Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Geni kaamka nao aiseegeninakuona mpaka umalize page zote
Geni kaamka nao aiseegeninakuona mpaka umalize page zote
Astaghafilulah radhimu.... kumbe smart ni sigara kali humu jfEeehh daaah yaaani sijui nisemejee. .........
Si kwa mahaba hayaaa, mpenz umejuaje nyimbo za hivi ndo zinanikoshaa natamani ungeniona niliyokuwa na scream na kutabasamu wakati nasoma huu ujumbe wako.....
Hakika nakupenda Smart, umenikamata vilivyo sawasawa na mahasidi wa mapenzi washindweeee.
Nakuja mpenz mie tena, naanzaje kukataa mualiko wako. I love having dinner at beach, yaani unanipatiajeee.
Wewe kwangu ndo jumatatu, jumanne, jumatano, alhamis, Ijumaa, jumamosi na jumapili yangu ni wewe. Naanzaje kukaa mbali na wewe sasa......
Nakupenda Smart nakupenda nakupenda nakuoendaaaaaa mmuuahhh!!!!
![]()
mhenga wa jf na maevidence juuu...!!!
Uh!! Basi ngoja nifikirie.Ameni private message..Kasema yupo tayari
hihihi hii nilipitwa, mimi nna pm toka day 1 nimeingia jf, zamani nilikuwa naentertain pmTeh! umenikumbusha jamaa mmoja hivi alikuaga maarufu enzi hizo tukatongozana tukashindwana akajaanzisha thread na mambo ya uongo 90%
Niliumiaaa !!
wadada wa jf wakawa wanapiga mayowe wakaka ndio usiseme
Nikakumbuka nilikua na file lake nilikua nimerecord simu yake zote nikaziupload ndio ikawa nafuu yangu Kaka akaumbuka na tangu hapo hakutokea tena mpaka leo sijamuona humu...
Tangu hapo nikajifunza kuweka records zote
kuna baadhi ya vijanaume humu sifa yao ni kulala na wadada akishakupa hi basi ushatomb.wa wewe dunia yote watatangaziwa
Hivi kumbe toka zamani mnapeana papuchi kiu kweli kweli
nna kimood flan ivi, alafu huyu ndugu naona kakanyaga mle mleKumekucha??!
,ananipa vishawishi...Weeee mimi siombi ombi.Kwani wewe umeacha kuombaomba??
nna kimood flan ivi, alafu huyu ndugu naona kakanyaga mle mle![]()
,ananipa vishawishi...
na wadada wa humu wambea, vidomo kama chuchungeTeh! umenikumbusha jamaa mmoja hivi alikuaga maarufu enzi hizo tukatongozana tukashindwana akajaanzisha thread na mambo ya uongo 90%
Niliumiaaa !!
wadada wa jf wakawa wanapiga mayowe wakaka ndio usiseme
Nikakumbuka nilikua na file lake nilikua nimerecord simu yake zote nikaziupload ndio ikawa nafuu yangu Kaka akaumbuka na tangu hapo hakutokea tena mpaka leo sijamuona humu...
Tangu hapo nikajifunza kuweka records zote
kuna baadhi ya vijanaume humu sifa yao ni kulala na wadada akishakupa hi basi ushatomb.wa wewe dunia yote watatangaziwa
,kushadadia sasa
hebu nifukuze mdogo angu leo nakumbushia enzi zangu lolDuh! Sio wote bhana rubiiOhooo wanaume wa humu washenzi sana...
ha ha ha a Check na Smart akuassist kidogo
smart mambo yake ni ya kutangazana hapa jf, aendelee tu na mahondaw wanapendezanahihihi hii nilipitwa, mimi nna pm toka day 1 nimeingia jf, zamani nilikuwa naentertain pm
ila siku hizi nakemea mapepo ukinizidi uwezo nakemea tu "OUTTTT, I SEND FIRE!!!!"![]()
![]()
![]()
ukitaka uenjoy jf mambo yote yaishie hapa hapa, huko sirini pm ndio mwanzo wa kukimbia ID
Weeee mimi siombi ombi.
![]()
![]()
![]()
![]()
smart mambo yake ni ya kutangazana hapa jf, aendelee tu na mahondaw wanapendezana
Ayam weitiniUh!! Basi ngoja nifikirie.
nasikia soon et wanameremetaa
uwiii sasa ndio tutajuta zaidi, itakuwa official le hubby, Mungu awasaidie jf izalishe ndoa, yote yanawezekana