Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

Slaa katika 'kumepambazuka' ya ITV

Dr slaa hana sifa ya kuongoza Tanzania?Haja jipanga hata ongea yake utadhani kiongozi wa waasi anae vuta bangi!
 
Dr slaa anawalaza macho ccm na ma pro ccm, hoja zake na madudu aliyo lipua hazijibiki, wanabaki kuweweseka na kushikilia mambo yasiyo na tija kwa Tanzania.
 
Dr slaa anawalaza macho ccm na ma pro ccm, hoja zake na madudu aliyo lipua hazijibiki, wanabaki kuweweseka na kushikilia mambo yasiyo na tija kwa Tanzania.
Watu wanalala macho kwa tahadhari ya uzushi na uongo.
 
Siasa zenye agenda ya siri zimeifikisha hapa CHADEMA,kuna karunguyeye hapa eti wanasema Dr Slaa anajua shida za watanzania shida zipi? lini umewahi kumuona huyu mzee akiwa karibu na watanzania kwenye shida zaidi ya kuwatumia kwenye mikutano na maandamano kupenyeza propaganda zake.Muda wa propaganda ulishaisha zamani tumechoka na siasa za uongo.
 
viva dr slaah katika mapambano huaga kuna njuga kama hao viva cdm!
 
Picha ninayoipata ni kama waasi wameuzunguka mjini mkuu lakini Babu anatangaza kuishikilia nchi.Ni bora angatuke jahazi liendelee asisubiri kudhalilika.

Wewe ni MASALIA hivyo tumeshakujua huna chako tena. fungua id yako mpya usiogope ndio ivyo mliingizwa mkenge. Ndio mjue kuwa cdm nao wanao fbi yao ndani. Poleni sana Masalia kwani wote mko kwa id feki mlizofungua kuanzia july 2011 na ss
 
wewe utakuwa ni masalia, kwa hiyo haututishi

aliyemkana mungu na kuacha kumhubir leo anaitwa chaguo la mungu!aliemtelekeza mke aliyepewa na mungu leo ni chaguo la mungu!aliyekua kinara wa migogoro na maaskofu leo ni chaguo la mungub! mtu anaelipwa mshahara mkubwa tofauti na rank za chama chake leo ni chaguo la mungu!dr alipoteza baraka za urais alipoanza kukiwekea chama chake mashart ya kugombea.amen
 
Katibu mkuu wa chadema dr.wilbroad slaa akihojiwa kuhusu hali ilivyo ndani ya chadema amedhibitisha kuwa viongozi waliosimamishwa kazi mikoani wamehusishwa na vitendo vya rushwa na utovu wa nidha mbele ya kamati kuu.Amesema kwa sasa hali ni shwari japo kuna upotoshwaji na siasa chafu zinazoenezwa na CCM.
 
Siasa zenye agenda ya siri zimeifikisha hapa CHADEMA,kuna karunguyeye hapa eti wanasema Dr Slaa anajua shida za watanzania shida zipi? lini umewahi kumuona huyu mzee akiwa karibu na watanzania kwenye shida zaidi ya kuwatumia kwenye mikutano na maandamano kupenyeza propaganda zake.Muda wa propaganda ulishaisha zamani tumechoka na siasa za uongo.
Kwako wewe kuhudhuria misiba ndio kuwa karibu na wananchi? Hata kama misiba hiyo mumeisababisha? Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Wewe ni MASALIA hivyo tumeshakujua huna chako tena. fungua id yako mpya usiogope ndio ivyo mliingizwa mkenge. Ndio mjue kuwa cdm nao wanao fbi yao ndani. Poleni sana Masalia kwani wote mko kwa id feki mlizofungua kuanzia july 2011 na ss
Join Date : 26th September 2011(id feki mlizofungua kuanzia july 2011 na ss)
Posts : 251
Rep Power : 415
Likes Received48
Likes Given0
 
JULIANA SHONZA MAKAM MWENYEKITI BAVICHA.........NAMNA DR SLAA ANAVYONIHUJUMU KISIASA.

Namuheshimu dr slaa kama katibu wangu wa chama ambaye alipaswa kuwa dira yanguya kisiasa na kiungozi ndani ya chama. lakini chakushangaza siku hadi sikuamekuwa akinihujumu moja kwa moja yeye mwenyewe na kupitia kwa ben wa sananekwakumtuma aje kunishawishi tuanzishe movement nje ya chama kitu ambachonilikikataa nayeye ni shahidi katika hili.

