KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,772
- 12,174
Wanaume siku izi tunaziogopa, kwani mwisho wa siku mwanamke ndo hufaidika mara mbili.
Wanaume siku izi tunaziogopa, kwani mwisho wa siku mwanamke ndo hufaidika mara mbili.
Ukishaona hivyo kinachofuata ni mzinga hata kama utapewa ze utamuHapo kuna mawili either upewe mzigo or utoe hela.
Kwani umetumia hiyo SMS Leo au?
Halafu hizo SMS siku atatuma kibao ili mradi tu akulainisheUkishaona hivyo kinachofuata ni mzinga hata kama utapewa ze utamu
Wanatujua udhaifu wetuHalafu hizo SMS siku atatuma kibao ili mradi tu akulainishe
Kweli kabisaWanatujua udhaifu wetu
Aisee mkuu huku umepotea njiaMajipu radio na television za magamba za fungiwa
Kwa iyo unasumbiri akuprintie invoice?! yani hata lugha ya picha huioni?Muwe mnachagua wapenzi wenye mapenzi. Mbona wangu akinambia amenimiss najua anataka dudu na anakuja nampa lakini hakuna mizinga! Hapo jilaumu kwa wrong choice mkuu