Billy,
Kuna member mmoja kaandika kuwa huyu mama ni Changudoa.
Sasa kama anamsifia Lowassa kuwa ni Mwanaume wa Shoka, inawezekana kashashuhudia USHOKA wake. Aisifiyae Mvua, imemnyeshea ati!!
All in all, Mama Sophia kafungua ukurasa mpya. Ni kipofu tu hataona jinsi Tanzania ilivyoishiwa ki-uongozi.
..naona Kilango,Malecela,na Mengi, wameamua kumaliza suala hili kisiasa.
..kwa upande wangu ningependa wawe open kwa kukanusha kampeni zao kuchangiwa na Jeetu Patel.
..zaidi ningependa watoe vielelezo kuhusu watu waliowachangia ktk kampeni zao.
..pia kama kuna uwezekano wampeleke Sophia Simba mahakamani na kumdai fidia kwa kuwachafua.
NB:
..mchangiaji Pasco alidai Sophia Simba alimtuhumu Mama Kilango kuhusika na biashara ya madawa ya kulevya. naomba wenye habari za ndani ya kikao hicho wathibitishe au kukanusha kama kweli Sophia alitoa madai hayo.
Hizi ni pombe sasa! hakuna anayeweza kuandika unavyotaka wewe! Unatuharibia JF, jadili hoja kama huna soma za wengine Idiot
Haya maneno ya kusema Mama Sofia kazaa na wanaume wa watu mimi naona hayana tija.Wewe yanakuhusu nini?Kwanini usiwaachie wenye wanaume zao walalamike?
Kumtusi Mama Sofia hakutasaidia kitu kama watuhumiwa hawatakuja kukanusha madai yake na hata kumburuza mama Sofia mahakamani kwa kuwachafua.
Tingatinga aje atuambie je kampeni yake 2005 haikuchukua 200M kutoka kwa Jitu Tapeli na siyo bla bla za sijui chizi,malaya,akapimwe mirembe.Hizi hazitusaidii.
wee masnilo **** nini.mbona unamtukana mwenzio?wewe unamatusi na ujinga mwingi sana wewe Bro.mimi ninasoma sana post zako.wewe na mwafrica na visa sana na watu hapa.
Kweli Ma mdogo,.... Malezi yangu na yako have nothing to do na JF....
... kama kwa kuwa na haya mawazo ninakuwa sina malezi bora so be it and I love it....sina tabia za chuki na wivu wa kijinga na viongozi wala members humu ndani, ninasimamia ukweli sijawahi kukwepesha ukweli kumtetea anybody, kama kuna ushahidi kuwa wapiganaji ni mafisadi sina tatizo kukubali, lakini sio maneno ya mtaani kuyageuza ishus za taifa kwenye hilo utanisamehe!
Field Marshall Es!
Kweli Ma mdogo,
Mtu asiyelelewa vizuri hukosa adabu na atajionyesha kama hana adabu popote pale.Nashukuru kuwa umekiri kuwa you Love it kuwa mtovu wa adabu,hongera sana.
Na tabia ya kuwa na chuki na wivu wa kijinga...unajaribu kuificha tu..lakini haya matusi yako uliyotukana yamekuweka mtupu kwenye mengi zaidi ya hayo tu...habari za udini zinahusu nini, mimi skutaja popote katika mjadala huu, hayo umeyazusha ww,nakushangaa sana,hayafanani na umri wako wala elimu yako...na nafasi yako huko uliko, pili,maneno ya mtaani kaleta nani humu JF,hasa katika mjadala huu...haya maneno kama CHANGUDOA, MBUZI...MWENDAWAZIMU n.k yanatoka wapi kama si mitaani na kayaleta nani kama si ww,
Ma mdogo, tuliza hapa watu wanakwenda kwa hoja za kistaarabu...nakushangaa baada ya miaka mitano kupita tokea ule mkasa wa Balozi Mahiga...hujabadlika tu...bado unaendeleza matusi na kashafa kwa watu unaopaswa kuwaheshimu, ambao wana umri sawa na wazee wako...mbona Kilango kajibu kiustaarabu,tuseme yeye hayakumchoma na yamekuchoma sana ww...mpaka unatoa mitusi kama upo ulevini vile...halafu unajinata kuwa hiyo ndo tabia yako na unaipenda,MTU MZIMA HAAMBIWI HANA HAYA,HUONA VIBAYA...BADILIKA MA MDOGO UMEELIMIKA LAKINI ADABU FUPI.
