Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Na wewe uko huku!
Hakyamama umbea haujawahi kumwacha mtu salama
Na wewe uko huku!
Nakwambia umbea utaniua mim khaaNa wewe uko huku!
Hakyamama umbea haujawahi kumwacha mtu salama
Хуй его знает! Здесь много чего-то произойдет, правда ли, не знаю.Ya tak dumayo..kak ti dumaesh?
Tena umezidi ule wa Adam na Hawa
Mkuu sikujua ishu ingekuwa heavy kiasi hii..Afu we jamaa bhana... ukija kufukua kaburi langu ntafufukia nyumbani kwako... lol
Mkuu nakibonga sana kiluga chao sana tu. Hawa jamaa wameni suprise hapa sikujua kama wapo vijana wanakijua kilugha cha Putin VladmirovichDuh! Sikujua kama nawe unakijua kimanyema. Hongera Mkuu.
Una kibali cha mahondow???Habari za jioni mabibi na mabwana wa MMU,
Kasie huyuhuyu mnayemjua na kumuona humu JF propozo imemdondokea na ameafiki kusheherekea sikukuu za Christmas na mwaka mpya akiwa na Smart911 na hii ndo muendelezo kwa kipindi chote cha mwaka 2017.
Yule jamaa wa we like to party from Wednesday to Friday ndo huyu Smart911 sasa nimekuweka wazi kwenu.
Jana tulikutana karambezi pale sea cliff na tuliondoka hapo sea cliff mchana wa leo yeye akirudi kwake nami nimerudi kwangu.
Kila mtu anajipanga kwa ajili ya safari ya kwenda kusheherekea the festive season. Tutaondoka tarehe 23 na tutakuwa na vituo vingi tuu.
Kiukweli Smart911 amenikosha roho na amenifumba macho sioni kwingine kokote wala sisikii sauti nyingine yoyote zaidi yake. Mmmh si kwa mautamu niliyopata jana acheni tuu.
Kwa nafasi hii nawatakia wana MMU wote heri ya sikukuu ya Krismasi na mwaka mpya. Asiye na wake aeleke jiwe au mgomba. ..
Peace and Love.
Uwiii!!!!! Embu sema neno moja. Kwanza mwambie I love her so muchh.
Jamaniiii
Atasikia, sijajua lini ataanza ruhusiwa tumia simu. Nadhani siku si mingi...Jamaniiii
Shunie Ataitika.... Mwambie tunampenda
Yangu na yako tu ndio zilikuwa na uhalisia, na nina mpango wa kuja kuomba msamaha, nimekumissBratan hizi kapoz unahisi zina uhalisia?...Mi nadhani ni changamsha genge tu za jamvini..

Vipi kale kasafari cha Dubai alikupelekaa Dada?Yangu na yako tu ndio zilikuwa na uhalisia, na nina mpango wa kuja kuomba msamaha, nimekumiss![]()
![]()
Ya tebya lubluHey... Geez!
Micn u 2 mama mtoto...Yangu na yako tu ndio zilikuwa na uhalisia, na nina mpango wa kuja kuomba msamaha, nimekumiss![]()
![]()
