Jessica Simpson - I Wanna Love You Forever.
Hapo tuko pamojaAlways be baby - Maria Carey
SWV - All night longSiufahamu huu unaitwaje.?
So u think Slow Jam is a Genre bro?! [emoji23][emoji23][emoji23]The song is purely R n B,listen to the beat you will agree with me
So that track has a slow jamming flavor on the beat.The song is purely R n B,listen to the beat you will agree with me
Date basi. Pengine we were meant to be. Watoto ntalea[emoji23][emoji23][emoji23]Siufahamu huu unaitwaje.?
Enjoy, 90s to early 2000s jams were [emoji91]My mix
Donnell jones
yearnin
He wont hurt you
U know whats up
Keith sweat
grind on you
Funky dope lovin
You know i like
Real man
Corcolate girl
Im going for mine
Toni braxton
You mean the world to me
Why shoul i care
Best friend
Brandy
Broken hearted
Put that on everything
Learn the hard way
702
Make time
Finally
Swv
Weak
Im so in love
Use your heart
Can we
Its about time
Zhane
Just like that
Lets play
Sending my love
Marry j blige
Its on
Searching
Share my world
Aaliyah
Street thing
Young nation
Old. School
Cant get enogh of it !!!! ila mtoa mada umenibamba !!!! Earphone on for today nikumbuke enzi za ujana
2011 , nikiwa eastern province, bhisho nikiwa na kipenzi changu Eshe, ule usiku tukiwa tunapata steenberg baridi huku kimwanga cha kufifia kwa mbali, kama kesho nasafiri kwenda Msumbiji kuendelea kusaka maisha, nikiwa nawaza safari huku akiniuliza mara nne nne utarudi kweli tena mimi kwa ujasiri najibu tutaonana, sikuwahi tena kumuona hadi 2013 napata taarifa kapigwa risasi nelson mandela bay, eshe alipenda sana nyimbo hiyo kupita kiasi, R.I.P eshe
Bro, hii album achana nayo aisee, ni chuma juu ya chuma R&B enzi hizo unaskia neno hadi neno mpka wimbo unaisha hujaskia neno F&#^ck, enzi enzi hizo kuna masister duuh wa kwenda muzee alafu wanajielewa na wanajua kuoga mzee baba achana na mabishoo nao ndiyo usiseme! Demu unafukuzia mwaka mzima hujakamua, tuma sana dedication songs radioni ha ha [emoji23], siyo siku hizi unatongoza asubuhi jioni unapiga.Acha kabisa. Nililetewa album hii na brother yangu enzi hizo CD unasikiliza Kwenye ile player inaitwa "walkman".
Acha kabisa aisee.
Don't know much - Linda/AronDate basi. Pengine we were meant to be. Watoto ntalea[emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kuamini tumeshakuwa wadingi na mamaza ghafla [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bro, hii album achana nayo aisee, ni chuma juu ya chuma R&B enzi hizo unaskia neno hadi neno mpka wimbo unaisha hujaskia neno F&#^ck, enzi enzi hizo kuna masister duuh wa kwenda muzee alafu wanajielewa na wanajua kuoga mzee baba achana na mabishoo nao ndiyo usiseme! Demu unafukuzia mwaka mzima hujakamua, tuma sana dedication songs radioni ha ha [emoji23], siyo siku hizi unatongoza asubuhi jioni unapiga.
Enzi hizo manzi anakuimbia wimbo mwanzo mwisho neno kwa neno, no wonder wadada walio late 30's sasa waliosoma town hapa wengi wanatema sana yai kama la kwa malkia.
Enzi hizo hakuna simu, kwenye vipindi vya radio ili upige simu na kutuma salam au kuchagua wimbo l ilikuwa lazima utumie landlines au zile za ttcl za kuweka kadi then baadae zikaja simu za vibanda za vodacom na BUZZ early 2000s hiyo h[emoji1], simu wanapiga watoto wa kishua tu toka Sinza, mbezi, Masaki, Obey, K'nyama, Kino
AN INVITATION FOR A CUP OF COFFEE [emoji477]Don't know much - Linda/Aron
View attachment 2627719