Slaa na Zitto ni turufu ya CHADEMA 2015

Slaa na Zitto ni turufu ya CHADEMA 2015

Nilianza na mada, kama katiba inatamka hivi kuhusu mgombea na mgombea mwenza, na wewe ukatamka vinginevyo, ndipo nilipoanza kujiuliza, sasa kuja kukuta jina nalo, ndipo nikauliza kwanza kuhusu jina ndipo nichangie.

Kwa vile nimeuliza swali nikitaraji jibu, badala ya kujibiwa, nimeulizwa!, "ninaonaje?.
Nashukuru sasa nimeelewa kumbe sio jina tuu!.
Tuendelee na mada.
Kwaheri.
Pasco.

katiba sio msahafu au bibilia,na isitoshe tuko kwenye mchakato wa kuiweka sawa.
Sioni mantiki ya makamu wa rais kutoka zanzibar wakati hana kazi yoyote kule zanzibar.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Nyie MaCDM si mnataka kujitoa kwenye katiba mpya sasa mnasema nini ati? Mbona hamueleweki kila kukicha na kitu kipya duu hiki cha hiki chama balaa tupu. Ati katiba mpya itaweka uhuru wa mgombea mwenza aweza kutokea bara au znz nanyi mnasema hamtaki kushiriki nani ataitetea hoja yenu? Tuambieni mnajitoa lini sie tunaendelea na mchakato wetu wa kitaifa. Kuweni na msimamo wa kuchama na sio kila mtu akilala asb akiamka anakuja na hili mwingine anakanusha daa hiki chama kama briefcase NGO!!

Hawajitambui hawa tena nina hamu kweli wajitoe wanasahau kwamba wao wana wanachama million mbili kati ya nchi ya watu zaidi ya million 45 na katiba ni ya wananchi sio wanachama.
Hopeless kabisa hawa
 
Hii itasaidia kuondoa dhana ya ukaskazini. Endapo slaa na mbowe watasimama tena kwenye Urais na umakamu wa Rais italeta dhana mbaya sana..wafanye lolote ila zitto awepo kwenye ngazi hiyo ,pia itasaidia kuondoa dhana ya Udini.
 
Nilianza na mada, kama katiba inatamka hivi kuhusu mgombea na mgombea mwenza, na wewe ukatamka vinginevyo, ndipo nilipoanza kujiuliza, sasa kuja kukuta jina nalo, ndipo nikauliza kwanza kuhusu jina ndipo nichangie.

Kwa vile nimeuliza swali nikitaraji jibu, badala ya kujibiwa, nimeulizwa!, "ninaonaje?.
Nashukuru sasa nimeelewa kumbe sio jina tuu!.
Tuendelee na mada.
Kwaheri.
Pasco.

mzee ya BONAFIDE GENUINE sikukuona kwenye uzi wa lwakatare..bonafide genuine.
 
katika neno siasa
tunapata neno asisi
pia tunapata neno iassi
naahini kuna makundi huanguka kwenye huu mnyumbulisho
 
Timu hii ina uwezo wa kuvuta vijana hasa ukizingatia wote Slaa na Zi tto ni maswahiba wakubwa wa vijana

WEWE HEBU ACHA KUWARUBUNI WANANCHI SLAA NA ZITO NI MARAFIKI TANGU LINI WAKATI TULISHASIKIA KWENYE VYOMBO MBALI MBALI VYA HABAR KUHUSU NJAMA ZA KIBABU SLAA KUTAKA KUMDHURU ZITTO KWA SUMU NAKUMBUKA NI KAMA MWEZI MMOJA NA NUSU ULIOPITA TAARIFA HIZI ZILIZAGAA SASA WEWE MBONA UNAWADANGANYA WATU?
HAWANA URAFIKI NA KWA KAULI YA MWENYEKITI WENU YA KUMTANGAZA BABU BILA KUFUATA MCHAKATO WA KUPITIA KWENYE KAMATI UTAWAGHARIMU
WACHAGA BWANA LOOOOOH
 
sisiem iliyobaki ni ya wazawa siyo watanzania
angalia wanoitetea.wanajua kabisa kuwa haitapona lakini ni lazima wamzunguke mgonjwa wao kudhibitisha kama amekufa
lakini mapenzi na matumaini hayapo kwa ccm.
 
