Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,825
- 9,644
Ewaa unapatia mule mule, ngoma nilikuwa nimemiss kuzisikia hizi. Unanikumbusha miaka ya 2012 huko huu wimbo niliufanya wa taifa hapo nikiwa na kitechno changu T304 na memory ya 1GB.
Ewaa unapatia mule mule, ngoma nilikuwa nimemiss kuzisikia hizi. Unanikumbusha miaka ya 2012 huko huu wimbo niliufanya wa taifa hapo nikiwa na kitechno changu T304 na memory ya 1GB.
Scared to be lonely -Martin Garrix ft Dua lipaNipe code 5 kali nizifuate sasaivi, afu tatangeneza playlist kwa jina lako mwanangu kushow love
😂😂 Hii ilinipa kademu ka kia- rushaTo love you more - Celine Dion
Scared to be lonely -Martin Garrix ft Dua lipa
Call u mine -The Chainsmokers X Bebe Rexha
In the name of love -Bebe Rexha x Martin Garrix
Happier -Bastille x Mashimello
It aint me -Selena Gomez x Kygo
My jam
Acha tu aisee,Ashanti alikuwa pisi ya Nelly nadhani hadi leo Nelly anapiga kimyakimya,siku hizi ashanti ana bonge la msambwanda uzee umemkataa kabisa yaan pesa hizi!
Usalimie wakubwa humuLove is wicked - Brick & lace
![]()
Love don't cost a thing - Jennifer Lopez.Demi unacheza kama Pele kuigeuza JF Tubidy nakubali sana!!🤗🤗
Hahahah leo hii dj khaled ni Don 19 times from FatAcha tu aisee,Ashanti alikuwa pisi ya Nelly nadhani hadi leo Nelly anapiga kimyakimya,siku hizi ashanti ana bonge la mshamba da uzee umemkataa kabisa yaan pesa hizi!
Enzi hizo hii ngoma inatoka vijana wa miaka hiyo tulikuwa tunaiga swaga zote za kwenye video kuanzia mavazi,kutembea and everything😀😀hapo Dj khaled alikuwa chawa tu wa Fat Joe kazi yake ni udj wa kundi la kina Fat joe la Terror Squad
Acha tu aisee,Ashanti alikuwa pisi ya Nelly nadhani hadi leo Nelly anapiga kimyakimya,siku hizi ashanti ana bonge la msambwanda uzee umemkataa kabisa yaan pesa hizi!
Enzi hizo hii ngoma inatoka vijana wa miaka hiyo tulikuwa tunaiga swaga zote za kwenye video kuanzia mavazi,kutembea and everythinghapo Dj khaled alikuwa chawa tu wa Fat Joe kazi yake ni udj wa kundi la kina Fat joe la Terror Squad






Namuona dogo anapambana.Usalimie wakubwa humu
Ambao naweza kuwabeba kifuani???Usalimie wakubwa humu




Jar of hearts by Christina PerriVanessa Carlton - Thousand miles
View attachment 2627082
Noma sana😄😂😂 Hii ilinipa kademu ka kia- rusha
Unyama upo maktaba unakita balaa
Hapa ni 90s tu na early 2ksnaleta ladha mpyaa jaman.
Hahaha ukiona mtt anapost nyimbo za 2007 ujue ndio alikuwa 4 yrs maybeNamuona dogo anapambana.