mmmh, yaani mimi ndio libodaboda lako ambalo unalipanda ukiwa na haraka tu; haya bwana
Sio kula tu, very soon ataomba umnyonyeshe kabisa!
Mwe! Kiinglish kigumu embu tupieni na za Kiswahili wenzenu tupate mashairi.
Salama. Ulikua wapi? missed you
No, hapa nilipo hakuna data on mobile. Kwa hiyo internet ni saa za kazi tuWe ndo unatokea kimachale sana siku hizi! Tena hapo kati ndo ulikua hutokei kabisa! ulikua wap? au nje kikazi kama MN?!
No, hapa nilipo hakuna data on mobile. Kwa hiyo internet ni saa za kazi tu
Na kazi yenyewe ngumuuuu, inaomba all my attention, so only during breaks
Kweli kabisa, haya ndio yale matarehe ya kutafutana. 🙂
Sio kila aliyeingiza mikono mfukoni anatoa pesa, wengine wanachezea mapumbu tu!!
Hapa ni baada ya jamaa kuzungushwa kwa muda mrefu, keshahonga za kutoshaa lakini wapi, so anapiga mkwara wa mwisho mwisho kuokoa jahazi:
"Najiuliza kila leo hivi mie nimekuwa kimeo wa dunia hii ya leo b'se kila nayempata huishia kunipa ahadi luluki. Mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara wiki ijayo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Hakyanani bado nakupenda vile ila kama hunipendi bora uache kunilia vyangu."
Demu anamjibu jamaa:
"Sijui nikueleze namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo kwa nini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani."
Wote hawa wawili wezi watupu!
Yaan ni Uwizi mtupu! lolHapa ni baada ya jamaa kuzungushwa kwa muda mrefu, keshahonga za kutoshaa lakini wapi, so anapiga mkwara wa mwisho mwisho kuokoa jahazi:"Najiuliza kila leo hivi mie nimekuwa kimeo wa dunia hii ya leo b'se kila nayempata huishia kunipa ahadi luluki. Mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara wiki ijayo, hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika? Hakyanani bado nakupenda vile ila kama hunipendi bora uache kunilia vyangu." Demu anamjibu jamaa:"Sijui nikueleze namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni kwani kila nifikiriapo kwa nini una walakini na hutaki kuniamini kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini, mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani."Wote hawa wawili wezi watupu!
Huyu wa pili ndie mwizi mkubwa maana amepanga uongowake in rhymes!!!Hapa ni baada ya jamaa kuzungushwa kwa muda mrefu, keshahonga za kutoshaa lakini wapi, so anapiga mkwara wa mwisho mwisho kuokoa jahazi:
"Najiuliza kila leo hivi mie nimekuwa kimeo wa dunia hii
ya leo b'se kila nayempata huishia kunipa ahadi luluki.
Mpenzi kila siku waniaidi mara nitakupa leo mara wiki ijayo,
hivi ni lini utanipa jibu la uhakika nakunipa mapenzi ya uhakika nipate farijika?
Hakyanani bado nakupenda vile ila kama hunipendi bora uache kunilia vyangu."
Demu anamjibu jamaa:
"Sijui nikueleze namna gani uelewe yaliyionijaa moyoni
kwani kila nifikiriapo kwa nini una walakini na hutaki kuniamini
kama wewe pekee ndiye ninayekupa mahaba yangu makini,
mpenzi rudisha yako imani ni wewe pekee nayekupenda hapa duniani."
Wote hawa wawili wezi watupu!
Duh! Nimeziona best ametishaje!! Yuko juu!
Sio curl ya hivi dear,
![]()
ni ile curl kwanza zinakaa kama fan, then zinajikunja hiviiiiii!
oh my, just thinking about it and I want to go baack there
![]()