Kilango anasema madai ya mama simba yapo muda mrefu...sasa hatujuwi,aseme yeye ni lini walianza kushirikiana na fisadi papa Jeetu Patel na nani alianza kuwa mshikaji kati yake yy na mumewe.Kwa hiyo mama simba ni insane?
Hiyo "criminal responsibility" ya mama simba imeanza leo au kwa muda sasa
Mhe. Kikwete akikaa kimya katika hili basi kuna kasoro kubwa katika serikali yake. So far hakuna baya as he tried kuweka sawa mfumo wa sheria.Kwako Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzanka Bwana Jakaya Mirisho Khalfan Kikwete,
Je una jibu hapa? Je utachukua hatua gani? Ulimtumia Sophia kufanya "Check" sasa Malecela na Mengi wote wamekujibu kwa kukupiga "Check" je una lipi la kuja?
Au hii itakuwa "Check mate"?
Mkuu,ww unaamini kuwa hawa wote wanasema ukweli na panapoambiwa wanasema uwongo ww huamini kuwa pana chembe ya ukweli?kumbe bado hujajua kama ni uongo au ni kweli wakati umesema kuwa ccm wote mafisadi? mafisadi wanaweza kusema ukweli?
Kilango anasema madai ya mama simba yapo muda mrefu...sasa hatujuwi,aseme yeye ni lini walianza kushirikiana na fisadi papa Jeetu Patel na nani alianza kuwa mshikaji kati yake yy na mumewe.
Mkuu,ww unaamini kuwa hawa wote wanasema ukweli na panapoambiwa wanasema uwongo ww huamini kuwa pana chembe ya ukweli?
Ndo walivyo wezi,Mkuu, wanakuwa wababaifu wababaifu.
Nashukuru kwa kukubali kuwa CCM wote ni MAFISADI kwa hiyo Kilango na Malecela &co. are not exceptions...swali litakuwa limejibika.je alichosema mama simba ni cha ukweli? mafisadi wanaweza kusema ukweli? mbona wakwepa hili swali?
wanaweza kujificha ficha tu kama paka,kichwa tu lakini migongo tunaiyona.wewe unaamini vipi, wanaweza kusema ukweli?
Tafuta kwenye google.... kuna zaidi ya lugha sabini mle ikimewo Kiswahili. At the end of day Mwanakijiji akapimwe akili Mirembe ama Kidongo chekundu na huyo Simba
Nashukuru kwa kukubali kuwa CCM wote ni MAFISADI kwa hiyo Kilango na Malecela &co. are not exceptions...swali litakuwa limejibika.
wanaweza kujificha ficha tu kama paka,kichwa tu lakini migongo tunaiyona.
Mkuu nakubaliana naye kuwa nayeye hakosi kuwamo katika kundi la wagonjwa wa akili kwa nini kamuachia JK amchague mtu katka wizara nyeti, wakati akijuwa kuwa hana akili, si kwakuwa wagonjwa wa akili wanajuwana bana?Kwa hiyo unakubaliana na mzee malecela kuwa mama simba akapimwe akili kule mirembe, right?
Mkuu nakubaliana naye kuwa nayeye hakosi kuwamo katika kundi la wagonjwa wa akili kwa nini kamuachia JK amchague mtu katka wizara nyeti, wakati akijuwa kuwa hana akili, si kwakuwa wagonjwa wa akili wanajuwana bana?
Mkuu, In vinho veritas...tuseme madai ya mama simba ni ya kiwazimu,wazimu ni kama ulevi na penye ulevi hapakosi ukweli.
Mtu mwenyewe keshajitambulisha kama ni wa kijijini... sina muda wa kump as long anakesha hapa JF....M-pm basi kuliko kulialia hapa...unaniambia mimi nifanyeje sasa?
Mkuu nakubaliana naye kuwa nayeye hakosi kuwamo katika kundi la wagonjwa wa akili kwa nini kamuachia JK amchague mtu katka wizara nyeti, wakati akijuwa kuwa hana akili, si kwakuwa wagonjwa wa akili wanajuwana bana?
Mkuu, In vinho veritas...tuseme madai ya mama simba ni ya kiwazimu,wazimu ni kama ulevi na penye ulevi hapakosi ukweli.
Nina mashaka na mjumbe mmoja wa kudumu wa NEC ambaye naye anakuwa kama mshauri wa Mw'kiti wa Chama cha Mapinduzi...huwenda nayy zake si sawa sawa..mpka anajuwa kuna wagojwa wa akili na bado hamshauri chamen kuchukuwa hadhari?Kwa hiyo sasa, mama simba akapimwe akili mirembe. Au unataka kwenda zaidi kutaka mkuu wa nchi naye akapimwe akili?
Kwa hiyo unakubaliana na mzee malecela kuwa mama simba akapimwe akili kule mirembe, right?
JAMANI WASISAHAU NA UTI WA MGONGO...WAKATI MWINGINE UTI WA MGONGO UNAKUFANYA KUCHWA KUWA ABNORMAL....WASIACHE HILO
MSHAURI
CCM ndo mlivyo hamtaki kuambiwa ukweli mkiambiwa ukweli mnaanza kuzusha vitu vya ajabu ajabu...huenda bado nina mashaka na jibu la Malecela...labda anazeeka vibaya kama nayy...si sawa na mam simba kwa fikra zake.
- Mkuu sio siri na wewe unahitaji kupimwa huko na mama huyo usimuache aende peke yake!
Respect.
FMEs!
Nina mashaka na mjumbe mmoja wa kudumu wa NEC ambaye naye anakuwa kama mshauri wa Mw'kiti wa Chama cha Mapinduzi...huwenda nayy zake si sawa sawa..mpka anajuwa kuna wagojwa wa akili na bado hamshauri chamen kuchukuwa hadhari?