Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Mie nakusalimia tu jamanHata siamini macho yangu mtoto mzuri mwenzangu haya ngoja niwe mtazamaji. Lol.
Saint Ivuga
sio kwamba nilikuwa nawafuatilia ila karibia kila nyuzi nazoingia nawaona halafu hawana jipya ata iwe siasa, hoja mchanganyiko, celebrit ni INASIKITISHA SANA, MAHONDAW WANGU USISIKILIZE YA DUNIA, MY KING NACHEKA KWA DHARAU...
Ilikuwa inanikera sana yaani sasa leo siwapumzikii nawachaana mpaka mchanike haswaaa tena siondoki ng'ooo mpaka mbadilishe tabia. Msipobadili basi tena na navyopenda umbeya aisehhhh jiandaeni kupata kiharusi





















Looh nimesimamishwa na umbea nashushia hapJamani hadi wewe maana unapenda kupitaga ila hapa naona umebidi usimame unyooshe shingo usikizilie oohhh utakuwa shingo twiga
karibu kitu mpendwa
Ahsante my dada mi sijambo bukheri wa afya.Mie nakusalimia tu jaman
Cheka tuu shogaa... Lerato anaendeleaje lakini... Ubuyuu mpaka tumemsahau mgonjwa...We kaka.
Sakayo Shunie yaani mbavu zinaniuma.
Shemela Saint Ivuga nacheka mpaka machozi yananitoka jamani huku.
Halafu nipo air port hapa namsubiri lato latooo
Watu wananishangaa tu
Duuh...Then I feel pity for my friend Mahondaw..Btw its not a big deal..We all have our pasts.. Kasinde's chapter already closed..On to the next oneБратан, it's real.
Looh nimesimamishwa na umbea nashushia hap
Exactly, it's not a big deal after all.Duuh...Then I feel pity for my friend Mahondaw..Btw its not a big deal..We all have our pasts.. Kasinde's chapter already closed..On to the next one
Nakuja AirportWe kaka.
Sakayo Shunie yaani mbavu zinaniuma.
Shemela Saint Ivuga nacheka mpaka machozi yananitoka jamani huku.
Halafu nipo air port hapa namsubiri lato latooo
Watu wananishangaa tu
Братан , что такое?Duuh...Then I feel pity for my friend Mahondaw..Btw its not a big deal..We all have our pasts.. Kasinde's chapter already closed..On to the next one
Hahaha
naikumbuka kwenye uzi huo huo smart kuja akaanza oohhh baby unajua mikono yangu inachofanya kwenye mwili wako when i kiss u!
mahondaw kuja na yeye, "ohhh supa dia nacheka kwa dharau prah prah prah" kile kicheko nilikuwa nakifananisha na mlio gari moja linaloitwa forokobe au mgongo wa kobe
we sio mzima 


![]()
![]()
![]()
![]()
we sio mzima
![]()
Teh teh..Bratan..nye tak. Kasinde uje skazala shto u nhix nye bhilo atnashenyia... Prosta blah blahБратан , что такое?
Mtoto mzuri kawa kama sungura mjanja
We jamaa ni shilawadu mange anasubiri sana...mimi mzima mpaka najiogopa aisehhh
Nishafika hapaSaint Ivuga Maserati Shunie emmyta @ukyuti
nyie chekeni na mfurahi maana shoga/rafiki yenu Paprika naye kaburi lake lishafukuliwa. Memba mmoja alikuwa anafunguka kwamba eti paprika alikuwa anaiba soksi kwao anampelekea ex, anapika maandazi anampelekea ex n.k
huyu memba kweli kafukua kaburi la zinjathopus. Eti kweli paprika alishawahi kuiba sokso akampelekea ex?
Hawa ma ex hawajawahi kuwaacha watu salama
Eli79 Kaboom na Saint Ivuga msitutoe kwenye focus. Hapa ni sherehe ya mahondaw na smart
Hahaa. Nina mshangao mkali kwa ninayoyaona leo sa sijui mi sio mtembezi mana vyote naviona leo hivyo hapa nina kazi ya kupitia post moja moja.