FMES said:- Jeetu hakufadhili harusi wala kampeni ya urais ni uongo na chuki za kuzidiwa kisiasa na in the process kujaribu kumsafisha Lowassa, ukweli ni kwamba Tanzania hatuna sheria inayozungumzia michango ya harusi kwa wananchi na viongozi, na pili harusi ilichangiwa na watu wengi sana huenda Jeetu ni mmojawapo na harusi ilifanyika miaka mitano iliyopita,
- Since then Sophia angeorodhesha harusi zote za viongozi na watoto wao ili kutuonyesha kwamba zilizkuwa safi na zilichangiwa na watu wasafi isipokuwa ya Malecela tu kwa sababu ya Jeetu! Ni kiongozi kichaa tu anawezaa kuzijibu hizi nonsense kutoka kwa kichaa mwingine! na kizuri kuliko vyote wakati Sophia anaropoka haya maneno Mama Kilango alikuwepo mwanzo mpaka mwisho, I mean majibu kwa Sophia yanakuja tena soon na yeye Sophia anajua hilo, it is coming na she is done!
Naona unachachawa sasa...hata mwandiko umebadlisha...pole ndo ukubwa...na faida ya kujuwa kwingi...naona unataka kumuuza mama wa watu sasa,mm sina habari na hayo wala skusema hivyo,na sitataka aadhirike hapa JF kwa upunguwani wako,nasisitiza kuwa namuheshimu Kilango na mumewe,sitavunja heshima yao kwa ajili yako Mamkwe,nilikwambia awali,hukuzingatia,unapoonyesha ufupi wa adabu zako,unawatia aibu na wazee wako,usiwatie ila wazee wa watu...utaharibu...ww ni mkwe tu...mambo ya kuumeni hayakuhusu...wenyewe wame respond softly tu.- Bwa! ha! ha! ha! mkuu unanivunja mbavu mzee wa malezi bora vipi tena si ulisema wewe unajiheshimu sasa ya Mama Kilango kuuza madawa ya kulevya umeyapata wapi mkuu yaani sina mbaavu! Bwa! ha! ha! eti vipi ukiusema huo mkasa wa Balozi maana wala sijui, ninachojua Rais alikutukana mbele ya wananchi New York, kwa sababu una malezi bora Bwa! ha! ha!
FMEs!
..................kama nilivyoeleza mwanzo, majibu ya Malecela na Kilango hayatoshi.
..ingesaidia sana kama wangetoa ushahidi wa majina ya wachangiaji na waalikwa wa kwenye harusi yao.
..pia wangetoa majina ya wananchi waliochangia kampeni zao za Uraisi na Ubunge.........
.- Hapana wewe ndiye mpuuzi na unahitaji kwenda Mirembe na ndugu yako Sophia, Full Stop!
Respect.
FMEs!
- Sophia anajaribu kulipa fadhila ya Lowassa na Rostam, waliyompa Shillingi Billioni 2 kumshinda Mama Kahama UWT, na wote wawili sasa hivi wanamlazimisha kuomba radhi, lakini the condition iko very clear ameambiwa toka jana, kwamba akaombee either kwenye ile ile kamati au to the public sio kwenye private, I mean Rais atatokea wapi na this shame?
