Mzee alinunua robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao!
Dogo akaulizwa na baba yake umepata ngapi kwenye mtihani? Dogo akajibu mia, mara robot likampiga kibao Pwaaa! Baba akasema mimi enzi zangu nilikuwa nakuwa wa kwanza tu, mara nae kibao Pwaaa! Dogo akaanza kucheka, mama yake akafoka, wewe mtoto unacheka nini, hujui huyo ni baba yako? Mara mama naye kibao Pwaaa!
Unajua kwa nini mama alipigwa? Usikose part 2 siku ijayo.
Aaaaagh! Hii inaudhi bhana... Unaanza romance na demu unamchezea kila kitu mpaka analainika, halafu unaanza kumvua ngua eti anauliza "Unataka kufanya nini?". Bora umjibu tu "NATAKA NIKUFULIE NGUO ZAKO...!"
JE, HUU MSALA UNGEUSOVU VIPI?
Demu wako kaenda kukutambulisha kwao.
Je, ungefanyaje?
- Kufika getini unakutana na dada yake ambaye ni demu wako wa zamani
- kidogo unamwona kaka yake ambaye ulipigana nae sababu alikufumania na DEMU wake
- Ulipoangalia ndani ukamwona mama yake ambaye ni SUGAR MAMY wako na ndiye aliyekununulia GARI ambalo unatamba nalo
- Kabla hujajua la kufanya baba yake anatokea ambaye ni WAKILI aliyekutetea katika kesi yako ya ubakaji