Slay Queen ni nani?

Slay Queen ni nani?

Umedadavua vizuri sana..

Kwakweli mimi pia nimejua kupitia kwako

Kwa maneno machache tutasema

"Slayqueen ni malaya ambao wamekua modified, wanajiuza kisasa na wana IQ ndogo mno kulinganisha na binaadamu ambao wamewahi kutokea katika hii dunia mana hawana mission wala vision, wao wanawaza kujipamba, kuonekanwa na ngono tu basi..

Pia kuna uwezekano hata kupika na kuhandle mume/mwanamme hawawezi ndio maana wanaongoza kuachika na kuwa na vidume vingi kadri iwezekanavyo kwa wakati mmoja"

Sent using Jamii Forums mobile app

Hata mimi ndicho nilichokiobserve
 
demu yeyote asiyekuwa na future na wewe afu anakuomba pesa.
mabaharia 1 mstari wa 80
Hahhaaaa
Sababu umeomba maelezo basi acha nijaribu kukuelewesha kwa ninavyoelewa:-

Slay queen ni mabinti kuanzia umri wa miaka 16-35 hapo inategemea na umbile la muhusika km litamruhusu kuslay mpk umri huo. Wanakuaga ni warembo wengi wao wenye sura au maumbile ya kuvutia su vyote kwa pamoja!

Pesa zao nyingi hujipatia kutokana na kufanya miili yao mtaji na pesa hizo pia hutumia kwny kujipara kwa hali ya juu ili waonekane wapo standard. Wengi wao wametokea hali ya maisha ya chini ila hujitahidi sana kulikataa hilo kwa kufanya matendo tofauti km udangaji!
Most of them hua hawana elimu japo hata waliosoma wapo pia!

Utawajuaje:-

Wengi wao hupenda kuvaa wigs za gharama kuanzia laki na nusu and above! Kupaka mikorogo ya bei either ya bei ya juu au ya kati...kucha ndefu zilizochongwa mithili ya mdomo wa kuku mikono yote miwili na miguuni.

Wengi hupenda kupaka lipstick zenye rangi zilizokolea mno km ni nyekundu bas ni nyekundu haswaa..hupenda kuvalia mavaz yanayoscha sehemu kubwa za miili yao km maziwa, mapaja na vitovu hupenda kujitoboa mwili mno km kwenye vitovu ulimi kuvaa vikuku na cheni za kiunon hadharani bila kusahau siku hizi wameibua mitindo mipya ya uchoraji wa TATTOO.

Hupenda kupiga picha sehemu nzuri na za maana km mahotelin au akipelekws sehem km marry brown na KFC na kurecord matukio ya bata yyt anayoyafanya.

Kwao kumiliki IPHONE latest ni km kuwini maisha na hupenda kupiga picha kwa mtindo wa kujibinua na kuonyedha makalio huku akibana tumbo(kwa wale wenye vitambi)

Usafiri wao mkubwa ni bodaboda na bajaj akiwa na vijisent kdg anakodi UBER au TAXIFY pia wapo waliopambana kdg wamenunuliwa gari km

PASSO..IST...RAUM..RUNX..RACTIS...SPACIO..ALLEX na mengine yny mfanani km huo ila mengi ni engine ya vvt-I si unajua yanasave mafuta kidogo[emoji16]

Bila kusahau wanapendaga vingereza uchwara maana ht shule yao ni tia maji tia maji...wana mtindo wa kuiganana maisha km ss hv nimeona wamekuja na mtindo wa kuzaa na kujiita "We are single mothers and happy"

Km utakua hujaelews na hapo bas kaka yng itakua ni balaa[emoji23][emoji23]

Wadada tuache kuact jamani tunajichoreshaga sana!

Nawasilisha[emoji1448]‍♀
Thanks you kwa maelezo mazuri sisi washamba wa buza tusingechomoa....kifupi nimeshawagegeda wengi maslay queen wenye cheni na vipini kwenye kisimi, kitovu, masikia hereni kumi na vingereza fake
 
Hawa

Nawasilisha[emoji1448]‍♀️
Hawa usiku nahc ndo wanabadili jina na kuitwa Madada poa,wana identity mbili,Mchana na usiku
 
Hahhaaaa

Thanks you kwa maelezo mazuri sisi washamba wa buza tusingechomoa....kifupi nimeshawagegeda wengi maslay queen wenye cheni na vipini kwenye kisimi, kitovu, masikia hereni kumi na vingereza fake

Hahahah! Wala sio ushamba wa Buza hakuna aliezaliwa anajua kila kitu! Naam hao ndio mifano ya maslay queen uliowah kukutana nao...mwanamke mwenye akili zilizotimamu kabisa utawezaje kutoboa kisimi? Kwanza hayo mawazo unayatolea wapi Mungu wangu[emoji18]
 
Hawa
Hawa usiku nahc ndo wanabadili jina na kuitwa Madada poa,wana identity mbili,Mchana na usiku

Hawa kwa lugha maarufu ni wadangaji wasio na kazi mjini sio kutokua na kazi tu ht ilitokea chance ya wao kufanya kaz maana kuna wengine ni wasomi tu hawazitaki inshort wanazoeaga miteremko hawapemdi kbsa kusumbua vichwa na akili zao za mambo ya msingi!
 
Kakaangu wala usijichoshe kwa kuogopa na kusema bei mbaya...inategemea umemkita kipindi gani ukiwakuta wakiwa wamechoka km danga alilokua analitegemea limezingua hana kodi na hela ya kulipa bills ht el20 unawapata!
Tena kipindi cha majanga ya unang’oa kirahisi kabisa. Kama unasukuma mlevi
 
Hawa kwa lugha maarufu ni wadangaji wasio na kazi mjini sio kutokua na kazi tu ht ilitokea chance ya wao kufanya kaz maana kuna wengine ni wasomi tu hawazitaki inshort wanazoeaga miteremko hawapemdi kbsa kusumbua vichwa na akili zao za mambo ya msingi!
Yesi kwenye swala kasi usiwaulize kabisa. Yaani unajiuliza pesa wanapata wapi huwezi jua. Lakini wanauza sana nyapu. K zinakuwankama matambala mabovu kila mtu anaingiza. Kifupi ni sex workers
 
Ndio hvy ni kuomba Mungu tu awakomboe
 
Kakaangu wala usijichoshe kwa kuogopa na kusema bei mbaya...inategemea umemkita kipindi gani ukiwakuta wakiwa wamechoka km danga alilokua analitegemea limezingua hana kodi na hela ya kulipa bills ht el20 unawapata!
Wakishusha bei hawa nitag
Screenshot_20200423-002614_1587590968287.jpeg
Screenshot_20200423-002827_1587590943775.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom