William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Unapoteza muda wako, wengine ni vitoto vya shule. Vinaandika vikiwa vimechoka na haviwezi kufikiria.
pale manzese kwa mfuga mbwaChati ipi hiyo?
African politics, au Tanzania Politics? Au tuseme Politics sasa hivi imeingiliwa na vichaa, labda nieleze jinsi CCM wangemweshimu John Malecela.
1. Elder - Huyu ni Elder wa CCM ambaye convincing power yake kuwafanya wananchi waielewe CCM. Huyu aliweza kuitwa popote uchaguzi utakapofanyika ili asaidie mambo. Sidhani kuna Elder mwenye uwezo wa kumfikia huyu, kiuelewaji wa mambo, ki-ushirikiano na kwa uvumilivu aliokuwa nao katika dirty politics za bongo. Anastahili heshima.
2. He is a STEm/Root of The party; na ni mtu ambaye anaweza kuiyumbisha CCM akiamua afanye fujo na hamna atakayemzuia. Huwezi kumpakaza kwa lolote lile ELDER kama huyu kama wewe ni CCM maana utakayosema kuhusu yeye ni sawa kabisa kukisema Cha CCM direct kuwa haifai. Practically CCM haichani na Malecela.
3. Utovu wa Nidhamu Wa Hali ya juu: Unajua kuna mambo ya kusema; na mambo ambayo si ya kusema. Kuna mtu anaitwa Statesman na Diplomat. Sofia kweli kwa sasa hivi ingawa anaweza kuwa ameongea kuwridhisha watu lakini ile centre of intergrity na respect ya CCM ishakuwa questinable. I was thinking Mwinyi was even dirtier what prompted him pick Malecela; so she (Sophia) is insane. She 's got neither respect nor diplomacy. Cha ajabu hata muungwana intergrity yake ni questinable kama anategemea Waziri kama huyu.
4. The FUTURE: CCM wanamwitaji sana Malecela kuliko mtu yeyote yule kwa kampeni za mwaka 2010. Mwinyi hawezi kusema, akina Makamba, Msekwa na wengine siyo factor. Usiwapumbaze ule ushindi uliopikwa na Mkapa kumchagua Kikwete eti uliwakati ali-triumph na anaweza kwenda kirahisi bila ya watu kama Malecela, Salim, etc etc
5. I am afraid there is a backed up conspiracy; na allegation kuwa Mke wa Veteran/ Elder alikutwa na drugs is too heavy, na kuwa ati anaona wivu yeye ndiye angekuwa First Lady is really unfounded, hii ndiyo inaitwa Real Blackmail.
Na yale maneno ya kumwita mwamume mbele ya kadamnasi ya kikao kuwa ndiyo mwanamume wa Shoka, is too low for her; she should be saying that during giving him a blow job not at such a meeting!!
3. Utovu wa Nidhamu Wa Hali ya juu: Unajua kuna mambo ya kusema; na mambo ambayo si ya kusema. Kuna mtu anaitwa Statesman na Diplomat. Sofia kweli kwa sasa hivi ingawa anaweza kuwa ameongea kuwridhisha watu lakini ile centre of intergrity na respect ya CCM ishakuwa questinable. I was thinking Mwinyi was even dirtier what prompted him pick Malecela; so she (Sophia) is insane. She 's got neither respect nor diplomacy. Cha ajabu hata muungwana intergrity yake ni questinable kama anategemea Waziri kama huyu.
!!
Thanks kuwajua wabongo wote katika kipindi hicho cha miaka 20. Nadhani sentensi sahihi, ni wewe uli/unawajua baadhi ya wabongo, kuwajua wote huwezi, kama FBI wenyewe na CIA yao achilia Interpol na vyombo vyetu duni vya ulinzi na usalama haviwajui wote itakuwa wewe?.- Mimi nimewahi kuishi Us kwa 20 years, ninawajua wabongo wote waliojiingiza huko kwenye madawa tena ninawajua kwa majina,
FMEs!
Thanks kuwajua wabongo wote katika kipindi hicho cha miaka 20. Nadhani sentensi sahihi, ni wewe uli/unawajua baadhi ya wabongo, kuwajua wote huwezi, kama FBI wenyewe na CIA yao achilia Interpol na vyombo vyetu duni vya ulinzi na usalama haviwajui wote itakuwa wewe?.
.
