Sporozoite
Member
- Apr 2, 2012
- 5
- 0
Dr Slaa ni jembe
Ajabu kitu gani? hao unaowaita vibaraka amewakuta na chama chao na atawaacha haina umbea hiyo.
Hata kupe hufia kwenye ngozi akidhani kuwa bado ataendelea kunyonya damu! Wananchi wakawaida wasio mafisadi kuwa CCM ni sawa na huyu kupe! CCM haiwezi kurudi imechukiwa kwa dhati!
Katibu mkuu wa chadema dr.wilbroad slaa akihojiwa kuhusu hali ilivyo ndani ya chadema amedhibitisha kuwa viongozi waliosimamishwa kazi mikoani wamehusishwa na vitendo vya rushwa na utovu wa nidha mbele ya kamati kuu.Amesema kwa sasa hali ni shwari japo kuna upotoshwaji na siasa chafu zinazoenezwa na CCM.
Ameshindwa kuongoza apishe wengine.
Wewe ndo umechoka!!Siasa zenye agenda ya siri zimeifikisha hapa CHADEMA,kuna karunguyeye hapa eti wanasema Dr Slaa anajua shida za watanzania shida zipi? lini umewahi kumuona huyu mzee akiwa karibu na watanzania kwenye shida zaidi ya kuwatumia kwenye mikutano na maandamano kupenyeza propaganda zake.Muda wa propaganda ulishaisha zamani tumechoka na siasa za uongo.
Taswiraaaaa, kijana una khasira na Rais ajae eeenh. Utaumia sana ila ndo chaguo la Mungu.
Na wewe utaburuzwa kama gari bovu.Wewe ndo umechoka!!
Dr slaa hana sifa ya kuongoza Tanzania?Haja jipanga hata ongea yake utadhani kiongozi wa waasi anae vuta bangi!
Wakati huohuo NDUGU SLAA alishanipigia simu nakunitamkia kwamba sitakaa nishirikishughuri yoyote ya ujenzi wa chama kwani eti mimi ni mfuasi wa Zito ZuberiKabwe,na hiyo ni baada ya mimi kumuuliza kwa nini mimi sipangwi kwenye shughuriza ujenzi wa chama,na katika kipindi hicho m4c ilikuwa imeelekea Lindi naMtwara huku washiriki toka Bavicha wakiwa ni walewale Munishi naHeche,nalijibia hili kwasababu nimekuwa nikiulizwa na viongoz na wanachama kwanini sionekani kwenye ujenzi wa chama.
Hakuishia hapo slaa amekuwa akinifitinisha na viongozi wangu wa wilaya ya mbozi,wilaya niliyotumia nguvu yangu na uwezo wangu mkubwa kukujenga chamakwakupitia mwenyekiti wa wilaya bwana john mwambigija .
Mfano ni hivi majuzi wakati wa uchaguzi mdogo wa udiwani kama kawaidasikupangwa kwenye kata yeyote huku viongozi wenzangu wakipangiwa ndiponilipoenda wilaya ya mbozi kata ya muyovizi lakini katika hali yakushangazamwenyekiti huyo wa wilaya alikataa kunisimamisha kuhutubia kwa madai ya kwambaameambiwa na dr.slaa mm simuungi mkono ndani ya hama hivyo asinisimamishekuhutubia.
Katika mazingira ya kawaida ni wazi kuna mazingira yakubaguliwa labda kutokanana ukanda na ukabila ambayo kwa hali ilivyo sasa haifichiki.Dr slaa ndiyeinjinia wa mipasuko ndani ya chama kitu ambacho kimelenga kubomoa nakudhoofisha jitihada zangu,dhamira yangu safi ,na utumishi uliotukuka kwa chamachangu
Poleni masalia!!Na wewe utaburuzwa kama gari bovu.
Na wewe utaburuzwa kama gari bovu.
Ndo kilichobaki sasa, na atafafanua sana, ila wananchi wameshajua mbivu na mbichi ndani ya CDM.
Wananchi gani unaowaongelea wewe? Mbona wananchi ni sisi na bado tuna imani sn na Dr?
Tell Him That...WATANZANIA Wanaakili kuliko Mafisadi, Najuwa Mtatumiwa sana ili waendelee kushika nchi, lakini Njaa, Magonjwa, Kukosa Makazi na Hali Duni ya Kiuchumi kwa watanzania walio wengi ni somo tosha kuwa sasa siyo muda tena wa mafisadi na vibarako wao. CHADEMA TUMEJIZATITI KWA HILO, In God We Trust! Peoples Power.Wewe ndo umechoka!!
JULIANA SHONZA...FACEBOOK PAGE
Katibu mkuu ndg Peter Slaa amekuwa akinizuia kutekeleza majukumu yangu yakiongozi huku akinitisha kwa simu ya mkononi kwa kunipigia na kunitumia mesejiili nikate tamaa na kuwavunja moyo walionichagua na kisha nisusie chama kamaambavyo mh. Arfi alitaka kufanya jana mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa naviongozi wakuu ndani ya chama kama silaha ya kudhoofisha watu ambao wanahisiwanakinzana nao kimtazamo.
Ushahidi wa meseji ujumbe mfupi wa maandishi ninao ,nanipo radhi kuupelekambele ya chama itakapo bidi.
moja ya mambo aliyoniambia dr.slaa ni kwamba
"huta kaa ukashiriki kazi yoyote ya chama,hadi pale mbowe atakapo ondokamadarakani"
wanajf hii meseji ni kutoka kwa dr.slaa kuja kwangu makamu wa baviha taifa.
Mfano mwezi wa nane mwaka huu nilijitolea kwenda kujenga chama Mbeya kwarasilimali zangu lakini cha kushangaza Slaa alinitumia meseji yavitisho(ninayo)akidai nimeenda kufanya m4c ambayo anadai eti yeye ndiye mwenyemamlaka nayo,yaani ndiye mwenye kupanga nani afanye na nani asifanye,
Kama una dhamira ya kweli kuikomboa jamii ya watanzania wenzako hupaswi kukatishwa tamaa na mtu mmoja ndani ya chama kwani hata yeye (Dr. Slaa) akiboronga akaenda tofauti na mwongozo wa CDM naye ataenguliwa tu!