Timu hii ina uwezo wa kuvuta vijana hasa ukizingatia wote Slaa na Zi tto ni maswahiba wakubwa wa vijana

WEWE HEBU ACHA KUWARUBUNI WANANCHI SLAA NA ZITO NI MARAFIKI TANGU LINI WAKATI TULISHASIKIA KWENYE VYOMBO MBALI MBALI VYA HABAR KUHUSU NJAMA ZA KIBABU SLAA KUTAKA KUMDHURU ZITTO KWA SUMU NAKUMBUKA NI KAMA MWEZI MMOJA NA NUSU ULIOPITA TAARIFA HIZI ZILIZAGAA SASA WEWE MBONA UNAWADANGANYA WATU?
HAWANA URAFIKI NA KWA KAULI YA MWENYEKITI WENU YA KUMTANGAZA BABU BILA KUFUATA MCHAKATO WA KUPITIA KWENYE KAMATI UTAWAGHARIMU
WACHAGA BWANA LOOOOOH
watu tunatofautiana kuelewa!hivi umeisoma post aliyoweka mleta thread?
 
Kama kweli CHADEMA iko serious kutaka kuingia ikulu ni lazima ikapanga wagombea wake kama nilivyopendekeza yaani mgombea urais awe ni Dr slaa na mgombea mwenza awe ni Zitto. Mchanganyiko wa timu hii kwa order ya Slaa-Zitto ni mchanganyiko wenye uwezo wa kuzoa kura nyingi.

  • Timu hii ina uwezo wa kuvuta vijana hasa ukizingatia wote Slaa na Zitto ni maswahiba wakubwa wa vijana.
  • Timu hii yaweza kuvuta wazee kwa kutumia uzee na busara za Dr Slaa na busara za zitto.
  • Timu hii yaweza kuvuta wakristu kwa waislamu
  • Timu hii yaweza kuvuta watu wa mikoa mbalimbali hasa ile ya kanda za magharibi ambapo M4C imesuasua.hapa kwa wale wa kaskazini(especially wachaga) wasilete wivu na minongo'ono bali wajue hii ni timu ya kuwapa kiti cha urais kama wanataka mamlaka watayapata kupitia uwaziri n.k lakini for the sake ya ushindi ni muhimu kuisupport timu hii.
  • kwa upande wa wanawake inaweza kuwa tatizo lakini hii sio shida kwani wanawake wengi wa 2015 wataangukia kwenye kundi la vijana

CHADEMA kama mnanisikia zingatieni hili hamtajuta. Malizeni tofauti za watu hawa kama zipo na muanze maandalizi ya kuwauza kwa wananchi kama timu!

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
hapo kwenye red, hatutakiwi kuchagua mtu ktk misingi ya dini!
 
Sheikh Katiba ikisumbua, basi naongeza ushauri, Kuwa::::

  1. DR SLAA PRESIDENT
  2. MZANZIBARI VICE PRESIDENT
  3. MHE ZITTO PROME MINISTER
THIS TEAM WILL BRING RESULT FPR CHADEMA, ILA NAHIFIA KAMA HIO TIMU ITAKUBALIKA NA MUASISI WA CHADEMA, NA KAMA MKWEWE MBOWE INAONYESHA HII IDEA INAMKOSESHA WADHIFA WA MAANA, ALTHOUGH MIMI NINVYOJUA THE PARTY CHAIRPERSON IS THE STRONGEST PERSON.
 
NA MBADO.....Ingawa nawapongeza kwa kusoma alama za nyakati. Sasa sijui itakuwaje....2015 inakaribia na babu hauziki tena duh....Ila ilo wazo la kumtumia Zito kama chambo ni zuri lakini wasiwasi wangu ni je Zito atakubali ? Na hiyo katiba tena......Nachoka kabisa. Lakini msivunjike moyo "keep hope alive" Hata wenzenu NCCR wametokea huko huko...ndio siasa.
 
Mheshimiwa Jingalao,

Nakubaliana na wewe, mia kwa mia, kwamba Slaa na Zitto ni lazima washirikiane kwa karibu sana kuanzia sasa hadi Oktoba, 2015 kama Chadema wanadhamiria kwa kweli kushinda Uchaguzi Mkuu ujao na kushika dola. Lakini umetumia maneno "Mgombea Mwenza", eti Zitto Kabwe achukue wadhifa huo wakati wa Uchaguzi Mkuu.

Kwa taarifa yako na wanaChadema wengine, chini ya katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, "Mgombea Mwenza" wa kiti cha urais ni lazima atoke Zanzibar, endapo Mgombea atakuwa ni Mtanzania wa Bara. Kwa hiyo endapo Slaa atagombea urais, basi Mzanzibari atakuwa Mwenza wake. Wakishinda, huyu ndiye atakuwa Makamu wa Rais wa J.M.T.

