Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaSijui kafikilia nini kuniulizia huyo chizi ata kwenye thread huwa siendi hata kulike
Umemuona kakako lakini.....
HahahaSijui kafikilia nini kuniulizia huyo chizi ata kwenye thread huwa siendi hata kulike
Ya kweli?Kumjua ulieshere nae sio jambo jepesi mama
Sijui kafikilia nini kuniulizia huyo chizi ata kwenye thread huwa siendi hata kulike
Kakako anakuita ujueNdioo
Hivi dada si nimekwambia nimemuona jamaan au haujanisikiHahaha
Umemuona kakako lakini.....
Na huwa simjibu huwa nadili na mods tuHahaha tena chizi mdogo wangu sema yupo kwenye ban akirudi ohoooo utamtambua.
Huyu mtoto ananifurahishaga sana yaani akiona id ya kike lazima aipumzikie, sijui anajuaga kuna watoto humu.
Napendaga anavyokuzinguaga mpaka unakuwa speechless
kweli umbea haujawahi kuniacha salama
Hao wako kwenye uzi wa Jf usiku wa manane....Nitatuliaje kwa mfano!
Amekataa Salam yanguHivi dada si nimekwambia nimemuona jamaan au haujanisiki
Hahaha
Umemuona kakako lakini.....
Ndio we kajaribu kumjua unaeshere nae uje utupe mrejeshoYa kweli?
Basi dada kama kakataa ufanye nini sasaAmekataa Salam yangu
Shunie mnamuongelea nani?Na huwa simjibu huwa nadili na mods tu
Si huyo Allepo analeta habari za hrShunie mnamuongelea nani?
Na huwa simjibu huwa nadili na mods tu
Wewe hupitwi eeeKumjua ulieshere nae sio jambo jepesi mama
Hawaja share, ni past na present tenseKumjua ulieshere nae sio jambo jepesi mama



vitu viwili tofautiAnisamehe na mimiMie simpendi siku zote mamy Mungu anisamehe kwa kumchukia mtu ambaye wala humjui
Sure brother.Atakuwa tineja bila shaka
Upo mpk huku


