Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,098
Miss u...naona unanipotezea kama smart anavopetezea uzi
Uh!! That was easy!!Sawa
Ilikuwa taarifa tu babes...Tena umezidi ule wa Adam na Hawa
Huu sio uzee..Leo wikend ujue..Uh!! That was easy!!
Kweli umezeeka mpenzi!
Kwahiyo ukute naongea na balimi hapa!! Kesho asubuhi ukanikataaHuu sio uzee..Leo wikend ujue..

Teh teh..Njoo unipe kampani basi..Wote tukiwa vizuri tutaongea lugha mojaKwahiyo ukute naongea na balimi hapa!! Kesho asubuhi ukanikataa![]()
![]()
![]()
Uh!! Ngastuka!!! Kampani yako haikuwahi kuniacha salama. Naiogopa leba tena.Teh teh..Njoo unipe kampani basi..Wote tukiwa vizuri tutaongea lugha moja
Ila si tunatoa product za ukweli..Njoo bana tuzalishe kichwa kingineUh!! Ngastuka!!! Kampani yako haikuwahi kuniacha salama. Naiogopa leba tena.
Hahaha broo mi simoKasinde ni very bright woman. She is perfect and genius. Huyo mahondaw ni mchepuko tu okota okota.
Jana kamfanyia kiwembe wake birthday ya nguvu
Ha aha ha ha. Yani hawa mimi hawa nawachokoza sanaaa hawana hamu na mimi.
Hapa leo nipo juuu juu kama Mange alivyofurahi baada ya rachel kuingia chaka.

Mmh au mambo ya code paprika tena wapi tena hukoSaint Ivuga Maserati Shunie emmyta @ukyuti
nyie chekeni na mfurahi maana shoga/rafiki yenu Paprika naye kaburi lake lishafukuliwa. Memba mmoja alikuwa anafunguka kwamba eti paprika alikuwa anaiba soksi kwao anampelekea ex, anapika maandazi anampelekea ex n.k
huyu memba kweli kafukua kaburi la zinjathopus. Eti kweli paprika alishawahi kuiba sokso akampelekea ex?
Hawa ma ex hawajawahi kuwaacha watu salama
Eli79 Kaboom na Saint Ivuga msitutoe kwenye focus. Hapa ni sherehe ya mahondaw na smart