Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Tatizo ni ilemiwish kibao ya juzi halafu inakuaje anachangia bwana na huyu ajuza KHumu wadad ni wambea wanajifanya ooh nyie wabaya jamani mnafukua makaburi,mara sijuii ni kumbe mnafurahi hapo mmepata cha kuongea
Mi kwa ushauri wangu jamani msiamini kila mtu anachopost humu mengine ninutani furahisha genge,,kwan hata mwanaume akiwa malaya nyie inawasaidia nini ,mahusiano sio lazima yaishie kwenye ndoa bana na msikariri,,mwacheni mahondaw kama ye anapata furaha kua na smart nyie hamuwezi mpa furaha hiyo
Mbona wanaume wengi ndio wapo hivyo sema ty wengine huqeka heshima mbele ,basi humu wadada watajifanya wanadate na malaika
Msalimie sana jamaanKashatua bongo, sasa hivi atakuwa admitted hospital fulani hapa hapa.
Ndio msiingilie hayawahusuTatizo ni ilemiwish kibao ya juzi halafu inakuaje anachangia bwana na huyu ajuza K

acheni watu wapeane raha
Jamaan mpe pole mnooooo mwambie tumemmiss sana na tunamuombea
Nimeitika dadaJamaniiii
Shunie Ataitika.... Mwambie tunampenda
Mnafanyaga nini gizaniHao wako kwenye uzi wa Jf usiku wa manane....
Wala simuitiAmekataa Salam yangu
Kakako anakuita ujue
Ndio msiingilie hayawahusu
Mbona couple nyingi tu humu zipo hivyo,kuna ile kapo nyingi demu keshakitembeza humu nadhan wanajua chupi zake zote anazovaa lakin machizi wapo kimya wanafanyiana zamuacheni watu wapeane raha
hatariiikama ni kweli mimi ningekuwa mahondaw ningezidisha mahaba mara 100,ingekuwa zaidi ya ccNasubiri msimamo wa mahondaw....
Ubuyu uwe mtam zaidi
Ndio.mahondaw alikukataa nini mbona povu kaka?
Aisee.kama ni kweli mimi ningekuwa mahondaw ningezidisha mahaba mara 100,ingekuwa zaidi ya cc
nani mgeniNdio.
Btw,
Ni mgeni hapa JF?
Usije ukapumbazwa na fiction za hapa JF cheupe, utali.......
Acording to Gea. Maana yake hizi couple za JF wanavuana chupi kiukweli kweli?Ndio msiingilie hayawahusu
Mbona couple nyingi tu humu zipo hivyo,kuna ile kapo nyingi demu keshakitembeza humu nadhan wanajua chupi zake zote anazovaa lakin machizi wapo kimya wanafanyiana zamuacheni watu wapeane raha
Ok . Easy. Im not here to promote you.tamaa ya nini? kuna lipi la kutamani na maisha fake ya humu, taratibu kaka usiparamie mzinga wa nyuki....