Sofia Simba na Sakata la Mafisadi na Wapiganaji!

Binafsi sijaona kosa la Mengi kuitisha Press Conference.

Hoja ya uanachama wa Mengi imeishaongelewa mara nyingi sana kwenye vikao vya ndani vya CCM. Kwenye NEC iliyopita, Mengi na uanachama wake kwa CCM was a subject of discussion. Kwenye kikao hicho Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar alisema Mengi si mwanachama wa CCM.

Hisia yangu ni kwamba, Mengi ameamua kuitisha hiyo PC ili kufunga mjadala wa uanachama wake kwa kumtia aibu Mama Simba. Waziri anatakiwa kuwa makini na kauli zake, anatakiwa achunguze na ukizingatia kwamba ana access ya information kwa kuwa UwT wako chini yake.

Hamjiulizi kwanini hakujibu mara zote ambapo amesikia watu wa jamii ya akina Guninita wakitoa hayo madai? Unapoona madai yanatolewa na mtu aliyejikoni lazima ujihami mapema na ndicho alichofanya, wale wengine aliona ni wajinga fulani na ndio maana magazeti ya udaku ya Mengi yalianza kuandika kwamba Guninita hajamaliza hata F4, so kumjibu mtu kama huyo ni kupoteza muda wako.

Kusema kwamba angeenda kuongelea kwenye vikao vya chama, atumie vikao gani wakati hana platform? Huko ndani ya NEC, CC, na kwenye vikao vya wabunge wa CCM wamejaa wabaya wake.

The bottom line ni kwamba, msg has been sent, Mama Simba needed to do her homework kabla hajaropoka. At the end of the day tutahoji umakini wa Mama Simba kama kiongozi mwenye nyadhifa kibao kuanzia Uenyekiti wa UWT, Waziri, Mjumbe wa CC, Mjumbe wa NEC na Mkutano Mkuu wa CCM. Mtu makini hawezi kuamini hearsay, lazima azifanyie kazi na hasa kama ana access ya information kupitia Usalama wa Taifa.
 
Mengi hapa kwa Sophia umeumia.ni Mtoto wa mjini huyu humuwezi.
 

Kweli kabisa Keil,

Hii ilikuwa imepangwa na ikulu na Mengi amewahi kabla ya mchezo kuanza. Anagalia walivyokuwa wamejipanga leo (hata kwenye hii thread). Ukianzia kwa GT na ndugu yake Masatu hadi kwa Kanda2. Ninasubiri kuona Zawadi Ngoda atasema nini.

Walitegemea kuwa Mengi atanyamaza tu kama alivyonyamaza wakati kina Guninita wanampaka mbovu. Ona jinsi GT anavyohamaka kuwa Mengi hana sababu na hakutakiwa kabisa kumjibu mama Simba.

Malecela yeye amesema hatasema chochote kwa hiyo walitegemea kuwa Mengi naye atachukua high road na kunyamaza tu. Wameshtukizwa na sasa wamechanganyikiwa.
 
Solomon anajitahidi saana kutetea ingawa anachagua hoja. Eti hajui issue ya NICOL anajitia ukiziwi au km si upung..... Wakati wa mjadala wa NICOL alijificha kabisa. Leo anajifacha hajui kabisa anachosema. Huyu Mengi ni rafiki wa wale wanaompa favour. Kwa mtindo mwingine ni mtu wa upendeleo. Alipambana na Mzee Mwinyi akapewa kiwanja, akapamba na BWM kutaka upendeleo wa hoteli ya kilimanjaro. Leo anapambana na serikali huku akijifanya anamsaidia rais kupambana na ufisadi. Hakuna lugha nzuri ya kumuita huyu bwana zaidi ni kuwa mnafiki. Leo anadhihirisha ni namna huwa anahubiri pande mbili. Upande mmoja anachangia Chama anachokishutumu kwa ufisadi na ambacho binafsi naamini hivyo (kumbuka naye ni mwanachama), upande mwingine anavuruga Chama hicho. Nani asiyejua nguvu za kina Selelii zimetoka kwake? Km anahitaji siasa afuate jimbo tumsikie live sio kuzungukazunguka. Huyu bwana ni mvurugaji saana.
Angalia vyombo vyake vya habari, havipo objective kabisa. Na nina hakika ataendelea kuloose customer base.
Hawezi kuwa rafiki wa mtu muungwana. Na kadri anavyozidi kujifanya anapambana ndio anajipambanua. Tunasubiri tumuone.
Ipo haja ya kutazama matumizi ya vyombo vya habari, mbona vipo vyombo vya habari hatusikii uozo huu wa wamiliki? What is his capitalization???? sh.......t
 
Watu wanataka kuleta mchezo wa dini ili kunusuru interest za watu hapa jamvini, HATUDANGANYIKI!!!!
 

