Hii itakuwa pande za MombasaJamaa aliopoa shoga na kwenda kudo nae, wakati wa game yule shoga akaharisha. Jamaa akakasirika sana akaanza kumchapa makofi, shoga akaanza kulalama, " we dula unanionea kwa sababu mimi ndo nimeanza kukojoa. "
JEALOUS WOMAN
A Jealous woman does better research than FBI
Roho Mbaya
Ona watu walivyo na roho mbaya!;
Jamaa alishukiwa na Malaika wa Mbinguni akaambiwa "Omba chochote unachotaka utapewa, lakini jirani yako atapewa mara mbili". (Mfano: Ukiomba PRADO jirani yako atapewa PRADO mbili, nawe utapata moja).
Jamaa akafikiria sana kwa muda kisha akamwambia Malaika "Nitoe jicho moja"
hahaha tena na mguu ungekua unaota mwingine ungetamani uukate.Kinyesi hakina miba lkn ukikikanyaga lazma uchechemeee!
mmmh hapo pagumu..maana wote ni wezi.NANI MWENYE MAKOSA?
Mwanamke aliyelala na mumewe akawa anaota, ghafla akapiga makelele, "Jifiche mume wangu kaja", au mumewe aliyesikia hivyo akanyakua nguo na kukimbia akidhani amelala na mke wa mtu? Nahitaji mawazo yako.
MC Aangalie baba mkwe ni kabila gani..maana huo utani uwafanyie watu wa tarime..mmmmh..kabla ujamalizia sentensi shingo halali yaoMC anamsifia Bi. Harusi
"Sasa nawapa sifa kubwa ya Bibi harusi. Tangu namfahamu huwa havai nguo za ndani!"
Watu wakaduwaa
MC "Narudia tena kwa msisitizo na sijakosea. Bi. Harusi huyu huwa havai kabisa nguo za ndani. Yeye anavaa za kutoka Italy, England na USA. Si za Tanzania. Hebu mshangilieni!"
Kila mtu "Ahaaaaaa...!"
MPARE NA PESA
Binti: Mama, nimemuomba baba hela ya saluni akaninyoa nywele
Mama: Una bahati sana mwanangu. Ungemuomba hela ya whitedent angekung'oa meno!