Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,611
3
[emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126][emoji3][emoji3]
Ndiyo maana mwandiko wako unafifia fifia kama kibatari [emoji23][emoji23]
Jirani simu yangu sio kubwa kawaida tu...[emoji23] [emoji23] [emoji126] [emoji126]
Yap ni nzur me mwenyw naipendaJirani simu yangu sio kubwa kawaida tu...
Sema napenda hiyo style maana nakuwa flexible zaidi
Oouh.. hongera aiseehYap ni nzur me mwenyw naipenda
Hizo ndio common!Bado Sijaona style yangu hapo
Yaani mi vidole vyangu vya index vinakuwa juu ya simu afu gumba ndo vinatype maneno..vingine vinabaki huko nyuma kukamata simuIpi hiyo?
Ipi hio? Kuna wengine wanatumia kidole cha kati daah ngumu hio.
Duuh huu ushikaji wa simu mbona ni wa kishamba sana
Mmh,.. Hadi nmejaribu ila nmeelewaYaani mi vidole vyangu vya index vinakuwa juu ya simu afu gumba ndo vinatype maneno..vingine vinabaki huko nyuma kukamata simu