- Kwamba CCM yote imejaa mafisadi then hili taifa lingekuwa halipo, kama sio Rutabanzibwa kule Richimonduli wangechukua kila kitu, kama sio Maghufuli kusingekua na bara bara mpya tena, kama sio wapiganaji kina Lowassa, Karamagi, Meghji, Msabaha, Mgonja, Rostam, Mkapa mpaka leo wangekua bado wanatuibia, ninaikataa kabisa hiyo kauli ya Sophia kuwa ni maneno ya mfa maji.
- Kwa wale tulio upinzani yes this sounds good, lakini ukweli ni kwamba there is nothing good in it kwa taifa wala wanachi kwa sababu tunalilia wapiganaji watoke basi, wakitoka wamekwisha they will never win anything unless nguvu za Rais wetu zimepunguzwa kikatiba, na wakishindwa taifa zima tumeshindwa kwa sababu sasa we are talking about CCM under Lowassa na Rostam,
Otherwise, hizi za Sophia zinaendelea kuwa good for nothing yaani kuchafuana majina na kutetea mafisadi, lakini as far as masilahi ya taifa are concerned sioni kitu!
Respect.
Feld Marshall
Mbona unaonekana unamtetea sana mama ana Klango?Mtoto acha kupga mayowe.
FMES,
..jana sikuchangia hii topic. samahani umenichanganya na mtu mwingine.
..halafu naona kama kauli zako zinajichanganya vilevile. soma vizuri hapo kwenye rangi nyekundu.
- mkuu nafikiri kiswahili kinakupa matatizo, between kufadhili na kuchangia, nenda utafute kamusi ya kiswahili ikusaidie maana zake kwa taarifa yako ni kwamba hayana maana moja, pole sana mkuu.
..kama nilivyoeleza mwanzo, majibu ya Malecela na Kilango hayatoshi...ingesaidia sana kama wangetoa ushahidi wa majina ya wachangiaji na waalikwa wa kwenye harusi yao...pia wangetoa majina ya wananchi waliochangia kampeni zao za Uraisi na Ubunge.
- Huu ni wajibu wa mlalamikaji na the accuser, yaani Waziri wa Usalama wa Taifa, Takukuru ikiwemo Malecela amejibu tayari kwamba Waziri Sophia ni kichaa anahitaji kwenda kupimwa Merembe, sasa huu ni wasaa wa waziri wa serikali kujibu tena kwa ushahidi kwamba yeye ni mzima na hana ksoro yoyote na kwamba ni Malecela ndiye mwenye tatizo na hela za Jeeetu, hata wewe unaweza kumsaidia mkuu kuliko kulia lia bila sababu!
NB:
..Jeetu Patel ana urafiki wa namna yoyote ile na Mzee Malecela na Mama Kilango?
.
na baba yako mdogo samwel sita
Naona unachachawa sasa...hata mwandiko umebadlisha...pole ndo ukubwa...na faida ya kujuwa kwingi...naona unataka kumuuza mama wa watu sasa,mm sina habari na hayo wala skusema hivyo,na sitataka aadhirike hapa JF kwa upunguwani wako,nasisitiza kuwa namuheshimu Kilango na mumewe,sitavunja heshima yao kwa ajili yako Mamkwe,nilikwambia awali,hukuzingatia,unapoonyesha ufupi wa adabu zako,unawatia aibu na wazee wako,usiwatie ila wazee wa watu...utaharibu...ww ni mkwe tu...mambo ya kuumeni hayakuhusu...wenyewe wame respond softly tu.
Mkuu, naona unazeeka vibaya,ulichokiskia ww ni matusi kutoka kwa rais...pengine umehadithiwa hukuwapo,pole sana...mkasa wa balozi ushausahau?...ha ha ha ha!!!
Napenda font zako endelea tu ma mdogo.
Feld Marshall
Mbona unaonekana unamtetea sana mama ana Klango?Mtoto acha kupga mayowe.