Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,202
- 99,941
Sikuwahi kujua kuwa IGP ni mlamu wa Alfani
Na hasa wazee wenye hekma kama mzee Ntagazwa.Wazee wakisema ni alama ya ukweli usiofichika na utakao watafuna ccm milele!
Well said mzee, wanahangaika na kadi ya Dr. Slaa wakati watu wanakufa hospitalini hakuna dawa na waadhirika wa HIV/AIDS wakipewa ARV feki za kuwamaliza zaidi. Habari yao kwisha they cant go any more.......
Na CCM ni sawa na churaDr Slaa ni sawa na mvua hazuiliki kwa lolote.
Ntagazwa kweli sikio a kufa, Ile kesi yake ya Kutapeli tishet imeyumbisha uwezo wake wa kutafakari, ajiulize misingi ya TANU iliruhusu julius Nyerere kumteua ndugu yake Joseph Butiku kuwa Katibu mkuu kiongozi ikulu, Sofia kawaw akateuliwa kuwa Mwenyekiti wa UWT, wakuu wote wa majeshi ukitoa Abdallah Twalipo walikuwa ndugu zake nani? Ajiulize Joseph Nyerere mdogo wake julius Nyerere alieuliwa na nani kwenye nyadhifa alizoshika mpaka anakufa?.asitudanganye Alihama CCM alipotoswa kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Kigoma je alisubiri kura zisitoshe ndo ajue ubaya wa CCM bora ya mwenzie mpendazoe anaeleweka alitoka akiwa mbunge!
Hapa na wewe unataka kuwadanganya watu.
Sofia Kawawa, aliteuliwa au alichaguliwa? Kwa wakuu wa Majeshi, tukianzia Sarakikya, Kyaro, Musuguri unataka kusema walikuwa ndugu zake Mwalimu, ni uwongo mkubwa. Msuguri alikuwa akitoka kijiji kimoja na Mwalimu lakini siyo ndugu yake, Kyaro alikuwa anataoka Mkoa wa Mara lakini si ndugu wa Mwalimu, Sarakikya hakuwa ndugu wa Mwalimu. Butiku alikuwa mtu wa Karibu sana na Mwalimu lakini hakuwa ndugu yake. Joseph Nyerere alikuwa na wadhifa gani aliokuwa amepewa na Kaka yake? Aliwahi kuwa M/Kiti wa TANU Youth League lakini ni kwa kuchaguliwa. Unaandika vitu vya jumla jumla visivyokuwa na ukweli wowote. Hapa Ntagazwa haongelei kiongozi ndugu wa kuchaguliwa bali wa kuteuliwa na wewe ndugu yake. JK anaongozwa zaidi na undugu na uswahiba katika uteuzi wake, huo ni ukweli ambao utaendelea kubakia katika kumbukumbu za historia za uongozi wa Taifa letu kuwa, 'Aliwahi kutokea kiongozi aliyeitwa Jakaya ambaye mara nyingi katik uteuzi wa viongozi wa serikali aliongozwa zaidi na undugu, urafiki na uswahiba kuliko uwezo mtu, kitu ambacho kiliufanya uongozi wake ushindwe kutekeleza wajibu na kudharaulika sana na wananchi kiasi cha wananchi wengi kujilaumu kwa nini walimchagua'.
....na Kawaida ya Mvua, inanyesha kwa wema na hata waovu...Dr Slaa ni sawa na mvua hazuiliki kwa lolote.
Mkuu, nakupa BIG UP kwa ufafanuzi ulioenda shule, nadhani wengi watakubaliana na ukweli huuHapa na wewe unataka kuwadanganya watu.
Sofia Kawawa, aliteuliwa au alichaguliwa? Kwa wakuu wa Majeshi, tukianzia Sarakikya, Kyaro, Musuguri unataka kusema walikuwa ndugu zake Mwalimu, ni uwongo mkubwa. Msuguri alikuwa akitoka kijiji kimoja na Mwalimu lakini siyo ndugu yake, Kyaro alikuwa anataoka Mkoa wa Mara lakini si ndugu wa Mwalimu, Sarakikya hakuwa ndugu wa Mwalimu. Butiku alikuwa mtu wa Karibu sana na Mwalimu lakini hakuwa ndugu yake. Joseph Nyerere alikuwa na wadhifa gani aliokuwa amepewa na Kaka yake? Aliwahi kuwa M/Kiti wa TANU Youth League lakini ni kwa kuchaguliwa. Unaandika vitu vya jumla jumla visivyokuwa na ukweli wowote. Hapa Ntagazwa haongelei kiongozi ndugu wa kuchaguliwa bali wa kuteuliwa na wewe ndugu yake. JK anaongozwa zaidi na undugu na uswahiba katika uteuzi wake, huo ni ukweli ambao utaendelea kubakia katika kumbukumbu za historia za uongozi wa Taifa letu kuwa, 'Aliwahi kutokea kiongozi aliyeitwa Jakaya ambaye mara nyingi katik uteuzi wa viongozi wa serikali aliongozwa zaidi na undugu, urafiki na uswahiba kuliko uwezo mtu, kitu ambacho kiliufanya uongozi wake ushindwe kutekeleza wajibu na kudharaulika sana na wananchi kiasi cha wananchi wengi kujilaumu kwa nini walimchagua'.
JK kabakia kulipa fadhila kwa akina Ray C.
...........mlamu........