Slaa na Zitto ni turufu ya CHADEMA 2015

Slaa na Zitto ni turufu ya CHADEMA 2015

duh,ulicho kiandika nimekikubali mia kwa mia,sina hata puje ya ubishi juu ya hili ningekuwa na uwezo kuwezesha hili ningelifanya kwa kweli.
 
kweli kaka mimi naunga mkono mchango wako asilimia 99, ukweli ndo huo na wassipo fanya hivyo ni matanga ya panza ambapo kunguru ni sherehe kwao.:kev::kev:
 
kigaidi!! we ukishaskula makande baaaasi unaongea tuu na kujamba
 
Back
Top Bottom