THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,761
- 15,108
Kuendekeza dini sio kuzuri sana lakini tuwe wakweli, maisha ya watanzania yalikuwa na afadhali kipindi cha marais wakristo kuliko waislamu.
Hebu tuangalie,
Nyerere aliitoa nchi utumwani na akafanikiwa kuweka misingi mizuri ya uchumi, maadili na umoja wa kitaifa, alipoingia Mwinyi akaharibu. Watu walitaabika pesa wanayo lakini hakuna cha kununua. Ufisadi ulikuwa kipandi kile ila ulipewa jina la ulanguzi.
Mkapa kaimarisha uchumi wa nchi, bei za vitu hazikuwa zinapanda ovyo ovyo, hata shilingi ya Tanzania ilikuwa na thamani kidogo, Alichofanya Kikwete sihitaji kuandika maana kila mmoja wetu anajua na ameona;katurudisha tulikotoka.
Kwa kutumia kigezo cha dini, Tanzania inahitaj rais Mkristo sasa na siku zote. Kila binadamu ana makosa na mapungufu lakini ya wengine yamezidi.
Kigezo cha kwanza cha kumchagua rais kwangu mimi ni dini, awe Mkristo.
Wewe guide wa JfTeh teh teh
Uwiii.
We kafiri wee hebu wacha maneno yako ya nuksi.
Nyerere gani alielitoa taifa hili utumwani??
Wapigania uhuru wa Taifa hili ni waislam hilo liko wazi.
Kanisa lilikuwa chini ya wakoloni lingeweza vipi kudai uhuru.
Huyo nyerere enz za utawala wake watu walikuwa wanavaa kaniki kwa kukosa nguo.
Hadi sukari walikuwa wanapanga foleni kununua.
Mwinyi alipokaja Mzee wa Ruksa akafungua milango ya uwazi na uchumi huria pesa ikaanza kuonekana na mahitaji kupanuka.
Acha kabisa kuongea utumbo nyerere alikuwa balaa yule.
Haya sasa tuje kwa mkapa.
Ujio wake chini ya waziri wake wa elimu joseph mungai ndiyo ukawa mwanzo wa kufa kwa elimu ya nchi hii.
Kuanzia msingi sekondari hadi chuo kikuu.
Enzi hizo hizo za mkapa na sera zake za uwekezaji tukaona watu wanauzians migodi ya nchi hii kwa bei ya kutupa kabisa na wizi na ufisadi wa meremeta buzwagi na haya ya richmond yameanzia kwa mkpa fisadi yule.
Hadi migodi kajiuzia yeye na familia yake.
Then uje utuambie kwamba nchi hio bora atawale mkristo??
Mkristo gani wa nafuu katika nchi hii??
Nyinyi si ni wezi tu??
Mzee Slaa atakuwa Rais wa UKAWA, sio Rais wa Tanzania. Tanzania ya sasa haihitaji mtu aina ya Slaa.Habari wanajf, haya ni mawazo na fikra zangu tu. Binafsi naona Dr. Slaa nafaa kabisa kuwa mgombea wa urais mwaka huu kupitia Ukawa tofauti na Prof. Lipumba. Nina sababu zifuatazo.
1. Dr. Slaa anamvuto na kupendwa na wengi katika mambo ya siasa
2. Nchi yetu haina upendeleo katika mambo ya dini, hivyo sasa ni zamu ya rais mkristo kuongoza nchi kama ambavyo nchi yetu imejiwekea utaratibu huu.
3. Watu waliosoma sana na wenye elimu ya juu kabisa mara nyingi hawafai kupewa nafasi nyeti kama hii, hawa ni watendaji wazuri wanatakiwa watumie muda mwingi kufanya research na kuandaa policy mbalimbali kwa ajili ya manufaa ya nchi. Elimu kama ya Dr. Slaa ndiyo inafaa zaidi hivyo Lipumba angalau apewe uwaziri mkuu sio mbaya sana.
Hayo ni maoni yangu kama unacho cha kuongezea karibu
Bora hata angekuwa na maadili, Upadri wenyewe ulimshinda mpaka akafukuzwa!Nchi hii haiwez kuongozwa na Padre hata siku moja.
Habari wanajf, haya ni mawazo na fikra zangu tu. Binafsi naona Dr. Slaa nafaa kabisa kuwa mgombea wa urais mwaka huu kupitia Ukawa tofauti na Prof. Lipumba. Nina sababu zifuatazo.
1. Dr. Slaa anamvuto na kupendwa na wengi katika mambo ya siasa
2. Nchi yetu haina upendeleo katika mambo ya dini, hivyo sasa ni zamu ya rais mkristo kuongoza nchi kama ambavyo nchi yetu imejiwekea utaratibu huu.
3. Watu waliosoma sana na wenye elimu ya juu kabisa mara nyingi hawafai kupewa nafasi nyeti kama hii, hawa ni watendaji wazuri wanatakiwa watumie muda mwingi kufanya research na kuandaa policy mbalimbali kwa ajili ya manufaa ya nchi. Elimu kama ya Dr. Slaa ndiyo inafaa zaidi hivyo Lipumba angalau apewe uwaziri mkuu sio mbaya sana.
