Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

- Mkuu this is irrelevant to the subject na ingawa sina sababu ya kuijibu, lakini nitaligusa mbele. Inaonekana sasa tutaanza kujaribu kuchunguza members wa JF walivyozaliwa hapana hili halinihusu mkuu na wala halina uhusiano wowote na masilahi ya taifa.

- Lakini bado ninasimamia kwenye point yangu kuhusu uwezo mdogo wa Waziri Sophia na sababu yangu ya kuyaunga mkono maneno ya Malecela na Mama Kilango so far on this ishu.

1. Malecela amemjibu Waziri Sophia kwamba ni kichaa anahitaji kupimwa, na Mama Kilango amempa nafasi ya kumshitaki akiwa kama waziri wa Usalama wa Taifa, knowing kwamba Mama Kilango ni fisadi na Jeetu ni fisadi, na anao ushahidi yeye kama waziri atangulie nao kwenye sheria, also ninaelewa kwamba bado hajazungumza kwenye hiyo kamati.

2. On Waziri Sophia, ninasema kwamba uwezo wa kuwa waziri wa Usalama wa Taifa, hana kwa sababu ni too compromise kwani masiha yake binafsi hayawezi kumpa nafasi ya kumkemea kiongozi yoyote mla rushwa kwa sababu amediriki kuwaibia marafiki zake waume zao, infact mmoja wao wa hao marafiki zake alipogundua what Sophia did aliishia kupata stroke she never recovered na akaishia kufa, mwanamke aliyezaa na waume wanne viongozi wa serikali hiyo hiyo ambayo yeye ni waziri wa Usalama wa taifa, hawezi kuwakemea hao viongozi aliozaa nao wakipatikana na rushwa au wakihatarisha usalama wa taifa letu, in general hawezi kuwa kiongozi period!

3. Nilitegemea by now, baada ya kujibiwa Waziri Sophia atakuja na majibu ambayo ni ushahidi kwamba yeye ni mzima wa afya, na kwamba anao ushahidi kwamba Malecela alipewa hela na Jeetu, hela ambazo ni chafu na Malecela na mkewe walijua kuwa ni chafu lakini wakazipokea anyways, hayo sijayaona ila naona maneno mengi ambayo hayana faida yoyote kwa taifa.

- Ya watoto wa Malecela yatajibiwa na wao wenyewe na wala hayanihusu, mimi ninasimama pale pale kwenye point yangu kwamba Waziri Sophia hana uwezo wa kuwa waziri wa Usalama wa Taifa, na Malecela hana any burden ya ku-prove anything, mwenye hiyo burden ni waziri wa Usalama wa Taifa na Takukuru, Malecela sio kiongozi wa taifa tena alishaacha siku nyingi ninamuona kama wananchi wengine wa kawaida, isipokuwa Waziri anatakiwa kuenda mbele zaidi na haya madai yake, otherwise anakuwa kama Malecela alivyosema kwamba ni kichaaa!

- Na incase, binafsi mkuu nimezaliwa Ocean Road na nimekulia Ikulu maisha yangu yote utotoni, na hapana ninao wazazi wangu wawili wote wazima na wanaishi, na hawakunizaa vichakani na katika familia yangu nimezaliwa wa kwanza anayenifuatia lizaliwa miaka mitatu baadaye. Kwa hiyo katika kuzaliwa kwangu hakuibiwa mtu wala hakuwa anaogopwa mtu, ndio maana ninaamini kwamba unawazungumzia watu nisiowajua na hayanihusu, lakini ilikuwa ni lazima niweke ukweli wazi hapa ingawa kuzaliwa kwenye Hospitali au vichaka sidhani kama ni moja ya sheria za kujiunga na JF.

Na ninaomba nikuhakikishie kwamba msimamo wangu hauyumbishwi wala kutetereka na maneno yasiyokua na ushahidi wala facts, kama ulirusha hayo matusi juu ukinielekeza mimi basi umekosea sana mkuu maana hayanihusu wala hayanibadili anything, mimi ni mwanasiasa in my own rights na kwenye siasa ni kama kwenye vita na mapenzi, yote huwa ni sawa na nitaendelea hapa JF kuweka mawazo yangu kama kawaida na ninakukaribisha anytime kujadili taifa na masilahi yake.

- Kama ulifikiri utaninyamazisha na haya maneno kama ya Sophia basi nakuomba ufikirie tena! ukitaka info zangu za jinsi nilivyozaliwa mpaka leo ninaweza kukupa bila matatizo kama haya maneno yako yananihusu maana siamini kuwa yananihusu, ila usitafute maneno ya mtaani ukajaribu kuyafanya ukweli kama Sophia, tafuta facts!

- Mimi ninapomshukia anybody huwa ninakuwa na facts sio filimbi, ya kuhusu ndoa na watoto wa Malecela, labda ungeanza wewe mkuu kutuonyesha cheti cha ndoa ya mama na baba yako ukakiweka hapa JF kikathibitishwa kuwa ni cha kweli na wazazi wako ndio hasa wako, then ndio utakuwa na hiyo right ya kudai vya wengine kama ni lazima kuwa navyo kuwa member JF, otherwise huu mjadala ni muhimu sana kwa taifa, yaani wananchi wakawajua vizuri viongozi wao, ninajua watoto wote wa Malecela wote wamesoma na wana maisha na wako safi, Mama Kilango naye pia wote wako safi wamesoma na wana maisha, wa Sophia nimeshasema sitaki kurudia, na ninasikitika sana anaposhindwa kutumia nafasi yake kumtoa yule aliyefungwa maisha jela ya kule US, I know the poor guy, linasikitisha sana Sophia anaweza kumtoa yule kijana akitaka!

