Kama kweli CHADEMA iko serious kutaka kuingia ikulu ni lazima ikapanga wagombea wake kama nilivyopendekeza yaani mgombea urais awe ni Dr slaa na mgombea mwenza awe ni Zitto. Mchanganyiko wa timu hii kwa order ya Slaa-Zitto ni mchanganyiko wenye uwezo wa kuzoa kura nyingi.
- Timu hii ina uwezo wa kuvuta vijana hasa ukizingatia wote Slaa na Zitto ni maswahiba wakubwa wa vijana.
- Timu hii yaweza kuvuta wazee kwa kutumia uzee na busara za Dr Slaa na busara za zitto.
- Timu hii yaweza kuvuta wakristu kwa waislamu
- Timu hii yaweza kuvuta watu wa mikoa mbalimbali hasa ile ya kanda za magharibi ambapo M4C imesuasua.hapa kwa wale wa kaskazini(especially wachaga) wasilete wivu na minongo'ono bali wajue hii ni timu ya kuwapa kiti cha urais kama wanataka mamlaka watayapata kupitia uwaziri n.k lakini for the sake ya ushindi ni muhimu kuisupport timu hii.
- kwa upande wa wanawake inaweza kuwa tatizo lakini hii sio shida kwani wanawake wengi wa 2015 wataangukia kwenye kundi la vijana
CHADEMA kama mnanisikia zingatieni hili hamtajuta. Malizeni tofauti za watu hawa kama zipo na muanze maandalizi ya kuwauza kwa wananchi kama timu!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Sasa kati ya Zitto na Slaa nani mtamfanya Mzenji maana lazima mmoja atoke Mchamba wima, mfereji maringo au Kibanda Maiti kwa mujibu wa katiba

Wewe umetumwa si akili yako maana ungejua kuwa kwenye urais lzima mmoja atoke upande wa pili wa muungano, halafu utalinganishaje kichuguu na mlima?
Timu hiyo ingeweza leta matunda na Ikulu tungeingia asubuhi mapemaa. Ishu ni Katiba inayo taka mmojawapo atoke Dole au Uzini!
mkuu Pasco nashukuru kwa kuuliza.Mkuu Jingalao, kabla sijachangia naumba kuuliza, hili jina la jingalao ni jina tuu au wewe ndiye jingalao kiukweli?.

Nilianza na mada, kama katiba inatamka hivi kuhusu mgombea na mgombea mwenza, na wewe ukatamka vinginevyo, ndipo nilipoanza kujiuliza, sasa kuja kukuta jina nalo, ndipo nikauliza kwanza kuhusu jina ndipo nichangie.mkuu Pasco nashukuru kwa kuuliza.
Wewe unaonaje?tatizo ni jina au mada niliyowasilisha?
msipomteua lowassa mmekwishaNa msiporuhusu demokrasia kuchukua mkondo wake ndio utakuwa mwisho wenu. Uchaguzi ndani ya chama chenu unaweza ukawafanya msambaratike kabisa...yetu macho
Timu hiyo ingeweza leta matunda na Ikulu tungeingia asubuhi mapemaa. Ishu ni Katiba inayo taka mmojawapo atoke Dole au Uzini!
Zitto hawezi kufanya kazi na huyo mtu mafia.