SMS iliyoniamsha.. kuna kusalimika?

hiyo sms ni danganya toto tuu katika mambo ya kutishana. Ila pia kuna Mamafia bongo kwenye medani za siasa huwa wanawakolimba watu kimya kimya. No posibility of leakage. Msiwe na wasiwasi na danganya toto.



Kaka yangu Pasco, Je, bado una msimamo huo huo kwamba hiyo sms ilikua ni danganya toto licha ya haya yaliyomtokea Dr. Mwakyembe?
 
Mwanakijiji Hili Jambo ni Hatari sana, Tusilipuuze hata kidogo, tuchukue tahadhari sana.
Nchi haina viongozi kwasasa hivyo kila mtu anjifanyia aonavyo ni sawa.
 
I salute you mwanakijiji, this thread uliianzisha september 2008 na ndicho kinachotekea, mwakyembe ndio washamtia ukilema na he will die slowly. kuna haja ya kuiangalia hii nchi na uongozi wa ccm
 

Mzee Mwanakijiji siwezi kuikana Nchi yangu, lakini kwa ubinafsi, roho Mbaya, Uonevu, Wivu unaoendelea NCHINI ukijumulisha na Ufisadi na matumizi mabaya ya Madaraka, moyoni mwangu najua imani yangu dhidi ya watawala wangu ni extra zero negative number. Nchi hii bila kuwa na Muafaka wa kitaifa kuwa TUMESHINDWA na kukaa chini kufumuaa na kuunda upya mfumo wa kisiasa na kiuchumi, wengi wetu, wajukuu na vitukuu vitazikwa katika dimbwi la Ufukara.
 
Kwanini usituwekee na namba ya simu iliyotuma ujumbe huo. Maana hapa JF UwT wamejaa, labda wanaweza kuanzia hapa kui-trace hiyo namba.
 
Hizo ni porojo za vigengeni tu. Hata hivyo hao waliotajwa na wasiotajwa na sisi sote kwa ujumla ipo siku tutakufa. Iwe kwa sumu au bila sumu.
 
Aiseeee! Mwanakijiji watu walukubeza hiyo 2008, hata mimi niliona sasa huyu jamaa anachemka...nilikuwa disappointed, maana habari uandikazo huwa ni habari nyeti hasa. kwa hili hata mimi hiyo 2008 nilitia mashaka. Kaka uko well connected, na mtandao wa Ufisadi unazijua njia zao vizuri. Hiyo meseji na yaliyo mtokea Dr. Mwakyembe ni sawa sawa kabisa!

Hivi hatuna lolote la kuwafanyia hao mafisadi? Sasa Lowassa akipata huo urais, si tutakuwa na Bokassa kabisa humu? Maana naona hata Idd Amin atakuwa afadhali.

Lowassa === Bokassa

Twafaaaaaa! I hate whoever supports Lowassa for presidency.

 
hayawi hayawi yamekuwa....nadhani sitta aliizingatia hii precaution!!
 
SIO RAHISI KIIVYO

KWANZA WEWE NINA NI MPAKA UTUMIWE HIZO MESEJI??


TUAMBIE LEO KUWA NA WEWETUMIA MESEJI ZA UKO KWENYE PAYROLL YA HAO ULIOWATAJA ILI TUKUJUE


HUU MCHEZO WA KIZAMANI USILETE HAPA ,KUNUNUA LINE ZA SIMU KUJITUMIA MESEJI ZA KIJINGA HALAFU UNATUPA HIYO LINE CHOONI KISHA UNALETA UPUPU WAKO HAPA ILI TUKUONE MASHUHURI NI MICHEZO YA KITOTO YA ZAMANI

mods mban huyu anasumbua MUTU MUNENE
 

Wakuu nadhani tunaona wazi kabisa kuwa kuna watau wanaipenda Tanzania na wana uchungu na Tanzania. Hii post ya mwanakijiji ni ya mwaka 2008. Ni post ambayo ilitueleza wazi kabisa kuwa Rostam aliingiza sumu kutoka Dubai ili kuwaua Mwakyembe na Sitta, Mwakyembe ndiye huyo tayari amewekewa sumu, Sitta anawindwa. Kwa hiyo inajulikana wazi kabisa toka mwaka 2008 kuwa Mwakyembe atapewa sumu na Sitta atapewa sumu, mwanakijiji you probably know more about this, hata aliyeleta sumu.
 
Woooohiiii!!! hili linchi lenu si la kufichiana uovu tuuuu???? Ushikaji kibao!!!! Hiyo kazi ya kujua mfanya huo utumbo ni rahisi sana mimi nimeshawakamata kama watatu in my life waliowahi kunitumia sms za kijinga hivyo na wakaacha kabisa baada ya kuwapa facts.....Mijitu ina kazi ya kufuatilia maisha ya watu huku wakisahau malipo ni hapa hapa duniani
 
mwanakijiji ameanza kupoteza fahamu na uwezo wake wa kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…