Socio-Economic Intelligence na hatma ya Taifa

Socio-Economic Intelligence na hatma ya Taifa

mkuu asante sana kwa wazo zuri la namna hiyo na hii inaonesha kabisa kuwa katika nchi hii kuna watu wana mawazo chanya kabisa kuhusu mustakabali wa taifa letu 'but mind you mkuu you're not the one with the only positive idea...wapo wengi mno but nikueleze ukweli kabisa toka moyoni....we are destroyed by others ... not us.....mataifa makubwa yanapandikiza ujinga mkubwa sana kwetu sisi kisha kuanza kunufaika na ujinga huo ....

Nitakweleza kwa namna ya pekee.....mfumo wa vyama vingi katika nchi za Africa uliletwa na wazungu hao hao( Indirectly) ambao kwao haupo sasa hivi...

( education skolaship -then wanarudi kwenye nchi zao kuhimiza yale ambayo wametoka wamesaini mikataba kuja kutekeleza kama kutoa shukrani kwa elimu ya huko juu kwani ada ya Kumudu masomo katika nchi za wenzetu ni kubwa sana ndo mana waliosomea nje ya nchi huwa hawakatwi kabisa make ni pesa mbayo hata ustaafu huwezi ilipa labda uibe pesa BOT,it's direct Grant fee)

Kila msaada unaoupata toka kwa wale watu una madhara makubwa sana kwa baadae japo ni ngumu kulijua hilo.....

Ni kwamba ,nchi ambazo zina offer skolaship ya elimu ya juu kwa waafrica ndo hizo hizo zinaingia mikataba na serikali kuwa tunawasomesha watu wenu ili badae waje wawatumikia na hao hao watu wenu hupitisha mikataba mibovu kwenye nchi zao kisha utafata mfumo nyemelezi wa kinyonyaji toka kwa wenzetu.....

Maisha haya yapo katika flux condition...ili uendelee ni lazima awepo ndezi wa kunyonywa....ukilijua hilo ndo utajua kwanini nchi za huko zimeendelea kwa kasi bila sisi kujua......but the truth ni kwamba these people prepared ways to harvest .......

usidhani serikali za Africa ni wajinga kiasi hicho kiasi cha kukosa mawazo mbadala kama yako ,but regularities na conditions ambazo wanakuwa washakubaliana miaka ya nyuma ndo zinawafunga mkuu...kwa mfano mikataba ambayo inatiwa saini sasa hivi madhara yake yataathiri miaka ya 2050 huko...yani ni long plan effects mkuu......tazama Nchi ya China sasa hivi ndo inongoza kwa kutoa maskolaship fasta kwa wasomi wa elimu za juu...badae ndo utakuja kuelewa madhara ya kuwa offered kule....when you're back utatakiwa kuipliment sera za kufeva uwekezaji wa China zaidi..na Nchi haitaepuka hilo janga.....

Mandela mwenyewe na jeuri yake aliiuza nchi ya South Africa ila awe huru na watu wapate kuwa huru ila watu hawajui why that happened ...but in reality yule jamaa alikubali masharti mazito sana kwenye ile Nchi ili maisha yawe sare and one of the agreement ilikuwa ni kuruhusu HIV innoculation kwenye jamii ili nchi za magharibi ziwekeze kwenye madawa ya kurefusha maisha....na hiyo ni long plan n
ndo mana mpaka sasa 37% ya watu wote South Africa ni seropositive( sero converted) the matter is not being a leader,but who stands behind you while others being blind.....kuna mambo serikali inamua kunyamaza kwa sababu ishatiwa msumari kwa nyuma huna jinsi mkuu....

Kingine unatakiwa ujiulize Nyerere aliofa nini kwa hawa jamaa kwanini umaskini umekithiri Tz despite of having a lot of resources...? kuna nini nyuma ya pazia....?? kila anaeingia madarakani kwa hasira ya kubadilisha maisha ya watanzania anakuta kitu chenye ncha kali kinamwambia acha mambo yaende in this way.....

Nikuombe tu mkuu jaribu kusoma baadhi ya Nyaraka za siri ambazo zinaelezea kwanini serikali za Africa zilipewa chance ya kupeleka watoto wakasome njee ili waje kuwa viongozi wa huku na ndo hao hao wanakuja kuwa viongozi wakuu wa idara nyeti....we fuatilia tu utajua kwanini mambo wanayoyafanya ni kinyume na utashi wa taifa hili...Mwenye uchungu na nchi hii sio wewe peke yako.....but..........something driving our mind ...
MKUU UMEANDIKA KITU KIKUBWA SANA ILA HAPO KWENYE CHANJO AFRIKA KUSINI NIMEJIKUTA NIKISOMA MALA TATU TATU MAANA JAMII NILIMPA SANA HESHIMA KUMBE NDIVYO HIVI? NA KUANZIA LEO KIONGOZI YEYOTE ATAKAYESIFIWA NA MATAIFA MAKUBWA KWA UWONGOZI WAKE KUA MWEMA AU UTAWALA BORA NITAANZA KUMCHUNGUZA
 
Back
Top Bottom