Wacha kujidhalilisha.

It is an open fact kwamba NICOL is a publicly traded scheme hapo Dar Stock Exchange na akina Moshi wamekiri kwamba hesabu zao zina 'matatizo'.

Mengi mwenyewe hakukataa kwamba hela za watu zimeliwa na utaratibu wa kuwekeza umekiukwa wakati yeye alikuwa mwenyekiti wa kamati ya investments. alifanya nini baada ya hapo, alilala mbele, kwa kizungu wanasema ali resign. Mengi alikiri hayo alipoitwa fisadi nyangumi na RA.

Hizi facts kila mtu anazitambua.
 
watu wanataka kuleta mchezo wa dini ili kunusuru interest za watu hapa jamvini, hatudanganyiki!!!!
umeiona hiyo asante sana.
Kaumia alifikiri sophia ni dini fulani.
 


Ha ha ha,

Unashindwa nini kuisema hapa kama ipo?

Alipambana na Mzee Mwinyi akapewa kiwanja, akapamba na BWM kutaka upendeleo wa hoteli ya kilimanjaro. Leo anapambana na serikali huku akijifanya anamsaidia rais kupambana na ufisadi. Hakuna lugha nzuri ya kumuita huyu bwana zaidi ni kuwa mnafiki.

Kama vile na wewe ulivyopambana na mama roza muuza maandazi na ukapata jiko la mkaa (sina uthibitisho kwenye hili but nitasema tu anyway)?


Nani asiyejua nguvu zako zinatoka kwa Salum Abdalah (hapa sina uthibitisho ila nitamwaga udaku tu kwa vile hii ni JF)?


Ha ha ha, kawavurugia ulaji - EPA, Dowans, richmond, buzwagi, na IPTL kwa hiyo sasa hafai kusikilizwa (objectivity is rather said than formed?] ?
 

anajua kila kitu anafanya maksudi kwani yuko kazini lazima atetea unga wake hata kwa pumba.soon atabadili kwani ni kinyonga ana sura nyingi.au kanzu mbali mbali.ikichafuka hiyo anaenda kubadili.
 
Wacha kujidhalilisha.

It is an open fact kwamba NICOL is a publicly traded scheme hapo Dar Stock Exchange na akina Moshi wamekiri kwamba hesabu zao zina 'matatizo'.

Open fact? Imetoka kwenye uwekezaji wako na kwenda Dar Stock? Hiyo open fact haiwezi kuwekwa open hapa?


Kama vile ambavyo wewe hujakataa kuwa umekula pesa za madawati ya mtakuja.

Hizi facts kila mtu anazitambua.

Hell yeah, kwenye kijiwe cha kahawa hapo ulipo, wanazijua sana hizi "facts"
 

wacha kumuabudu Mengi kwa kujidhalilisha.

ushahidi kwamba NICOL ni public company ni huu hapa.

http://www.dse.co.tz/main/index.php?rec=main&page=6&id=8

ushahidi kwamba NICOL ni kampuni ya mafisadi tena majambazi ni huu hapa
http://www.dailynews.co.tz/home/?n=4845

ushahidi kwamba mengi ni mwenyekiti wa investment committee ni huu hapa
http://www.thecitizen.co.tz/newo.php?id=15134

ushahidi kwamba Mengi alilala mbele baada ya fedha kuibiwa ni huu hapa
kitumbo-kitumbo.blogspot.com/.../stolen-public-money-in-tz.html

Kuna mpaka video on youtube , mwenye anasema ali resign.

sasa unataka nini zaidi kujua kwamba Mengi ni mwizi?
 
Watu wanataka kuleta mchezo wa dini ili kunusuru interest za watu hapa jamvini, HATUDANGANYIKI!!!!

Hamdanganyiki na nani? Dini hiyo umeiona mwenyewe au na hao wenzako huko kwenye mhadhara wa kidini?
 
Open fact? Imetoka kwenye uwekezaji wako na kwenda Dar Stock? Hiyo open fact haiwezi kuwekwa open hapa?



"

wewe umesoma kweli?

kama stock iko traded kwenye stock exchange kwa nini iwe tatizo kwa mimi ana mtu yoyote kuliwa fedha?
 
mKUU LEO UTAKESHA.MAANA TUTAMKOMALIA MANGI MWENZIO HADI ASUBUHI.NAJUA LAZIMA UWAJIBIKE KULIPA FADHILA ZA HELKOPTA.
 
Hivi alishamalizana na waziri mambo ya ndani katika lile bifu lao?? Au hili ni jingine, just in case lile likimalizwa kiutu uzima?
 

Ushahidi wa kitumbo kitumbo na daily news?

Nilidhani ungefanya zaidi ya hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…