Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,671
Eto hapo bado bikra kabisaView attachment 2112462McManaman, Njitap, Eto na Anelka 1999, Madrid
Chalii sanaEto hapo bado bikra kabisa
Huyu mwamba alitupia goli la 3 final ya World cup,Brazil akifa 3-0 kutoka kwa Mfaransa.
Egypt hii ilisumbua sanaView attachment 2112618View attachment 2112620Amri Zaki Egpty na Wigan Athletic, Waulizeni Cameroon na Ivory Coast
Hawa wazinguaji hawa 😃😃😃NAONA Wazawa mmewatenga kuna uyu mwamba mapafu ya Mbwa alikiwasha sana SHADRACK NSAJIGWAView attachment 2112653