Aluta Continua!

FMEs!
 
 
 
 
Mkuu Mzee FMES, mimi hapa nakusupport 110%.

Waziri Simba kama kiongozi wa Usalama wa Taifa, hawezi na kisheria haruhusiwi kutumia ofisi yake kwa masuala yake binafsi au kichama. Hii ni hatari sana kwa sababu anawaweka watu roho juu, utashindana naye vipi wakati anaongoza vyombo vya moto???

Mimi nasema huyu mama aondolewe ASAP, sababu hii ni hatari sana kwa wananchi wa TZ tunaopinga ufisadi.
 
Jamani huyu fisadi anatuangusha wanawake, imagine ndio cheawomen wa yu-dablyuu-tee heh bad news. Kama bado anayo "dignity" hata kiduchu iliyobaki ajiondokee tu mwenyewe!!
 
Binti Simba, si ujing'atue tu jamani yaani huwezi kusoma alama za nyakati? ukagundua kuwa Wa Tz are up to here!!
 

- Mkuu Moelex, heshima mbele wala usiwe na wasi wasi katika taifa hili bado tupo wachache tunaoamini in facts na ukweli na in the end tutashinda tu regardless ya mashambulizi hewa, si unajua mkuu kuwa haya ni mapambano ya fikra!

- Ila ubarikiwe unajua it takes a lot kusimama kama ulivyofanya na kuhesabiwa, sisi tutaendelea kusimamia ukweli na facts tu, eti Sophia anaweza kuwa Waziri Wa Usalama ni only in Tanzania na inasikitisha sana!

- Sasa ninawahi mzigoni ni asubuhi saa nane, mwenye maswali zaidi nitarudi later ila sikimbii vita never hata siku moja! Bwa! ha! ha! ha! wala simuogopi mtu au maneno bila facts!

Respect.


Field Marshall Es = Wazee Wa Sauti Ya Umeme ni Real Deal!
 
Mama Simba aombe msamaha kwa kusema ukweli? CCM yote ni lichama la mipasho bora wapashane tu na tuwajue vizuri.

Kama Malecela yuko kwenye payroll ya Jeetu, habari muhimu kama hiyo tungeliijuaje bila Sophia kuropoka?

Hakuna msafi ndani ya CCM na wacha waumbuane tu.

FMES, unatetea mafisadi wa nchi hii akiwemo Malecela, labda kwasababu na wewe ni fisadi yaani ni kizao cha mafisadi.
 
Mama wa watu wala haoni kama amekosea ,wala hajui na kujiuzuru kwake ni ngumu kama vile tajiri kuurithi ufalme wa mungu ( kichwa chake kina waza madudu)
 
 

Maneno yanaujumbe mzito sana haya! Asante FMES Mzee wa dataz na facts!
 
 

kuna kitu hakiko sawa kichwani mwako. Unasema sophia ameropoka halafu unadai umejua habari hiyo ni kweli. Honestly ou make me sick. Usi-label watu ufisadi wakati ukiambiwa uelezee ifisadi wao unakunja mkia kama mbwa koko.
 
😕Hivi watanzania tutakuwa lini makini?? huyu ni changudoa anatakiwa apewe heshima hiyo tu kwamba ni changu!! kinachotakiwa hapa ni kumtaka Rais atuondolee huyu changu walikokutana watafutane hukohuko!! sasa kama angekuwa amentuma kuwakilsha nchi akawa emotional namna hii , hivi si tungekuwa tunapigana vita ingine!! hakubehave kama waziri!! mwakilishi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amebehave kama changudoa anatakiwa hawajibishwe!! hii ndo inatakiwa Rais aambiwe kama haoni kulinda kiti cha Rais wa JMT na mawaziri atakao wateua baadaye!! a full cabinet minister can not behave the way this bitch is behaving na akabaki kuwa waziri then Rais wa nchi anatupa picha kwamba huyu ni mwakilishi wake!! yaani rais wa nchi picha yake ni Huyu changu!!! God save Tanzania
Rais aone hili na atuondolee hii aibu.Nafikiri angekuwa mzee Kambarage huyu tungeisha msahau. hii ni aibu ya taifa!!!
 
Ukiwa Mropokaji...hutakiwi kuwemo au kuongoza taasisi nyeti kama TAKUKURU au UWT au kuitwa kiongozi wa Utawala bora

Tumeona akina Mramba, Yona na wengine wakipelekwa mahakamani kwa ku-abuse power walizokuwa nazo na facts ziko huko..........Wewe Sophia hebu tupelekee mahakamani hao Rostam, Lowassa, Hosea, Mnyika, Chenge, Msabaha mahakamani kwani facts ulishapewa na Bunge lilisharidhia.......
 
Na hapo ndo hasa shida kubwa ilipo! Sio wote waliojaaliwa kuona makosa.

Huyu mama mbona tulisha mwona tokea mwanzo kuwa kilaza tu tatizo la CCM hizi fadhira ndizo zinazo tufanya kuwa na viongozi wabovu na ambao hawana hata upeo wa kuongoza wao ni kuendeleza ngonjera za fitna na majungu. Tukiwaondoa hawa na hakika tutapiga hatua.
 
 
- Jumapili hii inayokuja Saa 7:00 mchana nitatangaza rasmi hapa JF chaguo la mgombea wangu ninayemchagua kuniwakilisha huko Kyela, na nitakayempigia kampeni kufa na kupona kwa ajili ya masilahi ya taifa langu Tanzania.

NB: Mkuu Engineer ninawahi kazini lakini nikirudi nitakujibu ipasavyo.

FMEs!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…