Remember the first day when I saw your
Remember the first day when you smiled at me...
Kama mashairi ya huo wimbo wako wa Brown Eyes ndio hayo, basi huo wimbo ni wa Destiny'd Child na sio wa Toni Braxton kama bandiko lako lisemavyo.
Naona nyimbo za wasanii wa Marekani ndo zinatawala humu.
USA baby:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Una Nyodo - Mzee Yusuf
Boyzone nawakubali sana wana kibao chao kingine nacho kimetulia mno LOVE ME FOR A REASON bila shaka umeshawahi kukisikiliza kwakuwa inaeonekana unawakubali sanaJaman Nyimbo Ambazo Huwa Zinanipa Hisia Sana Ni 1. Dolly Parton - You Are
2. Boyzone - Everyday I Love You
Sikilizeni Hizo Nyimbo Wakuu Ni Nzuri Sana!
Haswa tena mpenzi awe mume / mke .. Thanks..
Kama una simu za kisasa, jaribu kusikiliza kwe earphones, especially pindi ukiwa peke yako, as ukisikiliza akiwepo ataona unampotezea.Mim napenda sana hiz nyimbo, yaan hata nikiwa na mawazo nahis yanapungua, lakin Mume niliyenae hapend yaan ukiweka tu utasikia hebu toa mikelele yako, bas nimepunguza sana kusikiliza hiz nyimbo, nilivyoona huu Uzi nimetaman kulia
Kama una simu za kisasa, jaribu kusikiliza kwe earphones, especially pindi ukiwa peke yako, as ukisikiliza akiwepo ataona unampotezea.
The only one for me - Brian Mcknight
Truly- Leonel Richie
Lady- Leonel Richie & Kenny Rogers
Anytime - Brian Mcknight
Tell me it is real- K CI & Jojo
Just once- James Ingram
I believe in you- Joe Thomas
You are still the one- Shania Twain
May be - Enrique Iglesias
That's what love is all about- Michael Bolton
Tenderness- diana King
The only one- Leonel Richie
Think twice- Celin Dion
usingizi bila slow love song unasuasua
Ha ha ha ha ha ha huu mwimbo huwa unaupenda upigwe mda gan
Ukiniletea nyodo...