Slow jams - pini ipi ilikubamba

Many of us consider the 90’s a golden era generation of R&B. But can you believe there are many fans of 80’s R&B who think 90’s R&B is trush? Mm naskiliza ngoma ya Cindy lauper Time after time!
Wakuda tu hao.
 
... Taking you from the bed
To the walls, to the floor
Sexing you, sexing me
Freaky-freak behind closed doors
Nobody (nobody) nobody has to know
(Behind closed doors)
Expressional, invitation only peep show


Bonge moja la sex song.
Hapo nimekula nimeshiba ugali dona, nyama ya kuchoma kilo moja , kachumbari iliyowekwa maparachichi, na nimeshushia lita moja ya mtindi mzito sana.

Halafu nikalala vizuri nikaamka saa nne usiku. Halafu mtoto wa mama mkwe yupo hapo pembeni kajilaza kizembe.

Naweka hii ngoma, halafu naanza kumlamba shingo ili kumuamsha. Akiamka kinawaka majirani watakesha na sisi kwa hiyo miguno.
 
Marie J Bridge - Be Without You
R Kelly ft Usher Raymond - Same girl
R Kelly - When a woman love
 
Umetisha mkuu
 
Acha kabisa, mwamba huyo hapo aisee
 
Umemaliza kila kitu bruh
Na jamaa nje ya mziki sidhani kama ana skendo zozote inaonekana ni mtu poa
Jamaa ana profile ya heshima sana amejiweka low profile yet nyimbo zake zinapendwa na watu wengi asilimia kubwa hawamjui ila nyimbo zake wanaziimba kila uchao.
 
Swaga za kinaijeria zilikubamba, sasa zimekuchosha nakumbuka old skul [emoji23]
Aaaah wapi huwa katika nyimbo 1000 unakuta ni tano nazo huwa nasikiliza muda fulani fulani ila sio muziki wa muda wote. Kwanza unakuta mtu hayupo deep sana na nyimbo hizi si unajua tena background ina matter.



Hizi ngoma raia wamelist hapa ndizo mimi huwa natambaa nazo kwenye play list yangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…