Soccer Gallery Collection

Afu mane anaonekana ana mkunyenge wa kwenda. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 2111831
Kama sitakosea sana Man U aliuwawa FA cup Fainali
Hiyo ilikuwa nusu fainali, hii game man u waliitawala, walikosa magoli kibao, mistake moja tu, kipa akala umeme, ferdinand akakaa goli... Hii Portsmouth ilikiwa hatari, kina kanu(ndio alifunga goli la fainali na kuwa man of the match), David james golin, mkongwe sol Campbell, suley muntari, distin, lasana diarra(bichwa nkurungu [emoji23]), john utaka fundi wa kinaijeria, niko kranjcar(mido mnyumbulifu, kama haendi ndio anaenda, pigo za kina kaka) papa bouba diop kizazi cha dhahabu cha senegal iliyomtoa mafua france 2002, milan baros chini ya moja ya makocha bora kabisa harry redknapp,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…