Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

NANI KAKWAMBIA TUNA IMANI NAYE?
ameacha kujibu tuhuma za kina Juliana Shonza wa BAVICHA au yule Mama aliyekuwa mwenyekiti wa Baraza la kina mama kwa kumuengua katika Viti maalum akaweka wa kwake / kwao
Malalamiko ni yeye kujiamulia mambo mwenyewe akiwa mlalamikaji Mpelelezi na Hakimu
Usiwasemee watanzania wote maana mmeshaanza na kumtaja ni chaguo la MUNGU ni yupi huyo? kweli mna DHIHAKA
 
 
Ndo kilichobaki sasa, na atafafanua sana, ila wananchi wameshajua mbivu na mbichi ndani ya CHADEMA.
Wewe ni hamnazo na lazima unatumikia tumbo.! Kama watanzania wangekuwa na njaa mbaya kama hii basi upinzani ungekuwa sifuri..!
 
...na hiindio kazi ya shabiki
 
Uko sahihi , ulegelege kama wa CCM , ukikumbatiwa ndani ya CDM , ni sawa na kumfuga Black Mamba bila kumtoa meno atakung'ata na kukuua! Dr. usiogope Watanzania wengi wanyonge na masikini wako na wewe !
 

Huyu Juliana hata kujenga hoja hawezi halafu anataka aachiwe aende mtaani peke yake akidai kuwa anajenga chama............ kweli anafikiri CDM ni wajinga. Badala ya kujenga atakibomoa chama huyu dada!!!
 
mwaka huu mtaisoma MAGAMBA, Na lema ndo karudi mzigoni tena. pepleees pawer
 
wewe kama mtanzania unataka sera zipi za ccm au? kama ni za ccm basi utakuwa unawendawazimu na akili yako inamatatizo ya kufikiria
 
HIVI KUNA UHUSIANO GANI KATI YA UFISADI KAMA WA{ EPA, RICHMOND,MEREMETA, KAGOGA, DOWANS aka symbion na mengine}, KUKOSEKANA KWA MADAWA,UGUMU WA MAISHA, MFUMUKO WA BEI, MAUAJI YA RAIA WASIO NA HATIA KILA KUKICHA aka{, KUGONGWA NA VITU VIZITO/VENYE NCHA KALI} na DR SLAA KUMILIKI KADI YA CCM? MI NAAMINI NI NJIA YA KUWATOA WA TANZANIA KWENYE MADA ZA MSINGI NA MATATIZO YANAYOWAZUNGUKA. NA TUNATAKIWA TUJIULIZE DR KUMILIKI IYO KADI YA MAGAMBA NDO KUMESABABISHA MATATIZO YOTE HAYA HAPA TANZANIA? TATIZO NI CCM NA WALE WOTE WANAOWAPIGIA KURA ZA KUENDELEA KUKAA MADARAKANI NA KUZIDI KUTUIBIA
 
Ameshindwa kuongoza apishe wengine.

Kweli kabisa gamba la mingoi - Lindi umeona mbali!. Najua ulisahau kuwa "shemeji yako anatutesa!'' Hebu angalia: sukari sh. 2500/= (alipoingia madarakani sh. 700/=), Sembe 1500 (alipoingia madarakani sh. 300/=), Mafuta ya kupikia lita 3 sh. 9000/=(alipoingia madarakani sh. 3000/=), Kilo ya nyama 6000 (alipoingia madarakani sh. 1500/=), Mchele 2500/= (alipoingia madarakani sh. 800/=) n.k.. Ufisadi unaongezeka, raia wanauawa na polisi!.. Chama chake kinaiba wanyama pori wetu na kuua wengine!. Jangili anapewa ukatibu mkuu!. Yeye na chama chake wajiuzulu!..
 
...na hiindio kazi ya shabiki

Umekosa upeo tu!!
Mwalimu JK tunamkubali kwa misimamo yake..
Mzee Madiba tunamkubali kwa misimamo yake..

Wewe huo unaita ushabiki??? JK mnamkubali kwa lipi? matabasamu ya kumwaga!
 
Leo kwenye kipindi cha KUMEKUCHA ITV dr.slaa amekili wazi kwamba ameilipia kadi ya CCM kwa miaka 20 na bado anaimiliki kadi hiyo ya chama kwa maslahi yake binafsi.
Pia ameongeza amelipia kadi ya CHADEMA kwa miaka 20 zaidi mbele.(Itv leo asubuhi)

Huko mwanza CCM waendesha kampeni ya kuchangisha fedha za kulipia kadi ya DR.SLAA na fedha hizo Dr.slaa anategemea kukabidhiwa jumatatu.Aende akalipie kadi hiyo miaka miwili zaidi.(Star tv habari)

Huko Tanga,Kisandu(BAVICHA) atoa tamko la kuomba uchaguzi wa rais Urudiwe,Kisa haiwezekani Uchaguzi wa mwaka 2010 CCM wasimamishe wagombea wawili KIKWETE na Dr.slaa(Majira gazeeti la Leo).

Huko Iringa VICENT nyerere(Mbunge wa CHADEMA) jana kwenye mkutano wa hadhara ameomba uchaguzi Urudiwe wa Rais mwaka 2010 kisa kadi ya Dr.slaa

Kutoka mpanda(Said Arfi) MAKAMU MWENYEKITI CHADEMA TAIFA.amesema amechoka na mwenendo wa chama hasa kiuongozi kumhujumu jimboni kwake na viongozi wa juu wa chama.Hivyo atatoa uamuzi mgumu kwa maslahi ya watanzania muda si mrefu.(Radio Imam)

HONGERA SANA LEMA MBUNGE WA ARUSHA MJINI,HAKIKA HAKI YA MTU HAIPOTEI BALI HUCHELEWESHWA
 
Inaonekana wewe ni mfuatiliaji mzuri sana wa chama dume kuliko chama chako, hongera kwa kuitangaza CDM bila kujua.
 
Ndo kilichobaki sasa, na atafafanua sana, ila wananchi wameshajua mbivu na mbichi ndani ya CHADEMA.

wananchi wapi hao? labda ujiongelee wewe mwenyewe, slaa anakubalika kiuliko unavyofikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…