Sophia simba awa kigezo kwa wa Tanzania wengi hasa wenye huruma na uchumi wa nchi yao ,amekuwa midomoni mwa wanachi wengi kwa ubora wa kusimamia kile anacho kiamini kuwa ni cha ukweli na ni faida kwa taifa.
nawaomba sana tuungane na watanzania wote kuiomba serikali yetu ismamishe uchimbaji wa madini yetu mbalimbali na hasa dhahabu.
Sophia simba awa kigezo kwa wa Tanzania wengi hasa wenye huruma na uchumi wa nchi yao ,amekuwa midomoni mwa wanachi wengi kwa ubora wa kusimamia kile anacho kiamini kuwa ni cha ukweli na ni faida kwa taifa.
Hivi hata mama Kilango ameamua kukaa kimya baada ya Simba kuropoka? Inaelekea hilo bomu lina ukweli maana mpambanaji naye kaamua kutengeneza suluhu?
Kwa Malecela hawezi kwenda mahakamani maana huko ataumbuka zaidi. Nyerere alipomwita mhuni hakukosea kabisa. Nilitegemea mama Kilango ambaye nampenda kwa kuchapa kazi kwake na upiganaji aende mahakamani kumshitaki Simba. Lakini ghafla ziiiii! Kuwa kwenye payroll ya mhindi fisadi ni balaa kabisa. Malecela angepata urais huyu Jeetu angelikuwa kama alivyo RA kwa Kikwete. Hii CCM mijitu mibaya kabisa, mbona inanunuliwa na Wahindi?
Kuna watu wanamlaumu mama Simba kwa umalaya? Jamani ukiwa kwenye nyumba ya vioo usirushe mawe. Mbona malecela naye kazaa na wanawake wengi tu mpaka watoto wake wengine wa vichakani tuko nao hapa JF.
Mkiendelea kurusha mawe, tutatoboa siri zote hata kama mtatuambia tuende Mirembe kupimwa.
Hivi hata mama Kilango ameamua kukaa kimya baada ya Simba kuropoka? Inaelekea hilo bomu lina ukweli maana mpambanaji naye kaamua kutengeneza suluhu?
- Zamu yake bado mbele ya kamati, unakuja Sophia atajibiwa kwa facts Seleli ameshaanza tayari, facts sio mipasho!
Kwa Malecela hawezi kwenda mahakamani maana huko ataumbuka zaidi. Nyerere alipomwita mhuni hakukosea kabisa.
- Alikuwa anarusha jiwe kwenye kioo wakati na yeye alikuwa kwenye kioo hicho hicho.
Nilitegemea mama Kilango ambaye nampenda kwa kuchapa kazi kwake na upiganaji aende mahakamani kumshitaki Simba.
- Again zamu yake kwenye kamati bado inakuja tena soon, hataongea mipasho itakuwa facts kama Seleli alivyoanza.
Lakini ghafla ziiiii! Kuwa kwenye payroll ya mhindi fisadi ni balaa kabisa. Malecela angepata urais huyu Jeetu angelikuwa kama alivyo RA kwa Kikwete. Hii CCM mijitu mibaya kabisa, mbona inanunuliwa na Wahindi?
- Jeetu amechangia mpaka Nyerere Foundation tena sio mara moja, toka Mwalimu akiwa hai unasema alimnunua Mwalimu? Subiri facts zinakuja siku ya zamu ya mama, usiwe na haraka mkuu ni kwa pace yake mama sio ya Sophia lakini atajibiwa!
Kuna watu wanamlaumu mama Simba kwa umalaya? Jamani ukiwa kwenye nyumba ya vioo usirushe mawe. Mbona malecela naye kazaa na wanawake wengi tu mpaka watoto wake wengine wa vichakani tuko nao hapa JF.
- Sophia amezaa na viongozi wanne mpaka akaishia kupewa nafasi ya uongozi, tena ameezaa na waume wa marafiki zake na sio siri alijaribu kutaka kumuingia mzee lakini akakwama no wonder na haya maneno machafu yasiyo na facts,
- Inaeleka wewe umezaliwa vichakani, yaani baba yako alikuzaa vichakani maana sijawahi kusikia binadam amezaa vichakani, sasa tuelimishe hiyo theory ya binadam kuzaa na vichaka ni lazima baba yako alikuzaa na vichaka, lakini Sophia hakuzaa na vichaka amezaa na viongozi wanne tena mbali mbali wa serikali ya sasa, ila please kuzaa na vichaka hii ni mpya sasa tusaidie ulizaliwaje kati ya baba yako na vichaka? Bwa! ha! yes it fun!