Dr slaa amekuwa akiligawa baraza la vijana kama ifuatavyo
Kwanza yeye kama mtendaji mkuu mtendaji wa shughuli zote za chamaamemuidhinishia bwana Heche mshahara wa shilling laki saba kwa mwezi kinyumecha katiba ambayo inamtambua katibu wa baraza pekee kupokea mshahara kwa mwezi.

Kumlipa mshahara heche ni kuligawa baraza la vijana kwasababu ni ukiukwaji wakatiba ya chama.Pia ni wazi anaonesha anamlipa fadhira heche kwa yalealiyoyafanya ya kuendesha baraza kwa misingi ya kauli za katibu mkuu.
Pia katibu mkuu ndg Peter Slaa aliruhusu mwenyekiti wa vijana bwana John Hecheapewe kiasi cha shilingi milioni mbili kama malipo ya pango la nyumbaaliyotafutiwa na chama baada ya kupewa uenyekiti wa baraza la vijana.

Hii ni ishara tosha kwamba viongozi wa vijana tunawekwa kimatabaka katikamamcho ya viongozi wetu.Kumlipia heche pango ni wazi mm na viongozi wenginetumetengwa na hatuonekani kama watu mbele ya chama.

 
JULIANA SHONZA FACEBOOK....Vilevile mh.naibu katibu mkuu ndg Zito Zuberi Kabwe alitoa gari aina yaNissan patrol rangi nyekundu kwaajiri ya shughuri za baraza la vijana kwanihapo kabla chama kilikuwa na uhaba wa magari,lakini jambo la kushangaza na aibuna linalochukuliwa na wengi kama ufisadi,bwana Heche amekuwa akilitumia garihilo kwa shughuri zake binafsi huku dereva mkuu wa gari hilo akiwa ni mdowakewa kuzaliwa aitwae Chacha Heche,visingizio vimekuwa vikitolewa na kufumbiwamacho na katibu mkuu kuwagari ni bovu,jambo ambalo si la kweli.

 
Slaa is right for he addresses people's concerns. Ccm cries with peace whilst forgetting that peace is the product of a right right and fairness to all. We better address our challenges so much so that we look forwrd the best ways to overcome them.ccm leaders have itching palms and they will not take us to a point the nation needs till they join the ancestors. Mark you! Problems cannot be solved with the same level of thinking that created them.
 
JULIANA SHONZA...FACEBOOK PAGE
Katibu mkuu ndg Peter Slaa amekuwa akinizuia kutekeleza majukumu yangu yakiongozi huku akinitisha kwa simu ya mkononi kwa kunipigia na kunitumia mesejiili nikate tamaa na kuwavunja moyo walionichagua na kisha nisusie chama kamaambavyo mh. Arfi alitaka kufanya jana mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa naviongozi wakuu ndani ya chama kama silaha ya kudhoofisha watu ambao wanahisiwanakinzana nao kimtazamo.
Ushahidi wa meseji ujumbe mfupi wa maandishi ninao ,nanipo radhi kuupelekambele ya chama itakapo bidi.
moja ya mambo aliyoniambia dr.slaa ni kwamba
"huta kaa ukashiriki kazi yoyote ya chama,hadi pale mbowe atakapo ondokamadarakani"
wanajf hii meseji ni kutoka kwa dr.slaa kuja kwangu makamu wa baviha taifa.
Mfano mwezi wa nane mwaka huu nilijitolea kwenda kujenga chama Mbeya kwarasilimali zangu lakini cha kushangaza Slaa alinitumia meseji yavitisho(ninayo)akidai nimeenda kufanya m4c ambayo anadai eti yeye ndiye mwenyemamlaka nayo,yaani ndiye mwenye kupanga nani afanye na nani asifanye,

 
watanzania tuwe macho na hawa mafisadi jinsi wanavyoratibu propaganda kwa fedha zetu nyingi dhidi ya dr.slaa,huko ni kutokuwa na huruma kwa ccm kwa wananchi.ccm wananchi tunakijua sana mlichotufanyia kwa miaka 51 na hakuna anayeweza kututoa hapo tulipo,finali yenu 2015 tu.
 
Back
Top Bottom