Hayo ni maoni yangu kama unacho cha kuongezea karibu
Ni kweli mkuu maana Waislamu wawili tayari, RC wawili sasa ni zamu ya dhehebu jingine, tumechoka kunyanyasika.
Mzeraiaa atakuwa Rais wa UKAWA, sio Rais wa Tanzania. Tanzania ya sasa haihitaji mtu aina ya Slaa.
Kila nchi hii ilipokuwa chini ya Mwislamu ilizidi kudidimia. Ona awamu ya pili ni ruksa tu, Mambo hayaendi. Ruksa akaondoka akiiacha nchi hoi kabisa. Akaja Mkatoliki akiinua nchi kiasi kwamba mfumuko wa bei aliudhibiti kabisa na fedha yetu ikawa na hadhi. Amekuja Mwislamu mwingine, lo! Nchi imebaki ni shamba la bibi, kila anayejiita mwekezaji hugawiwa kipande cha nchi na Mtanzania anabaki akipiga myayo. Eti nchi wataiharibu!!! Nchi yetu nzuri imeshaharibika kabisa. Hatumhitaji tena Rais Mwislamu. Mfumo Islamu (Al-shabaab) hatuupi nafasi tena.Prof Lipumba usikubali nafasi hiyo kumuachia padre tena.
Nchi wataiharibu hii.
Mfumo kristu hauna nafas tena nchi hii.
Sasa naona tutafikia kufuata sera za Lebanon kugawana uongozi wa nchi kidini, tunaanza Raisi, tutaenda kwa Mawaziri, wakuu wa mikoa, Mapolisi comander NK.Ni kweli mkuu maana Waislamu wawili tayari, RC wawili sasa ni zamu ya dhehebu jingine, tumechoka kunyanyasika.
kama ni kweli mzinzi huo n upungufu wake,,vp mjomba mbon nae n mvuaji mzur tu lakin amekaa magogoni mpaka amechokatatizo la slaa ni uzinzi
Kama kuna utaratibu wa kubadilisha Rais kwa dini zao basi safari hii awekwe Mlutheri....kwa vile ukawa tunawaombea wachukuwe nchi..hebu tuambie ni Mlutheri gani yuko ukawa anaefaa
Habari wanajf, haya ni mawazo na fikra zangu tu. Binafsi naona Dr. Slaa nafaa kabisa kuwa mgombea wa urais mwaka huu kupitia Ukawa tofauti na Prof. Lipumba. Nina sababu zifuatazo.
1. Dr. Slaa anamvuto na kupendwa na wengi katika mambo ya siasa
2. Nchi yetu haina upendeleo katika mambo ya dini, hivyo sasa ni zamu ya rais mkristo kuongoza nchi kama ambavyo nchi yetu imejiwekea utaratibu huu.
3. Watu waliosoma sana na wenye elimu ya juu kabisa mara nyingi hawafai kupewa nafasi nyeti kama hii, hawa ni watendaji wazuri wanatakiwa watumie muda mwingi kufanya research na kuandaa policy mbalimbali kwa ajili ya manufaa ya nchi. Elimu kama ya Dr. Slaa ndiyo inafaa zaidi hivyo Lipumba angalau apewe uwaziri mkuu sio mbaya sana.
Hayo ni maoni yangu kama unacho cha kuongezea karibu
Lengo hasa la chadema ni kukiua kabisaa chama cha Cuf,naomba wanachama wajiangalie kwa umakini
Kama umeona kigezo cha dini muhimu basi tusiishie kwenye dini, twende mbele zaidi.
Katika maraisi wakristo wote walikuwa wakatoliki.
1. Nyerere alikuwa Mkatoliki
2. Mkapa alikuwa Mkatoliki
Ukristo sio ukatoliki tu, sasa twende kwa Mkristo wa dhehebu lingine...
Kwa kigezo chako basi Lowassa anafaa kwa sababu:
1. Mkristo
2. Wa kanda ambayo haijatoa rais, Kaskazini
3. Wa Dhehebu ambalo halijatoa rais, Lutherani.
Ukiishaanza kuweka ubaguzi usiishie juu, malizia kabisa mpaka chini.
Kila nchi hii ilipokuwa chini ya Mwislamu ilizidi kudidimia. Ona awamu ya pili ni ruksa tu, Mambo hayaendi. Ruksa akaondoka akiiacha nchi hoi kabisa. Akaja Mkatoliki akiinua nchi kiasi kwamba mfumuko wa bei aliudhibiti kabisa na fedha yetu ikawa na hadhi. Amekuja Mwislamu mwingine, lo! Nchi imebaki ni shamba la bibi, kila anayejiita mwekezaji hugawiwa kipande cha nchi na Mtanzania anabaki akipiga myayo. Eti nchi wataiharibu!!! Nchi yetu nzuri imeshaharibika kabisa. Hatumhitaji tena Rais Mwislamu. Mfumo Islamu (Al-shabaab) hatuupi nafasi tena.
Wewe jiandae kurudi kwenu burundi huyo ndo raisi mtarajiwa tumeshachoka kuongozwa na waislamu najua una hasira za kukosa mahakama ya kadhi pole sana bado waislamu mna imani na ccm