Kingmairo
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 4,936
- 3,549
:confused2:
Mmh...kwanini confused tena?
:confused2:
Mmh...kwanini confused tena?
me mwenyewe nahtaj msaada
ndo nafunguka sasa kama hivoDuuh....sasa hujafunguka kama mdau huyu.
ndo nafunguka sasa kama hivo
Funguka sasa kisawasawa, unahitaji msaada gani tukupigie debe.
hahahahahahahhaha ya kweli haya.
Huamini?
yaani nlijua ni Mgane nkafungua uzi fasta nikamate fursa kumbe mjane alaaaah
Hahahaaa Mwajuma bhana. Unanikosha ile mbaya. Ni vile hujui tu.....
hiyo asprin mi simezagi aisee nna ulcers
Na hapa ndipo unaponiumizaga moyo. Ni vile tu hujuagi....
Na hapa ndipo unaponiumizaga moyo. Ni vile tu hujuagi....
mamitod
Kukosa raha....kuwa mpweke....kusononeka and likely! Financial problem ....kuomba ushauri kwenye jukwaa la mapenzi....ngoja nigoogle ushauri nitarudi!
Mamitod naomba nije kwa PM yako, manake nimechoka na hivi vibinti vidogo nadhani tutafaana sana "mdogo mdogo"
Heheheheh Suma tena?? Labda sister na Heaven on Earth. Asee ambia hawa wachuchu simu yangu ilipotea ningekuwa nshawatongoza.... Namisi sana vikojoleo vyao waambie aseee.....Bazazi katika ubora wake, Suma ataua mtu muda si mrefu
hapo kwenye red ndo umeharibu...........lakini ungesema upo vizuri financially ungeona vijana ambavyo wangemiminika. By the way sijajua unaomba msaada gani kama ni mtaji usaidiweMimi ni mjane abt 55 yrs. Miaka 5 sasa. Nakosa raha nakuwa mpweke nasononeka sana. Mbaya zaidi sina job wala mradi wowote.