secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,617
- 44,504
Hahaha π.Video za kituruki zilizotafsiriwa kwa kigogo akiwa kalala kwa utulivu.
Noma kinomanoma!Hahaha π.
Zaidi ya noma yenyewe.Noma kinomanoma!
unaeza kujazia nyama jibu lako mkuu?unatuacha njiapanda sisi wengine.samahani lakn.Kazi yake ndio hiyo hapo juu
ππNuneaton upeleke ukweni tu hiyo
Kazi yake ndio hiyo hapo juu
Kwa sisi watakatifu, tunatumia kupumzika huku tukisoma vitabu au kuperuzi mitandao.
Jitahidi usikose hii ndaniππ
Ndo maana yanafanyika gizani...π¬π¬π¬
Nn yanafanyika gizan tena πππNdo maana yanafanyika gizani...π¬π¬π¬
πππNn yanafanyika gizan tena πππ
Kwa ajili ya mlinzi mlalafofo