Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

"Asirudi Dar es Salaam bila kupita Mirembe kupima akili, kwa maana atakuwa amepoteza fursa ya kujua matatizo aliyonayo kichwani kwake," alisisitiza.
Hii ni pamoja na mpambe wake Mwanakijiji
 

Nimekuuliza mtizamo wako na maoni yako ya alichosema mama simba. So far naona umejibu kuwa unaamini alichokisema.

Je unaamini kinachosemwa na mafisadi (kama ccm wote ni mafisadi)?
 


- Hapo kwenye wekundu umenifurahisha sana, saafi sana Malecela hana sababu ya kumjibu kichaa, either ni mwizi au sio uamuzi ni wako lakini kama una akili huwezi kubishana na kichaa, unless amalize kupimwa kwanza!

Respect.


FMEs!
 
Nimekuuliza mtizamo wako na maoni yako ya alichosema mama simba. So far naona umejibu kuwa unaamini alichokisema.

Je unaamini kinachosemwa na mafisadi (kama ccm wote ni mafisadi)?
narejea tena kwa ufupi kuwa alichosema Mama Simba ni imani yangu isiyoshaka hata chembe ikibidi kuwa CCM WOTE NI MAFISADI...
 


- Una maana Chadema hakuna makundi mkuu au? Kwani tatizo hapa ni makundi au ufisadi?

Respect.


FMEs!
 
Hakuna makundi, kuna watu wamelewa na siasa za online, sasa hawana budi kupimwa Mirembe, kituo pekee hapo Bara baada ya Kidongo chekundu Zenji
 
narejea tena kwa ufupi kuwa alichosema Mama Simba ni imani yangu isiyoshaka hata chembe ikibidi kuwa CCM WOTE NI MAFISADI...

Good.

Je unakubaliana na mzee malecela kuwa vichaa inabidi wakapimwe mirembe?
 

So far umefukuza wangapi?

Record yako si mchezo - posts 8 tu umefukuza wengi hapa JF. Nategemea mwisho wa siku leo utakuwa umefukuza wanachama 50.

Rule number 3, Do Neither believe nor confirm everything you have just heard.

Hapo juu umeshaconfirm, hii inadhihirisha IQ yako ndogo

Tatizo lako hapa umeshachukua side wewe uko upande wa Mengi na Malecela, kesho utawaruka!

Forums ni discussion na sio kuchukua side wala ku-confirm ulichosikia

Haya hapo juu nimesema nishafukuza watu umeshaamini, haya sasa sijawahi kufukuza watu

Rules are simple, I just need your attention!

uanataka rule number nne? ya JF??

Nikimaliza utakuwa umeshabadilika! uwe mpole na msikivu
 
narejea tena kwa ufupi kuwa alichosema Mama Simba ni imani yangu isiyoshaka hata chembe ikibidi kuwa CCM WOTE NI MAFISADI...

- Mkuu waziri wa Usalama wa Taifa, kutoka ofisi ya Rais wa jamhuri, anapoambiwa na raia anayemtuhumu kwa ufisadi kwamba ana kichaa, na akashindwa kumfanya lolote yule raia basi kuna tatizo sana kwenye hiyo serikali.

Respect.


FMEs!
 
Wana ndugu nimesoma gazeti la tanzania daima leo nimeshtuka sana baada ya kupaata mfadhaiko yale yaliokuwa ndani mwake pale mama sophia simba waziri wetu tunaemtegemea kwenye uongozi bora anaposema hakuna asie fisadi kwenye chama cha majambazi...hakika najuta kupigiia kura shishiem akiamungu...bado nahisi nimesoma thread nyingi zimeshamwasha huyu mama jamani naomba tukae chini tuangalie na huyu rais wetu anaeteua hawa watu kisa tu ama amesoma nae ama alimpa kitu fulani ujanani...tufungue mawazo ya huyu rais kwanza kabla ya kummaliza kwa huyu bibie...nimeamini kweli yawezekana ana maradhi yanamsumbua
 

Kumaliza hapa ni kupumuliwa au nini?

Huna haja ya kuomba attention ya yeyote yule, the minute umesema kuwa unapumuliwa na ZItto na Omarilyas ilitosha kuvuta attention ya wana JF.
 
wale wanaodhani kuwa wanaficha hisia zao za mapenzi yao kwa ccm wanaweza kuwa vichaa zaidi ya Idi Amini na Mwalimu combined.
Mkuu ww hujuwi furaha yangu kwa kauli ya mama Simba kuna mtu nilikuwa nikimwambia kuwa haiwezekani kiti moto cha Spika Sitta katika kamati kuu, Dodoma kuwa JK hajahusika...kaja ku-prove badae kuwa JK was behind all the sucus...nikiamwambia kuwa hizi kelele za akina Kilango,Malelecela, Mwakyembe,Mengi na wenzao ni uzushi tu na kuzubaishwa kwa watanzania CCM lao moja wanazidiana kwa uzito wa tonge na kusukumia tumboni...leo tumeona vijidalili vya wazi kutoka kwa CCM wenyewe kuwa CCM YOTE INANUKA UCHAFU WA UFISADI
 

Inafurahisha sana kuona kuwa ccm imechafuka ila wewe tayari una upande?
 
Nimeisoma na kuisoma na kuisoma hii article, nikaitafakari na kujiuliza- hivi mtu asiyekuwa na akili timamu anaweza kuteuliwa kuwa waziri na mtu mwenye akili timamu? Jamani haya si matusi indirectly kwa aliyempa Simba hicho cheo?
 

- CCM inanuka kama tunavyonuka wabongo wote tunaoichagua for the last 47 years, kusema sema kwa kichaa ni rahisi sana, tatizo ni ushahidi.

Respect.


FMEs!
 
Nimeisoma na kuisoma na kuisoma hii article, nikaitafakari na kujiuliza- hivi mtu asiyekuwa na akili timamu anaweza kuteuliwa kuwa waziri na mtu mwenye akili timamu? Jamani haya si matusi indirectly kwa aliyempa Simba hicho cheo?
Mkuu,
Majizi yakitofautiana katika kugawana huanikana kweupe..ndo tulichokiona hapa.
 
Lugha zingine bwana ... Ugonjwa wa akili ni ugonjwa na ni majaaliwa. Watu wengi tu wana majirani, watoto, ndugu etc. wenye magonjwa ya akili. Sasa mtu mzima kama huyu anapotumia ugonjwa kama kejeli haipendezi.

Siyo kwamba namtetea Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…