Sina hakika kama chini ya Katiba Mpya inayoandaliwa na Tume ya Warioba, utaratibu huu utafuatwa; lakini endapo Muungano utadumu, sioni sababu ya kutoendelea nao.

Jambo muhimu ni kuhakikisha Chadema wanaunganisha viongozi wote kwa harakati hizi murwa za kukomboa Watanzania kutoka makucha ya wala rushwa na mafisadi watakao kuwa chini ya mwavuli wa chama tawala cha sasa. Wakishinda, nina hakika Zitto Kabwe kama Mbunge maarufu wa CDM, atapata wadhifa utakaomwezesha kutumikia nchi yetu kwa uzalendo na uadilifu wake kama kawaida.
 
Kwa jinsi hali ya kisiasa ilivyo nchini kuelekea 2015 nafasi ya cdm kuweza kuingia ikulu inategemea sana jinsi gani watazichanga karata zao.

Na kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa ndani ya cdm labda yaje yatokee mabadiliko watu wenye influence kuwa wagombea kwa nafasi ya urais ni dr.slaa, zitto na mh.mbowe

sasa kwa kuwa katiba ya jmt haiweki wazi kwamba mgombea wa nafasi ya urais na mgombea mwenza wake mmoja wao lazima atoke zanzibar. Basi ni vyema cdm ikalifikiria hili vizuri, binafsi ningependekeza kama dr. Slaa/mbowe atapitishwa kugombea urais basi zitto apitishwe kuwa mgombea mwenza

reasons;
i. Kama cdm ikishinda na zitto akawa makamu wa rais basi atapata uzoefu wa shughuli za urais ili iwe rais baadae kutimiza ndoto zake za kuwa mkuu wa nchi hapo mbeleni

2.kama ilivyo kwa slaa na mbowe zitto anakubalika sana na vijana na watu wa rika zote mpaka ma -ccm

3. Visionary leader ata msupport sana rais

4. Ni kijana halafu msomi

4. Kwa kuwa nchi yetu imevamiwa na pepo la udini basi hapo kutakuwa na balance ya representation ya wakristo na waislam
 
Chadema haina uwezo wa kusimamia serikali.

Chadema HAITASHINDA uchaguzi mkuu wa 2015.
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu mkubwa sana matamshi ya hawa viongozi wangu wa CHADEMA, nimeona ufa mkubwa. Dr slaa anajiona kuwa tayari ni mgombea wa uraisi kwa tiketi ya CHADEMA huku zitto kabwe naye akijiona ndiye mgombea anayefaa kwa kiti cha urais, najiuliza hawa jamaa nani kawapa hiyo nguvu wakati vikao vya chama hata mchakato bado. Katika mikutano mingi utaona Dr. slaa akitambulishwa kama rais mtarajiwa huku zitto kwa upande wake akitumia mitandao mbalimbali ya kijamii akiweka bayana kuwa anafaa kuwa rais, HII SIO SAHIHI, kwa nini tusiweke moyoni yale ambayo ni matatizo ya ndani ya chama na kuyamaliza kimya kimya/ kwa mpango huu hatuwezi kuchukua nchi 2015. kuna mtangazaji wa radio anaitwa LOVENESS mara kwa mara anamtaja zito kuwa ndiye rais wake ajaye, amejuaje? je anaujua mchakato wa kuwa rais? nani kamwambia aseme kwenye vyombo vya habari? je ni zitto mwenyewe? mke wa Dr. slaa akiwa Mbeya anasema mume wake akiwa rais atamshauri vizuri, nani kamwambia Dr. slaa atagombea 2015, CHADEMA kina watu wengi, kuna Lissu, Mbowe, na wengine wengi vipi Dr. slaa anajiwekea asilimia kubwa namna hiyo kugombea?? je akikosa nafasi hiyo bado atabaki CHADEMA?? kwa hilo tunakosea sana na ninaona tunapoelekea ni sawa na swala wawili wanaopigania majani mbele ya simba(adui). Hebu CHADEMA tutulie tujenge hoja nzito thidi ya CCM tuwe watu wakutoa elimu zaidi kuliko kujipigia kampeni, muda ukifika atakaye chaguliwa tumuunge mkono sote kwa pamoja. TUTAFANIKIWA.
 
MOSI-Tatizo lako kubwa ni kushindwa kutumia 7,000/= unazolipwa kila siku hapo lumumba...acha ulevi wa mchana tusubiri wakati ndo uje na hoja feki hapa jf,

PILI-JARIBU KUANGALIA BORITI JICHONI MWAKO KWANZA......kwaheri
 
Back
Top Bottom