Mkiendelea kurusha mawe, tutatoboa siri zote hata kama mtatuambia tuende Mirembe kupimwa.
- Watuwazima hawatishiani nyau mkuu, yatarudishwa tu tunachotaka hapa ni facts na hoja sio mipasho, angalia Seleli facts tupu!
Respect.
Field Marshall Es!
Mkuu Engineer,Heshima yako mzee
Safi sana.Tunawajua wengi sana.Mmoja wapo ni huyu dada wa Vernon, New York. Yeye majina yake ni NNM.ni mkwe wa fisadi John Malecela na analalazisha watu tumsafishe John Malecela.
Halafu mjinga mmoja anamtetea eti wanakupotezea muda.Sijui ni yeye amemnunulia vourcher ya muda wake?
Mkuu Engineer,Heshima yako mzee
Safi sana.Tunawajua wengi sana.Mmoja wapo ni huyu dada wa Vernon, New York. Yeye majina yake ni NNM.ni mkwe wa fisadi John Malecela na analalazisha watu tumsafishe John Malecela.
Halafu mjinga mmoja anamtetea eti wanakupotezea muda.Sijui ni yeye amemnunulia vourcher ya muda wake?
Mkuu Engineer,Heshima yako mzee
Safi sana.Tunawajua wengi sana.Mmoja wapo ni huyu dada wa Vernon, New York. Yeye majina yake ni NNM.ni mkwe wa fisadi John Malecela na analalazisha watu tumsafishe John Malecela.
Halafu mjinga mmoja anamtetea eti wanakupotezea muda.Sijui ni yeye amemnunulia vourcher ya muda wake?
- Zamu yake bado mbele ya kamati, unakuja Sophia atajibiwa kwa facts Seleli ameshaanza tayari, facts sio mipasho!
- Alikuwa anarusha jiwe kwenye kioo wakati na yeye alikuwa kwenye kioo hicho hicho.
- Again zamu yake kwenye kamati bado inakuja tena soon, hataongea mipasho itakuwa facts kama Seleli alivyoanza.
- Jeetu amechangia mpaka Nyerere Foundation tena sio mara moja, toka Mwalimu akiwa hai unasema alimnunua Mwalimu? Subiri facts zinakuja siku ya zamu ya mama, usiwe na haraka mkuu ni kwa pace yake mama sio ya Sophia lakini atajibiwa!
- Sophia amezaa na viongozi wanne mpaka akaishia kupewa nafasi ya uongozi, tena ameezaa na waume wa marafiki zake na sio siri alijaribu kutaka kumuingia mzee lakini akakwama no wonder na haya maneno machafu yasiyo na facts,
- Inaeleka wewe umezaliwa vichakani, yaani baba yako alikuzaa vichakani maana sijawahi kusikia binadam amezaa vichakani, sasa tuelimishe hiyo theory ya binadam kuzaa na vichaka ni lazima baba yako alikuzaa na vichaka, lakini Sophia hakuzaa na vichaka amezaa na viongozi wanne tena mbali mbali wa serikali ya sasa, ila please kuzaa na vichaka hii ni mpya sasa tusaidie ulizaliwaje kati ya baba yako na vichaka? Bwa! ha! yes it fun!
- Watuwazima hawatishiani nyau mkuu, yatarudishwa tu tunachotaka hapa ni facts na hoja sio mipasho, angalia Seleli facts tupu!
Respect.
Field Marshall Es!
Ha haaaa! FMES
Watu waliozaliwa wakati chupi zinavuliwa vichakani, wakijificha wenye mali wasiwakamate inatakiwa wasirushe mawe.
Mimi naipenda JF ila huyo mzee Malecela asingeweza kukataa kuvua chupi ya Sophia. Atakuwa tu hakupata hiyo bahati. Lizee limevua hata chupi za wafagiaji ndio awe mama Simba?
Waliozaliwa vichakani wanajijua wenyewe hata warushe mawe vipi JF ukweli huo haufichiki.
Nyie mliozaliwa vichakani, tuelezeni Malecela alifunga wapi ndoa na mama zenu?
Mitoto inayotengenezwa kwenye meza za ofisini huku wazee wakiogopa kukamatwa inakuwa hovyo na bahati mbaya tunayo mingi hapa JF.
Msirushe mawe wakati mmekaa kwenye nyumba za vioo.