Slaa tishio CCM Uchaguzi 2015


Kama nakuelewa ivi
 
There is no other way...Dr.Slaa is the next president,he is loyal and influential,a man with extraordinanary power granted by holy spirit.

There is no other way CCM will fall and UKAWA will prevail to the minds and soul of Tanzanians.
 
Sijui kwanini sina imani na UKAWA, japo SISIEM ndo sitaki kabsaaaa kuwasikia.

PIGENI MAWE
 

2010 hawakuandikishwa wapigakura mil 20. idadi ilikuwa ndogo zaidi ya hapo. wengine waliandikishwa 2005.

uhakika kuwa tume iliondoa waliofariki kwenye daftari haupo kwa mfumo wetu wa utoaji taarifa. ndio maana hata majina ya waliofariki yamewahi kuripotiwa na hata watu kudhubutu kwenda kupiga kura kwa kutumia vitambulisho vya marehemu.

nachoweza kusema ni kwamba utaratibu wa kuliboresha daftari bado una kasoro nyingi.

pia hamasa ya watu kujiandikisha haikuwepo, ilikuja kupatikana kwenye kampeni lakini wengi hawakuwa wapiga kura.
 
Huu uzi kama huna hoja pita mbali hukoooo

Mleta mada kaandika kitaalamu bila ushabiki

Dr slaa ndio habr za mjini
 

Umesahau pia kura zilipigwa kwa mlengo wa dini mapadre walihamasisha wapige mkristu mwenzao , sasa zamu hii ni ya wakristu sijui itakuwaje hapo
 
Padri huyuhuyu kweli,arudishe kwanza mke wa mtu atubu dhambi na arudi kwenye komunio ndo agombee urais
 
Mzee Tupatupa habari ya huko kwenu Lumumba?

Umekuwa mwanasiasa shabiki wa CCM unayeishi katika imani za wanaTANU kusema kweli daima. Hata kama akina Nape huwa hawafurahishwi...

Wananchi wa Sumbawanga wakimsindikiza Dk. Slaa.
 

Hizi pilika pilika za uwingi wa Watu kutaka kujiandikisha katika Daftari la mpiga Kura kwa mtazamo wangu sio kwa ajiri ya kupiga Kura bali ni kutafuta Vitambulisho baada ya hapo hali itatulia kama hakuna kilichotokea, CCM ipo imefundishwa Mashuleni na Vyuoni kwa hiyo ipo Masikioni na Midomoni mwa Watu wengi kwa hiyo inafahamika na wengi UKAWA ni kitu kigeni miongoni mwa Watu vivyo hivyo Dr. Slaa, bado haijafanyika juhudi ya kutosha kumnadi na kuwaaminisha Watanzania kwamba anafaa kuliongoza Taifa hili.

Nasema hivi kwa sababu mbali ya Fitina za kisiasa walizonazo CCM sijaona Weledi hasa toka UKAWA juu ya kupambana na CCM, ninachokiona ni Misuguano ya chini chini katika yao juu ya Maslahi. Lakini pia Demokrasia ya namna ya kumpata Mgombea toka UKAWA haijawekwa wazi bado Watu wawili tu Lipumba na Slaa ndiyo wanatajwa kama vile hakuna watu wengine hili ni tatizo, wakati fulani Lissu aliwahi kuzungumza kwamba nae anautaka Urais inaelekea katishwa asiseme tena yupo kimya na hakuna mjadala kumuhusu tena.

Siasa ina mambo mengi kuna makundi ya wapiga Kura bado sijaona Jitihada za UKAWA za kufikia hayo makundi hata tukisema kwamba nchi yetu haina UDINI lakini DINI zipo na Makabila yapo Mikoa ipo na Kanda zipo, tumeona kilichotokea Mbeya wakati Mwandosya akitangaza NIA Vyama vyote vilimuunga mkono kwa hiyo Mchakato bado ni Mgumu ni suala la kusubiri lakini ukweli bado CCM wana nafasi kama watachanga vizuri karata zao
 
Padri huyuhuyu kweli,arudishe kwanza mke wa mtu atubu dhambi na arudi kwenye komunio ndo agombee urais

Haaa kumbe mnamzungumzia Padre Silaa aliyejifanya kondoo kumbe kumbe ndani ni mbwa mwitu na sasa anakula kondoo This is Tanzania Politics!
 

Umesahau pia kura zilipigwa kwa mlengo wa dini mapadre walihamasisha wapige mkristu mwenzao , sasa zamu hii ni ya wakristu sijui itakuwaje hapo

Nadhani tujipe muda baada ya Oktoba tutaona CCM watakuwa wamempata rais gani,Tanzania hatuendeshi kwa itikadi za dini na wala hiki sio kigezo kabisa cha kumpata rais wa nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…