Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

huyu mama ni kati mizigo ambayo JK anatakiwa aitupe, sio kuitua
 
huyu mama ni kati ya mizigo ambayo JK anatakiwa aitupe, sio kuitua
 
 
huyu mama ni kati ya mizigo ambayo JK anatakiwa aitupe, sio kuitua

Mkuu ukisema hivyo ni kama vile JK ni rais mzuri,

JK mzigo kabla hata hajaingia ikulu, ulitegema mawaziri wake ndio wawe bora?

This is just simple logic, unless unataka kutuelezea JK kitofauti

JK alimpa uwaziri Chenge, chenge unamfahamu wewe?, unamfahamu waziri mkuu aliyeteuliwa na JK hapo mwanzoni, unamjua weye!

Twendeni kulia na kushoto, SS ni matokeo ya JK.period!

kkupoteza muda kujadili na kuyalaumu majani kwa nini yanadondoka badala ya kukata mti na kung'oa mizizi....malizia
 
 
CCM mtatafutana sana mwaka huu. Njanja yenu tumeshaijua na sasa tupiga vita ardhini na ki roho - jasho litawatoka!
 
 
Kazi kweli kweli..JK alisema ukitaka kula lazima uliwe kidogo.Haya mambo ya kuachana wazi yameanzia wapi tena? Ndo matatizo ya kujaribu kutatua tatizo kwa kulianzisha jingine.Duuh! Mama kumbe kila mwana na baba yake!!
 
TUJIKUMBUSHE
Uchaguzi wa Busanda Mama SS alikuwepo pale na TAKUKURU yake, Mama Kilango na Mzee walikuwepo kuokoa jahazi, Mzee Mengi alituma 100M kusaidia uchaguzi, Leo hii wote hawa hawaelewani!!! CCM wanatuhadaa saana sisi Maskini.
 

Webby,

Mkuu hapo tuko ukurasa mmoja.......
 
...Na jana kasikika akisema kwamba hajaona kosa lolote alilotenda akiwa Dodoma kiasi cha wananchi kumuandama na kumsakama kiasi hicho! Hata hivyo kasema pia kwamba haoni kosa linalomfanya kujiuzulu!
Kweli waziri tunaye......
 
Wazee mbona siwaelewi? au kuna kitu ambacho sisi wenye kuvaa miwani hatuoni? au ni chuki tuu siwaelewi.

Huyu mama mimi ninamsifu sana kwani aliongea yale yaliyokuwa moyoni mwake [right or wrong] lakini hakuwa mnafiki. wangapi wana gutts kama yeye ambao kazi yao kubwa ni kuteta kwenye vijiwe? vilevile ieleweke kuwa maneno yoyote aliyosema yalikuwa kwenye kikao rasmi cha faragha[This mama is a man and a half]. Jee sisi tunamshutumu vipi? kama kuna kosa kubwa ni hao wanaokuwa mabubu kwenye vikao hivyo na kuvujisha mazungumzo ya kikao kwa wakubwa zao ambao siyo wajumbe? Ule msemo wa kukosoa na kukosoana ndani ya vikao halali umekwenda wapi???
Mama huyu amenifurahisha sana kwani wengi wamejaribu kumtega nje ya kikao lakini amekataa kuingia kwenye mtego wa kutoa siri za vikao.
Mimi nadhani tungoje vikao vya juu ambavyo vitajadili masuala yote.
 
Sasa akiondoka watampata wapi wa kuwahudumia pale dodoma wale anaowaburudisha kule? Kwani ameteuliwa kwa uwezo wake au kwa huduma zake nyinginezo?

Leka
 
 

Wewe kweli ni Abunwasi! wazungu wana ule msemo wao kuwa "A silent fool is counted wise". Unataka kuniambia ukiyasema yale yaliyo moyoni hata kama ni upuuzi basi tukusifie tu kwa kuwa umeyatoa yaliyokujaa? Kweli mkuu kama ni mstari basi umegonga chini sana.
 

Sijui kwanini unapenda kujadili majungu;

Huyu mama SS kwenye hicho kikao yote aliyoongea hakuwa na documents yeyote mkononi! ndo maana Mb. Masilingi aliingilia kati kwenye hiyo kamati kuwa inabidi kila mtu hapa anayeropoka inabidi kuwe na ushahidi! Sijui kama hilo unaelewa!! Vivyo hivyo yote uliyoongelea kwenye thread hayana maana!! ushahidi huko wapi wa Malece na Mkewe??

Hapa hatujadili majungu!!! Mfatilie Mama Kilango kila hatua anayochukua, anakuwa na makaratasi mkononi. Sasa hoja unayojenga hapa iko wapi!! Anyway nakwelewa sikutaka kujiingiza kwenye huu mjadala lakini usiwapotoshe wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…