Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,100
- 5,649
Mkimshurutisha Dr Slaa "afungue moyo atakufa bure" si umbile la moyo wa binadam kuchwa wazi.
Dr alichotakiwa kufanya si kususia sherehe wakati ule kwani kufanya vile si dhani kama kumemsaidi chochote.
Angekuwa Mwanasiasa mkomavu angelikabili swala hilo mnalodai la "kuibiwa kura" HEAD ON kwani alikuwa na nafasi yake ya kuongea pale hadharani na akaipoteza (kwa Lipumba). Pale angeutangazia umma wa Watanzania na Dunia kwa jumla kuwa anabaki kuwa Mpnzani akijua kuwa Ameibiwa na ushahid wa hilo anao.
Lakini kumsaidia hapa JF kwa maneno ya kihuruma hurma na kuomba Mungu atoe laana sidhani kama ina maana yoyote hapa. Dr ameshakubali matokeo muungeni mkono mjitaarishe kwa 2015. Kama unavyoona CDM wako mbugani wameanza kazi mapema wameacha kupoteza muda kufanya zogo na Maandamano yasiyo na Tija.
( kwa hilo pongezi kwa viongozi, wanachama na wapenzi wa CDM) Cha kuzingatia Uchaguzi kama ni Football basi Mwamuzi ni dakika 90. Msione Simba aliyenyeshewa na Mvua mkamwita Nyani CCM ni CCM dakika kumi za mwishi zitachezewa katika Goli lako na watakuja na Silaha zote "WATCH MY WORDS" tukiwepo siku hizo tutakumbushana.
Acha hizi wewe, kuiba kura ndio unasema siraha?? mbona mnafanya mchezo na maisha ya watu aisee?