Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

Status
Not open for further replies.
Saint Ivuga Maserati Shunie emmyta @ukyuti

nyie chekeni na mfurahi maana shoga/rafiki yenu Paprika naye kaburi lake lishafukuliwa. Memba mmoja alikuwa anafunguka kwamba eti paprika alikuwa anaiba soksi kwao anampelekea ex, anapika maandazi anampelekea ex n.k
huyu memba kweli kafukua kaburi la zinjathopus. Eti kweli paprika alishawahi kuiba sokso akampelekea ex?

Hawa ma ex hawajawahi kuwaacha watu salama

Eli79 Kaboom na Saint Ivuga msitutoe kwenye focus. Hapa ni sherehe ya mahondaw na smart
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom