Kwa hapa jf ni member gani unahisi ni slay queen? Nataka niwafahamu.

😀 😀 😀 😀Yupo mmoja hivi anapenda sana kuanzisha maongezi yake binafsi na watu wake kwenye nyuzi za watu hata hii atavamia utamfahamu tu
Kwani kuna shida gani mkuu, umesema ma slay queen ni wazuri mno. Je, huoni ukinitajia utanisaidia nami nijipatie slay queen mmoja nipate starehe unayopata wewe. Kizuri kula na nduguyo, au sio.
Hao wakiwaliza ndio mnakuja na kufungua nyuzi za kulialia humu.
Kwani kuna shida gani mkuu, umesema ma slay queen ni wazuri mno. Je, huoni ukinitajia utanisaidia nami nijipatie slay queen mmoja nipate starehe unayopata wewe. Kizuri kula na nduguyo, au sio.
Sisi tushakula hao bata[emoji39]
Tunataka ng'ombe Sasa.