na bado tunakoelekea ni kubaya zaidi,sasa hivi kuna kitu inaitwa ma shemale hao ndo kiboko,wamezagaa sana brazil na wamarekani weusi achilia mbali wachina,unamuona mdada chuchu sa sita mgongo umejaza kama joyce wo wo wo,halafu akikuvulia unakuta ana mdudu kasimama kama gia ya leyland CD,ndo hapo utajaza kama umkongoli au vipi,haya mambo hayajafika moshi mkuu?HII NI ZAIDI YA SODOMA NA GOMORAH
mkuu hawavai wala nini wanawake wanabadilisha maungo wanaotesha uume na wanaume wanaotesha matiti,mambo ya wachina hayo wenzenu wameanza kutumia siku nyiiingiHii tena ni babkubwa!
Sa hayo maungo wanayawekeza kwa kuyavaa au ni natural?
Huku kwakweli sijaona wala kusikia zahama hiyo!
We are in for any serious punishment soon and very soon!
nashauri binadamu tusivae nguo,itatusumbua mwanzo but tutazoeana hope hata ngoma itatulia,maadili tutayaona, so atokee mwanamapinduzi mmoja ageuze ulimwengu na kuabandon tendo la kuvaa nguo!! pata picha unakatiza kariakoo!! teheee
Siyo effects za mitandao na haya mambo hakuanza leo. Someni hata biblia kwa makini (hasa old testament) mtapata picha halisi ya lifestlye ya walioishi before Christ (BC).
Chaku,
Kama umeamua kukaa kijijini achana kabisa hata kuulizia ladha yake... !
Ni michezo mibovu sana ya kuiga kila jambo.
Mi najiuliza kila siku hivi wanangu niwafungie kwenye geti gani wasione uharamu huu huko mabarabarani!
usiwafungie wanao ndugu yangu, maana wataenda shule watajumuika na watu mbalimbali, cha kufanya ni kuwaambia madhara ya kila kitu kwa mdomo wako maana wakukutana na walimu wa dunia watambiwa tofauti, pia mkabidhi Mungu yeye ndo atakuwa mlezi wao.
Chaku,
Kama umeamua kukaa kijijini achana kabisa hata kuulizia ladha yake... !
Ni michezo mibovu sana ya kuiga kila jambo.
Mi najiuliza kila siku hivi wanangu niwafungie kwenye geti gani wasione uharamu huu huko mabarabarani!
Chaku,
Kama umeamua kukaa kijijini achana kabisa hata kuulizia ladha yake... !
Ni michezo mibovu sana ya kuiga kila jambo.
Mi najiuliza kila siku hivi wanangu niwafungie kwenye geti gani wasione uharamu huu huko mabarabarani!
kama kunyonyana ndimi ndio sababu na Yesu kurudi basi huko ulaya angekuwa asharudi kabla babu wa babu yako hajazaliwasiyo hayo tu siku hizi mdada kuka na kukuonyesha sehemu zake za ndani siyo aibu tena ni uzungu .hata under skirt hawavai ni aibu bora mimi nijikalie hukuhuku kijijini ambako sijifunzi wayafanyao wenzangu wa mjini,
hata shanga siku hizi zipo hazarani kana kwamba hakuna wazazi nyumbani.
kunyonyana ndimi imekuwa kama kunywa maji kwa kweli yesu rudi okoa kizazi hiki kimekwisha