maana itabidi nikupeleleke kwenye dunia ya church-turing machines ambayo sdhan kama kichwa chako kitaweza meza
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?Call me dumb!
This is just magic.
Ukiniuliza mimi nitakuambia Mungu amewafungulia binadamu muongozo tu wa kufanya ili wapate computer. Lakini hata wanaozitengeneza hawajui zinafanyaje kazi.
Haha nimekutana na watu hawajui kutumia mouse ila wewe Ni special case naona umeshindwa kusoma hcho kipande cha pili
Unalo hilo. Utatuambia leo roho ya computer imekaa wapi?
Bro labda nikueleweshe vizuri
umeshajua kuwa ndani kuna maximum na minimum voltage ngoja nianzie hapo
Ckia bro katika von neumann based machines kuna kitu kinaitwa fetch-decode-execute
Instructions na data zinakuwa stored kwenye memory, processor ina zi fetch na kuzi decode kwa kutumia control unit.Ikisha decode na kujua kuwa hii ni labda xor operation then control unit inatuma data na hyo instruction kwenye ALU ambayo itatekeleza na kuleta data ambazo zitakuwa stored kwenye either register au memory locations
instruction za software nyingi unazoziona ni either Arithemtic au logic operations
.Hizo switch kuwashwa na kuzima ni kitu kinachotokana na the basic instruction ambazo cpu inazo juu ya kuzima na kuwasha switch.Infact hizo instruction za ku switch ziko manifested kwenye hardware kwa hyo kuzima na kuwasha switch ni kutokana na architecture ya walio design cirucit.The cpu has been designed and implemented in a way kwamba switch zitazima na kuwaka in a certain way
Sasa mimi sioni huo uganga unatoka wapi hapo
Unaweza kuthibitisha Mungu yupo?

Sasa kama hii ni topik nyingine haihusiki hapa, kwa nini umeitaja hapa?Hii topik nyingine haihusiki hapa halafu italeta ubishi wa imani za watu. Ila tu jibu rahisi ni kuwa nimelinganisha mafunzo ya vitabu vya dini na ya shule nikagundua wanasayansi wanavyoielezea mother nature ni sawa na waislamu wanavyomuelezea Mungu.
(This is my personal opinion. Sijafundishwa na shehe wala kasisi. Si kazi akakurupuka shehe hapa kuleta ubishi wa nje ya mada iliyopo mezani)
Nanna Hili jukwaa like limekuzidi umri, mendacity fesibuku Nathaniel huko ndio Kuna kufaa.Mbona hujatengeneza CPU yako?